Search results

 1. dhk1

  Wikiendi

  Wadau wikiendi mnaanzia wapi
 2. dhk1

  Boss wangu

  Dear boss, I'm not coming for work tomorrow. I was run over and almost died. I will return for work after the Easter holiday. Please find attached the CCTV footage of the accident. I'm alive by a miracle.
 3. dhk1

  Jipu katika kijiji cha Kimele

  Wadau salamu kwa wote, Rejea kichwa cha habari, Mwenyekiti wa kijiji cha Kimele amekuwa jipu lililoiva. Ni hivi huku kuliletwa mradi wa umeme ambapo mwisho ilikuwa tareh 26 feb uwe umekamilika, ila hadi saivi vijiji vinavyotuzunguka wameshakamilisha imebaki Kimele tu. Kinachosikitisha ni...
 4. dhk1

  Kuna dhamana hapa, na adhabu gani waweza kupewa?

  Salamu kwa wote, Jamani nilikuwa naomba usaidizi wa kimawazo kuhusu hii ishu. Apo juzi kati katika pitapita zangu mtaani nikiwa napita njia flani nikakuta watu wamefunga njia nikawapigia honi wapi wakakataa kutoka ikabidi niwasogezee gari hadi karibu yao. Ndipo walipotoka ila baada ya...
 5. dhk1

  Subaru..

  Wadau wenye subaru jijini Dar es salaam na mikoa mingine napenda kuwakaribisha SUBARU AUTOPARTS duka linapatikana kariakoo mtaa wa swahili\rufiji opp Dallas hotel. Tunadeal na subaru service and suspension parts. kwa maswali zaidi comment
 6. dhk1

  Subaru

  wadau wenye subaru jijini Dar es salaam na kwingineko,nimefungua duka la spare za subaru. Napatikana kariakoo mtaa wa swahili\rufiji opp Dallas hotel(zamani AM hotel) wote mnakaribishwa
 7. dhk1

  Gari linahitajika

  wasalaam nahitaji noah bajeti yangu mil 5 ila iwe kwenye hali nzuri
 8. dhk1

  Biashara

  Natanguliza salamu, Mwanajf mwenzenu nimefungua duka la spares za magari. Nadeal na Subaru,Toyota(altezza). Napatikana k'koo mtaa wa swahili/rufiji. Karibuni woooote!!
 9. dhk1

  best movies

  Wajameni am just bored hadi narewatch battleship ebu nisaidie movie mpya iwe action.. Nangojea..
 10. dhk1

  nisaidieni wadau

  habari zenu wadau, Nina mwanangu umri mwaka 1miezi8 ambapo ameanzisha mfumo mpya wa chakula. Anaamka saa kumi na moja na nilazama ale ukimpa vya watoto hataki kabisa anataka kipora hadi saiv imekuwa routine yake. Je ni sahii mtoto km huyu kula kiporo au itamdhuru kiafya? natanguliza shukrani...
 11. dhk1

  nahitaji fremu

  natafuta fremu maeneo ya maeneo ya morogoro rd km unayo nipm
 12. dhk1

  msaada wa haraka

  Jamani mmeshindaje, Sasa nilikuwa naomba mnielekeze jinsi ya kutengeneza sabuni za mche!
 13. dhk1

  AICC hospital

  Yani hii hospital majanga receptionist wananyodo km nini watu tuko foleni masaa cjui madoctor hawana au inakuwaje
 14. dhk1

  Forensic science

  Heshima kwa wrote, Mimi nimesomea forensic science bt toka nirudi nchini imekuwa ngumu sana kupata ajira ina maana tz bado tuko nyuma sana kwenye mambo ya investigation?
 15. dhk1

  msaada wa haraka

  Heshima kwa wote, Nina shida gari yangu imepasuka difu so nimetafuta mpya au used hapa arusha bt nimekosa so km kuna mtu anaweza kuipata ebu ni pm Gari yenyewe ni Subaru forester
 16. dhk1

  subaru forester

  Ipo Subaru forester ya mwaka 2002,iko kwenye hali nzuri napatikana Arusha. Bei kuanzia 9.5m
 17. dhk1

  Ajali mbaya ya noah

  Ajali mbaya ya Noah imetokea maeneo ya mbuga nyeupe, ilikuwa inatoka Arusha inaelekea Longido, imejuruhi vibaya ntaendelea kuwapa updates.
 18. dhk1

  Hodi...

  Hallo people!!! Can i stay??...
Top Bottom