Search results

 1. Frank King

  Ole wako NEC, na yeyote yule aliyejipanga KUHUJUMU uchaguzi 2020

  Matendo ya Mungu ni Makuu yanatisha kama nini!! Ole wako Wewe Rais, Waziri, Mbunge, Diwani, M/kiti wa Mtaa, Balozi wa nyumba kumi. Ole wako wewe Mkuu wa Mkoa, M/wilaya, Mkurugenzi Manispaa. Ole wako Nec, na yeyote yule aliyejipanga KUHUJUMU uchaguzi 2020, Nawahakikishieni ndugu wana JF!!! Kama...
 2. Frank King

  CCTV Dar es salaam bado ni utapeli

  Nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi inayoendelea hapa JF na hata kwenye mitandao mingine, yani kila mtu anaongea kwa namna aonavyo yeye ili hali tu nae katoa mchango. Nikweli Mo Dewji katekwa na mpaka muda huu hajulikani alipo ingawa bado kuna Juhudi legevu zinazoendelea. Nimeskia baadhi ya...
 3. Frank King

  Waooh Gwajima!!Waooh Baba Askofu.

  Baba Askofu GWAJIMA nambariki Mungu kwaajili yako Baba, Ni kweli ufalme ukifitinika hakika hauta simama... Bishop nakumbuka kipindi kile Bashite anakutishia maisha kwamba yeye ni mtoto wa baba asiyeshindwa kamwe, akijua kwamba wewe huna baba, Kumbe wako ni Mkuu kuliko Jiwe.nakumbuka kuna siku...
 4. Frank King

  Mnae muita Jiwe'Binafsi nasema sii Jiwe bali ni Mkate tu!!

  Sikieni enyi Jamaa, Huyu sii Jiwe,ni Mkate tu ambapo kiboko yake ni Chai ya Rangi hata isiyokuwa na sukari,, ipo hivi.... Yesu alimuita Petro KEFA...yaani JIWE, tena akasema juu ya Mwamba huu nitalijenga Kanisa langu wala Malango ya kuzimu haitalishinda....Sasa tunapo Muita jiwe nikwamba...
 5. Frank King

  Bora uke/uume unyofolewe roho isalimike uingie katika uzima

  Basi mkono wako au mguu wako ukikukosesha, ukate ukautupe mbali, ni afadhali kuingia katika uzima hali umepungukiwa mkono au miguu miwili kuliko kuwa na mikono miwili au miguu miwili nakutupwa katika moto wa milele. Na jicho lako likikukosea, ling'oe, ukalitupe mbali nawe, ni afadhali kuingia...
 6. Frank King

  Askofu Kakobe amesimamia neno

  Namkumbuka Daniel, alivyofanyiwa hila Na Viongozi. Walijua ataingia mtegoni tu. Namkumbuka Yeremia Alivyo onewa kwasababu ya Wito wake, alipaza sauti Juu ya utawala dhalimu, naye akawekwa kifungoni ili asiongee, lakini Hakuweza kukaa kimya. Namkumbuka Yesu alivyomwita Mfalme herode "MBWEHA" ...
 7. Frank King

  HII IKIFIKA TZ ITAPENDEZA

  While just about every business owner may hope that their enterprise scales new heights, it seems that one used car dealership in China has taken this approach a little more literally than most.ile-gallery/5e3becd17e20f27839e12f5c2126c88b.jpg[/IMG]
 8. Frank King

  Mwanamke bikra na asiye bikra

  Nimefanya utafiti wa muda mrefu mno lkn bado nimeambulia patupu,nahitaji mawazo yenu ikiwezekana ya Yakitaalam zaidi/Yakitafiti. Eti ni kweli mwanamke akiolewa ili hali ametunza Usichana wake yaani Bikra kwamba /Mume na Mke wanafurahia tendo la ndoa vizuri? Vipi kuhusu aliyejirusha vyakutosha...
 9. Frank King

  Tanesco na Waganga wa Kienyeji

  Nilishawahi kuhoji hili jambo hapa jukwaani wala sikupata majibu yenye kuridhika Nauliza hivi?Hivi kweli TANESCO na TTCL wameshindwa kabisa kuwapigia simu Waganga wote walio gongelea matangazo yao juu hizi nguzo zetu?Yani inatia aibu kuona vijibao vimetapakaa nchi nzima vya hawa sangoma na...
 10. Frank King

  Bonde la mto Boko via National

  Awali ya yote kabisa mimi si muandishi wa habari ni msamaria tu ktk hili hivyo msinihukumu km nitakosea kwa namna moja! WAANDISHI WA HABARI MPO? Basi kwa heshma kabisa nawaomba mfuatilie hili jambo. Ukitoka Tegeta kuelekea Bunju kunakituo kinaitwa kwa MPEMBA mbele yake kidogo kuna...
 11. Frank King

  Wataalam msaada Pls SAMSUNG Galaxy trend GT-S7562i touch screen..

  Wakuuu na wataalam humu ndani poleni na majukumu....jamani nisaidieni,haka ka simu kangu nimekaflashi mwenyewe lakini touch screen haifanyi kazi vizuri,yani uki touch sehemu unapohitaji yenyewe inatouch kwingine kabisa,msaada pls Wakuu.
 12. Frank King

  Marais wetu Africa

  Prime Minister of Netherlands Mark Rutte on a bicycle going to work while on the right picture its President of Kenya Uhuru Kenyatta going in a convoy for a hair cut.
 13. Frank King

  Msaada:Google Play

  Wakuu heshima kwenu Ma-IT na Ma-Technician...Jamani kiselula changu kimegoma ku-lunch Google play..Nishajaribu njia nyingi ikiwa ku-clear cach,kui-unst na ku-inst tena..na mpangilio wa data ni 3G,binafsi naona njia mbadada ni aidha kuiflash au kuiroot...sasa naanzia wapi na namalizia wapi?aina...
 14. Frank King

  Nunua popote uvikutapo

  Huu ni ubunifu wa hali ya juu(UPENDO)
 15. Frank King

  Ttcl na Tanesco wanamkataba na waganga wa jadi!!

  wakuu wote wa chama na serikali kwanza poleni na majukumu,staki kuwachosha kwa maneno mengi,ebu jaribuni kuangalia nguzo za TANESCO na TTCL utaona kakibao kameandikwa''MGANGA WA JADI TOKA.......tunatibu ukimwi,zindiko,utajiri,hela za majini,kumvuta mpenzi nguvu za kiume nk.kama serikali...
Top Bottom