Search results

 1. VAN HEIST

  Mechanism inayotumika kucontrol izi taa za kuongozea magari (traffic light)

  Unataka kutuchanganya tuu wewe.. ingia google lete tafsiri yake humu tukuelewe hayo mafaili yako baki nayo. Lakini mkuu hivi si tumeambiwa eti mnacheza navyo sana kuanzia mwaka wa kwanza hapo DIT, mafaili utayapata kweli?
 2. VAN HEIST

  Swala la kampuni za mabasi kuwa wanaweka nyimbo na movie

  aisee hii movie sio superfeo tu ni magari mengi sana
 3. VAN HEIST

  Njoo tujadili kuhusu: Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za AMD

  ryzen 5 ina perfomance sawa na core i5 8600k zinapishana kwenye baadhi ya maeneo kwa mfano i5 hiyo ni "light" weight threads(zipo 6 na core zipo 6) ila kwa amd ni "heavy" weight threads (zipo 12 na core zipo 6) ila mara nyingi intel ni standalone ila kwa amd perfomance inategemea na uwepo wa...
 4. VAN HEIST

  Wataalamu wa sofware msaada tafadhali

  torrent (pirates bay) utaipata crack huku kwenye sites nyingine ni miyeyusho tu zinakua free trial
 5. VAN HEIST

  Series (Special thread)

  moja kati ya series nzuri za mwaka huu
 6. VAN HEIST

  Series (Special thread)

  haikutoka mkuu kwa namna ilivyoisha sidhani kama kuna mpango wa kuongeza season nyingine
 7. VAN HEIST

  Wataalamu wa sofware msaada tafadhali

  kuna huu uzi wa kitambo kidogo Unahitaji ku scan computer kwa COMMAND prompt? kama ukishindwa kwa njia hii jaribu ku install malwarebytes halafu scan computer yako ikishamaliza fanya ku quarantine infected files uzi wa hivi karibuni siupati ila naendelea kutafuta
 8. VAN HEIST

  Wataalamu wa sofware msaada tafadhali

  hiyo ni trojan virus fanya kuscan computer yako pia unaweza kujaribu kutoa virus kwa kutumia cmd, kuna uzi ulishawekwa huku jukwaani
 9. VAN HEIST

  Series (Special thread)

  breaking bad blood and oil narcos el chapo snowfall gangland undercover power
 10. VAN HEIST

  Manchester United (Red Devils) | Special Thread

  tatizo la huyu dogo hayuko consistent game moja anafanya vizuri inayofuata anaboronga
 11. VAN HEIST

  Emmanuel Eboue hali mbaya, Mke amfilisi

  hahahaha wakikukamata watagawana mali hizo
 12. VAN HEIST

  Emmanuel Eboue hali mbaya, Mke amfilisi

  nawe pia mkuu.. heri ya mwaka mpya.. hawa viumbe sio wa kuwaamini 100% ni bora hata uandike majina ya watoto ila sio hawa mama zao
 13. VAN HEIST

  CMD EXPERTS.WATAALAMU WA COMMAND LINE ZA CMD

  kuna kitu specific unataka kufanya?? au unataka tutorial za cmd kwa ujumla wake?
 14. VAN HEIST

  Emmanuel Eboue hali mbaya, Mke amfilisi

  kuna somo zuri juu ya hii habari
 15. VAN HEIST

  Eggs Incubator: Heat Controler

  unaweza kutumia thermostat, RTD,thermistor na digital temperature controller ambayo ipo complex kidogo lakini ndio chaguo sahihi zaidi
 16. VAN HEIST

  Flat Screen Smart Tv vs LED Tv

  4k ni picture resolution sio teknolojia ya tv.. kwa sasa tuko kwenye LED tunaelekea kwenye OLED
 17. VAN HEIST

  Wataalam wa IT, Programing na Electronics piteni hapa

  kwa ufupi tunaweza kusema inawezekana kusoma contents za controller 1 na kuzihamishia kwenye controller nyingine kupitia ICSP pins lakini hii itakupa machine language tu na sio source code.. changamoto inakuja pale utakapokuta hiyo controller ipo code protected
 18. VAN HEIST

  JamiiForums Usiku wa manane

  Sent using Jamii Forums mobile app
 19. VAN HEIST

  Kama uliwahi tapeliwa njoo hapa

  Ni Stori ndefu kidogo nitaifupisha kidogo... Nilikua kwenye harakati zangu mjini nikakutana na jamaa akadai ametoka machimboni ameelekezwa na mtu aje dar atapata wateja haswa Wenye vituo vya mafuta, nikamuelekeza kituo kilichopo karibu tukaagana nikaendelea na mishe mishe zangu ghafla akatokea...
Top Bottom