Search results

 1. Nucky Thompson

  Mtandao wa Netflix waanzisha subtitle za Kiswahili, Wakenya wauponda kwa Kiswahili kibovu

  NetFlix ni mtandao wa ku stream show za television kama vile documentary na series Netflix waliweka lugha ya Kiswahili kama moja ya lugha ambazo zipo kwenye subtitle ili mtazamaji mswahili asiyejua lugha husika basi anaweka hizo subtitle Ila Kiswahili chenyewe ni kituko, maana kina makosa...
 2. Nucky Thompson

  UTHIBITISHO: Simu inatabiri vizuri mvua kuliko TMA, TMA inakula hela za bure

  TMA waliitisha press kabisa kuhusu mvua zinazoendelea hapa Dar na kusema mvua hizi zitaendelea hadi Jumapili Ila kwenye simu yangu, nikacheki utabiri nikaona tofauti na wa TMA inasema Jumapili, Jumatatu mvua itakuwepo kama kawaida, Jumanne(leo) ndio itakata Nika save screenshot ya utabiri wa...
 3. Nucky Thompson

  Wana JamiiForums tukishindwa kuwa na msimamo kwenye hili, Basi JF haina tija, tuachane nayo tu

  Wakuu unajua JF bila kuwa na msimamo itavunjika. Ni lazma kama Great Thinkers tuwe na msimamo. Sio mambo yanatokea yaniashia juu juu bila kufanya conclusion yoyote. JF inakuwa haina maana kabisa. So mi nataka kujua.. tumeconclude vipi hii ishu ya Gwajima. Ni yeye au sio yeye.
 4. Nucky Thompson

  Ushahidi: Video inayodaiwa ni ya Gwajima nilikuwa nayo kwenye simu yangu tangia 2018, siyo ya Gwajima

  Hii ni galery ya kwenye simu yangu inaonyesha video na picha mbalimbali nilizo download kwenye simu yangu, tangia kitambo kutoka group la Whatsapp na hakuna aliyesema ni Gwajima Hiyo video inayosemwa ni ya Gwajima nilishaiona kitambo na hakuna aliyezania ni ya Gwajima hadi sasa baada ya kuhusiswa
 5. Nucky Thompson

  Je, Nyerere alikuwa nyuma ya Mapinduzi ya Zanzibar, au Okello alikuwa peke yake kweli?

  Habarini wadau Nimekuwa nikifuatilia sana Historia ya Zanzibar siku za karibuni Kuna sehemu nilisoma kuwa anae enziwa kuwa ni baba wa mapinduzi Sheikh Aman Karume hakuwa anahusika kwa kiasi kikubwa na mapinduzi hayo na siku ya Mapinduzi alikuwa bara aliyepanga na kutekeleza mapinduzi yake...
 6. Nucky Thompson

  Kwanini Rais Magufuli amekilalamikia sana kikokotoo cha zamani leo kana sie aliyeagiza kibadilishwe?

  Katika sherehe za Mei Mosi leo baada ya kuwaambia wafanyakazi hatopandisha mshahara, Rais Magufuli ili kuwapooza aliwaambia kuwa kikokotoo cha mafao alichoagiza kurudishwa mnamo Disemba 28 mwaka jana kuwa ni ghali mno na kinaisababishia hasara serikali ila alikirudisha cha zamani baada ya...
 7. Nucky Thompson

  Mbunge wa CCM aongea ukweli mchungu: Elimu ya Tanzania ni kifungo cha maisha, sio ufunguo, wengi mnaogopa kusema

  Mbunge huyu anaitwa Kishimba, sio maarufu sana ila alichoongea leo nimempiga alama Kaongea kama dk 10 hivi anasema elimu ya Tanzania ni kifungo cha maisha na sio ufunguo wa maisha kama msemo maarufu unaosema. Sababu kaelezea ni kuwa mzazi unampeleka mtoto wako akiwa na miaka 7 shuleni...
 8. Nucky Thompson

  Inakuaje Magufuli anagawa hela na miradi ya maendeleo njiani kwa mizuka tu kwenye ziara, hakuna plan nchi hii?

  Nafuatilia mikutano ya Rais Magufuli Mbeya Kitu nilicho observe ni kuwa Rais akifika mahali njiani akiona kuna wananchi wengi wanamsubiri, basi yeye hufurahi sana na kuwagawia hela mara kadhaa milioni 5 ndio naona anagawa mara nyingi Kuna sehemu nyingine kapita tena kaona kina wananchi...
 9. Nucky Thompson

  Kiswahili kumbe hakieleweki hata hapo kwa jirani Malawi, tunakikuza kuliko uhalisia, ni ajabu

  Ukisikia kwenye vipindi vya Radio na Tv na mijadala mbalimbali jinsi Kiswahili kinavyokuzwa na huku Wakikiponda Kiingereza, utadhani Kiswahili ni lugha moja iliyoenea sana Ila Kumbe ukienda nchi ambayo tunapakana nayo kabisa, Malawi hapo licha ya kuwa tume interact kwa miaka zaidi ya 55 sasa...
 10. Nucky Thompson

  Tusihukumu Waislam wote kwa magaidi wachache, Waislam wema ni wengi mno ukilinganishwa na magaidi

  Kuna baadhi ya watu wanataka kuchafua jina la Uislam kwa kuiita Dini ya kigaidi Kutokana na vikundi vichache vya Ugaidi huwezi ukalaumu Uislam wote. Hapo chini ni mfano wa vikundi vichache vya Ugaidi 1.Al-Shabab (Somalia) 2.Al Murabitun (Spain), 3.Al-Qeada (Afghanistan), 4.Al-Qaeda...
 11. Nucky Thompson

  Aisee Huu ni ukosefu mkubwa wa heshima kwa Rais wetu, sio uhuru wa maoni..!

  Au wanatuonea wivu kwa sababu ndoto ya Rais wetu kuifanya Tanzania Donor Country imetimia..? WATASHINDWA..!
 12. Nucky Thompson

  Mashabiki wa Yanga watakaoishangilia As Vita kukamatwa kwa kukosa uzalendo..

  Serikali imepiga marufuku mashabiki wa Yanga kuishangilia timu ya AS Vita kwani kufanya hivyo ni kukosa uzalendo Kutakua na askari uwanjani watakaokuwa wanaaangalia mashabiki wote wanaoishangilia AS Vita na watawakamata mara moja..
 13. Nucky Thompson

  Kuoa wake Wawili ni kuwanyima wanaume wengine wake, pia si vizuri mkubwa kama huna hela

  Wakuu mambo vip Niliona mjadala fulani hivi hapa JF kusisitiza watu kuwa na wake zaidi ya mmoja na wengi wakaonekana kuunga mkono Wengi wanasema kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume na hivyo kuoa wake wengi kutawasaidia wanawake ambao wanakaa bila kuolewa na pia itasaidia mtu asichepuke Ni...
 14. Nucky Thompson

  Ahukumiwa jela miaka 10 kwa kuukashifu Uislam Facebook

  Mtu mmoja nchini Malaysia amehukumiwa kifungo cha zaidi ya miaka 10 gerezani kwa kosa la kuukashifu Uislam na Mtume Muhammad katika mtandao wa kijamii Chanzo: Al Jazeera A Malaysian has been sentenced to more than 10 years in jail and three others have been charged over insults against Islam...
 15. Nucky Thompson

  Serikali: Hatununui korosho kwa Tsh.3,300, hazina ubora...

  Leo Bungeni Mbunge Cecil Mwambe aliukiza kwanini Serikali inanunua korosho kwa sh. 2600 wakati Rais alitamka inunuliwe 3,300 Wizara ya kilimo ikajibu kuwa wananunua kwa bei hiyo kwa kuwa korosho zinakuwa hazina ubora, na wanazi grade kama daraja la pili hivyo zinanunuliwa kwa bei ambayo ni 80%...
 16. Nucky Thompson

  Ukweli mchungu: Simba wanafungwa mechi zote zilizobaki, kwenye kundi wanakuwa wa mwisho

  Kwa tofauti kubwa ya kiwango walichoonyesha dhidi ya AS vita na kisha Al Ahly, hawataweza kuwafunga hata hapa nyumbani, watachezea japo sio goli nyingi kama za ugeninu wakijitahidi Wakienda Algeria watachezea pia, wale Waarabu wamejikusanya vizuri na kutoa draw na AS Vita kwao, na wana chance...
 17. Nucky Thompson

  Spika Ndugai akumbushia alivyomchapa mtu viboko, asisitiza viboko ni muhimu

  Spika wa Bunge Job Ndugai katika mjadala unaohusu viboko kwa wanafunzi shuleni, ameunga mkono viboko hivyo huku akikumbushia alivyomchapa mtu viboko wakati wa uchaguzi mwaka 2015
 18. Nucky Thompson

  Serikali ingekataza kampeni za kuzuia ukeketaji..Ni propaganda za mabeberu

  Kama Rais wetu alivyopiga marufuku kampeni za uzazi wa mpango, kwa kuwa ni propaganda za mabeberu na sasa hivi hazisikiki tena radioni na watanzania wanazaa wapendavyo, Rais wetu pia juzi alisikika akiwahimiza wazazi kutowagundisha watoto wao English badala yake lugha za asili kama Kisukuma...
Top Bottom