Search results

 1. kata shime officiar

  Je, ni movie gani ulizowahi kuziona na ukatamani ziendelee?

  Kama mpenzi wa movie najua utakua umeangalia movie nying sana na kwa bahati mbaya nyingine ziliishia hapo hapo na nyingine zilipata mwendelezo sasa je tueleze ni movie gani iliyo kufurahisha sana mpaka ukatamani iendelee. Kwangu mimi ifuatayo ni list ya...
 2. kata shime officiar

  Kwa sifa za kompyuta yangu hii kweli nitaweza kucheza GTA 5

  kama kichwa cha habali kisemavyo nahitaji kucheza gta 5 je hii sifa ya pc yangu kweli inaweza kuhimili mikiki ?
 3. kata shime officiar

  Wajuzi hapa nifanyeje maana ishakua tatizo, Nimeinstall window 7 gem linagoma

  wakuu yaani kati ya siku yenye laana kwangu ni siku ya leo. Basi leo nimepata kakiherehele ka kwenda kuweka window7 basi jamaa kaweka vizuri 2 then kaniambia machine iko fresh ninaweza kwenda sasa nikaondoka. kufika home nikaifungua ili nianze kuinstall vitu kama hili gem langu...
 4. kata shime officiar

  Amri ya kutotoka nje yatangazwa mjini Beni mashariki mwa Dr. Congo

  Mamlaka nchini jamhuli ya kidemokrasia ya congo imetangaza hali ya hatari na msako wa nyumba hadi nyumba kila siku kati ya saa kumi na mbili jioni hadi saa mbili asubuhi maeneo ya Beni. Gavana wa mkoa wa kivu kaskazini charly nzazu kasivita, amesema hatua hiyo imechukuliwa baada ya kikao cha...
 5. kata shime officiar

  Akaunti za waigizaji wa ngono zaondolewa Instagram

  Mamia ya akaunti za waigizaji wa filamu za ngono zimetolewa katoka mtandao wa Instagram mwaka huu, huku wengi wakisema watu hao wako katika hadhi tofauti kuliko nyota wa kawaida. Mtandao huo umedai akaunti hizo huchapisha maswala yaliyo kinyume cha sheria za mtandao huo...
 6. kata shime officiar

  Ukweli kuhusu aliens na teknolojia ya malekan

  Inasadikika kuwa Kuna eneo moja huko malekani linaitwa b 51. Eneo hili limekuwa na ulinzi mkali Sana mpaka kufikia hatua ya watu kuhoji je eneo hili Lina nini haswa ndani yake?.ila watu wanahofu kuwa Kuna sili kubwa Sana oliyo jificha. Kwa kuwa na hofu kuwa jesh lol a anga I a marekani linafanya...
Top Bottom