Search results

 1. Paul Alex

  CHADEMA ikifa Taifa litafaidi nini? Sisi wengine tutafaidi nini?

  Sawa tuseme Chadema ni chama kibaya sana! Tuseme kinatetea mabeberu! Tuseme Lissu ni adui wa nchi! Tuseme ni chama cha Mbowe! Hayo mengine tulishasema! Jiwe amepolarise system yote ya CCM! Pale lumumba au Chamwino, kwa sasa hakuna wa kumwambia kitu! Mkapa hayupo. Mwinyi yuko kwenye mfuko...
 2. Paul Alex

  Tundu Lissu amua kumuenzi Mwl. Nyerere au kumbagaza

  Heshima wakuu! Biblia inasema au uwe moto au uwe baridi! Ukiwa wa vuguvugu utatemwa. Unawezaje kumsifia baba wa taifa bara halafu pwani ukambagaza? Bara, unaongelea miradi iliyoanzishwa na baba wa taifa, unaongelea umoja wa kitaifa aliouacha, unaongelea maono yake juu ya demokrasia, haki na...
 3. Paul Alex

  Umekosea wapi taifa langu?

  Ni muundo wa uongozi uliokosewa? Ni aina ya viongozi wasio sahihi? Ni aina ya watu wasioongozeka? Au ni vile mataifa makubwa yanatuonea! Umekosea wapi taifa langu! Ni wazi kwamba hatuna umoja wa kitaifa na ni wazi kwamba kila mmoja anachimba kaburi la mwingine Kabla hatujaanza kuhangaika na...
 4. Paul Alex

  Maamuzi ya Mo siku za karibuni yanaonyesha hana utulivu wa nafsi!

  Nilitaka kuamini kwamba tukio la kutekwa kwa Mo limepita na basi yeye alishaamua kuachana nalo na kuendelea na biashara zake. But lately naona dalili zote za PTSD - Post Traumatic Stress Disorder. Mo amepoteza confidence na ni kama maamuzi mengi anafanyiwa na mtu. Wazungu wanasema kama kuna...
 5. Paul Alex

  Kwanini kijana wa Kitanzania hashiriki siasa kwa nguvu zote?

  Heri ya mwaka mpya! Imenichukua tafakari ya muda kuandika haya ninayoandika leo. Miaka 60 na zaidi iliyopita ilitengeneza wastaafu wa leo. Wengi wa hawa wastaafu hawakulipwa mishahara mikubwa wakiwa kazini, ila kidogo walicholipwa kilitosha kuendesha maisha yao na kusomesha watoto wao. Watoto...
 6. Paul Alex

  Hivi kuna ulazima wakuu wilaya/mikoa na Mawaziri kujiingiza kwenye adhabu za wanafunzi moja kwa moja?

  Dhana ya uongozi nayoiamini mimi ni pale viongozi wanapowajibika kama system. Mfano: kukiwa na tatizo la mwanafunzi mmoja au wawili kwa Waziri kuingilia kati labda tatizo hilo liwe na dalili za kiwa epidemic. Unless otherwise, hakuna sababu ya viongozi wa juu kujiingiza moja kwa moja kwenye...
 7. Paul Alex

  Mo amelijibu swali la pili la Salim Kikeke kwa hofu na hisia za kutaka kuficha kitu

  Mbinu ya muda mrefu ya kumhoji mtu inataka kuangalia macho yake yanavyocheza na sauti yake inavyobadilika. Mo alipoulizwa na Salim juu ya watekaji kujaribu kuwasiliana na familia yake na kutaka fedha, aina ya 'body language' ilibadilika. Kwanza macho yake yalicheza kwenye kona zote za macho...
 8. Paul Alex

  Kwa viongozi wa Afrika Mashariki, Uhuru Kenyatta ni kiongozi aliyechaguliwa na Mungu!

  Hi! Nimesikiliza wimbo wa Rose Mhando wa shukrani- Kenya Ulindwe! Na baada ya kuusikiliza nikajiuliza kwanini hizi baraka zisibaki kwetu au ziende pengine popote? Kwanini zimuendee Uhuru? Nikakumbuka pia sakata la vifaranga vya kuku vilivyochomwa moto na ng'ombe zilizotaifishwa na reaction...
 9. Paul Alex

  Fidel Castro na CHE walitengeneza watu, comrades katika upinzani msipigane wenyewe!

  Sitegemei Lissu akirudi apambane Mwenyewe mstari wa mbele, sitegemei Zitto aendelee kupambana mwenyewe mstari wa mbele, hata Lema sitegemei kumuona pekee mstari wa mbele. Siwezi kuwataja comrades wote ila kiukweli, wote kuanzia Halima Mdee mpaka Esther Bulaya natamaani mtengeneze watu...
 10. Paul Alex

  Ushauri wa kisiasa/Mwenyewe bila amani ya moyo/ CCM na udiwani/ CHADEMA na amani ya moyo.

  Natamaani mwakani niwe diwani kupitia CHADEMA ila aliyepo ni wa CHADEMA na hana mpango wa kutoka. Natamaani nibaki peke yangu ila sitakuwa na amani ya kutosha maana huu ndio muda wangu kuchangia akili na nguvu zangu kwa taifa langu. Nafasi CCM ziko bure, situmii fedha zangu, nitalindwa na...
 11. Paul Alex

  Bashe umekosea kwenye Food Security!

  Nimemsikiliza Bashe ambaye ni Naibu Waziri wa Kilimo akielezea food security, well, amechemka sana! Dhana ya food security haiko tu katika individual economic ability to purchase basic food stuffs kama alivyoielezea Bashe. Food security imekuwa karibu na definitions 200 na zote zinabeba...
 12. Paul Alex

  Do not withdraw your weapon if you won't use it; kulikuwa na sababu ya msingi ya kurelease sauti zilizodukuliwa za kina Membe?

  Kawaida unapokabidhiwa silaha kuna mambo unatakiwa ufahamu. Hauruhusiwi kuitoa au kuionyesha silaha yako kama hauna sababu na hakika ya kuitumia. Ni wazi kwamba utakutana na watu wenye fujo tena viburi ila kama hauna sababu na hakika ya kuitumia basi iache silaha yako kwenye holster na uwe...
 13. Paul Alex

  Sio kila mabadiliko ni maendeleo, Watanzania tunaenda kuwa masikini kwa pamoja - collective poverty!

  Awamu hii ya uongozi imejitahidi kugusa kila mfumo katika maisha ya jamii kwa jamii za aina zote kwa nia tu ya kutaka mabadiliko wakiamini kila mabadiliko ni maendeleo. Hivyo mzunguko wa fedha umepunguzwa, kilimo kimeguswa, biashara zimeguswa, ajira zimeguswa,CAG ameguswa, deni la taifa...
 14. Paul Alex

  Kuna hatari ya watu wasiojulikana kushindwa kutawalika!

  Miaka hamsini nyuma CIA nayo ilikuwa na "rogue element". Kulikuwa na mission nyingi ambazo ziliendelea bila kupangwa kwa utaratibu wa kawaida na wa uwazi! Kuna ma 'agent' wa CIA waliofanya deals pamoja na mafia na mission za kupindua serikali mbalimbali bila kushirikisha uongozi wa juu wa nchi...
 15. Paul Alex

  CCM ilifanyia tathmini matokeo ya uchaguzi mkuu uliopita lakini haikufanyia kazi mapendekezo ya tathmini hiyo!

  CCM kama chama inaweza kusumbuka kwenye uchaguzi wa 2020. Hata bila kuwa ndani ya chama hicho, ukiangalia kwa nje kuna picha unaweza kuona! Wakati Nape anafungia bunge live na baadhi ya magazeti nadhani ilikuwa sehemu ya utekelezaji wa mapendekezo yaliyotokana na tathmini ya uchaguzi mkuu...
 16. Paul Alex

  Power, mudslinging, killings, dishonesty, intelligence - THE ROAD MAP TO ANARCHY: CPRIAN MUSIBA Case scenario.

  If there is anything I have noticed from Makamba,Kinana vs Musiba battle is that the recent trend of events is one sure way of taking this country to Anarchy of which we are so close! How did we get here in the first place? The equation to anarchy is controlled by variables like; 1.A wrong...
 17. Paul Alex

  Askari kuua watu 'wanaodhaniwa ni majambazi' na kutoa taarifa wakijisifia ni sawa?

  Kumekuwa na utaratibu ambao umezoeleka wa askari wetu kutoka kwenye vyombo vya habari na kujisifia kua wameua majambazi! Binafsi sifurahii hii picha askari wanayoitoa, sijui wewe! Tunajuaje kama hawa ni majambazi kweli? Au ukishaitwa jambazi na askari tayari unakua jambazi! Mahakama ni ya...
 18. Paul Alex

  Kumlazimisha mtu kwenye hali ya Lissu kupigania haki zake ni kuchuma laana!

  Namheshimu sana Tundu Antipas Lissu, kwanza kama mtu-mtanzania na hapa haswa kwa utu wake. Tukiacha porojo tukamwangalia Lissu na taaluma yake na uelewa wake angeweza kuishi sehemu yeyote ile duniani na maisha mazuri tu! Ila yuko hapa anateseka akijarubu kuwasemea wasioweza kusema, kuwapigania...
 19. Paul Alex

  Spika alimaanisha nini aliposema Makonda ana nguvu? Nini ukubwa wa nguvu zake?

  Nguvu ya spika wa bunge ni kubwa na hili wala sihitaji kuelezea! Sasa Spika anaposema mkuu wa mkoa wa DSM ana nguvu hapo ndio mimi sielewi kabisa! Labda kama wadau mtanielewesha... Kwamba imefika mahali Makonda ana paralize system ya uongozi wa nchi? Rais anamuagiza Makonda akaihamasishe timu...
 20. Paul Alex

  Siasa za kiimla zimetuletea mkwamo wa kiuchumi. Tunavukaje kibiashara?

  Habari zenu wanajamii? Ilitegemewa leo nisimame hapa kuendelea kuilaumu na kuilaani serikali kwa mkwamo wa maisha mtaani ambayo kimsingi inapaswa kulaumiwa na kulaaniwa, ila biashara zinakufa na hili si jambo jema. Nadhani tunaofanya biashara tupeane mbinu za kuvuka katika kipindi hiki na...
Top Bottom