Search results

 1. Basham

  Ushauri kwa TRA: Tukiagiza Bidhaa nje tupewe unafuu wa kulipa kodi kwa awamu

  Amani iwe kwenu wana JF, Nmewaza sanaa kwa nini TRA isiwape nafuu wafanyabiashara wanaoagiza mizigo nje baada ya makadirio ya kodi wapewa nafasi ya kulipa kwa awamu au unapewa muda hata miezi sita uwe umemaliza kulipa hiyo kodi, Kama wanavyofanya kwenye makadirio ya Kodi ya mwaka kwamba...
 2. Basham

  Nahitaji BP na MEMARTS

  Amani kwenu wana Jamvi Rejea the heading above Niende direct kwenye mada mie nahitaji Business Plan na Memorandum Articles of Association ya Kampuni. Kwa maelezo zaidi tukutane PM N.B Uwe ni mzoefu na Bei ziwe reasonable.
 3. Basham

  Kiwanda gani kidogo naweza Anzisha kwa Mtaji wa Tsh 20M kwa Dar

  Habari Wakuu, Poleni na majukumu yenu ya kila sku, Niende moja moja kwenye mada. Nahitaji mawazo ya kiwanda gani kidogo kwa Dar naweza anzisha kwa Mtaji wa 20M Natumai nitapata mawazo nkuntu yatakayonifanya niweze kusongesha mbele Maisha Natanguliza Shukrani.
 4. Basham

  Tanzania na Kenya ni kama Simba na Yanga yani Watani wa Jadii

  Asalam alaykum, Kumekua na kutunisha misuli yani kuringishiana vitu(Miradi) mbali mbali iliyopo katika nchi hizi mbili tangu Enzi na Enzi. Historia inaonesha tumenza kushirikiana katika mambo mengi tangu hapo zamani, mababu zetu walikrosi boda kutembea katika miji ya nchi hizi katika Nyanja...
 5. Basham

  Nimeuchoka Ubachela, Naitamani Ndoa

  Habrinii WanaJF Refer to the heading above Mimi ni kijana wa miaka 28 single up to this time, Napambana na hali yangu maisha sioo mabaya employed and entrepreneur Sifa za mtarajiwa 1. Kitu cheupee 2. Mrefu wa wastani 3. asiwe chibonge 4 . Awe muislam swafii 5. Business oriented hata...
 6. Basham

  Nahitaji Mashamba Njombe or Iringa, Babati or Mbulu

  Wasaalam Wana Jamvi, Kama heading inavosomeka nmeamua kujikita katika kilimo musimu ujao na maeneo yanayonivutia ni hayo niliyoyataja hapo juu Babati, Mbulu, Njombe na Iringa ni Sehemu ambazo zinapata mvua mwaka mzima na kilimo cha maeneo hayo sio cha msimu mmoja mwaka mzima ni full kulima na...
 7. Basham

  Biashara gani naweza kufanya kwa Mtaji wa 20M

  Amani iwe kwenu wana Jamvi, Poleni na Majukumu. kama kichwa cha habari kinavyojieleza mie ni kijana Me 27yrs nimwajiriwa lakini nimeweza kujichanga kutokana na Mshahara na marupupu mengine nimeweza kupata kiasi hicho cha Fedha. Nmefikiria nikaona ni muda muafaka kwa mimi kauchia ngazi ili...
 8. Basham

  Faida za kufungua kampuni

  Imani iwe kwenu wana Jamvi. Kama heading ilivo naomba kujuzwa faida ama hasara za kuendesha biashara kama kampuni maana nimefuatilia nimeona kuna utitiri wa kodi/gharama na uendeshaji kampuni. Mfano TRA TFDA TBS NEMC n.k kulingana na biashara unayoifanya. Kila sehemu utakayo pita kuna gharama...
 9. Basham

  Bajaji inahitajika

  Habari Wana Jamvi, Rejea kichwa cha habari hapo juu, Nahitaji bajaji kwa ajili ya biashara kujikomboa katika harakati za utafutaji, isiwe imechakaa sana iwe imetumika chini ya mwaka mmoja Natanguliza Shukurani Bm
 10. Basham

  Hili la Serikali ya Magufuli kuwatambua wamachinga ndilo pigo kuu dhidi ya CHADEMA kuelekea 2020

  Amani iwe kwenu Wana Jamvi TRA imeamua kuwasajili wamachinga wote kutambulika ili waweze kulipa kodi kuchangia katika kukuza uchumi wa nchi yetu Kwa hili kwa kweli sina budi kuipongeza serikali ya awamu ya tano kwa kuliona hili litasaidia sana kuongeza mapato na kuweza kusaidia kusukuma...
 11. Basham

  Kuhusu kauli hii ya IGP Sirro "Hakuna maneno ni vitendo tu"

  Amani iwe kwenu wana Jamvi, Kwa mara ya kwanza IGP kuongea kwenye vyombo vya habari anatoa kauli hii yenye utata kwa Raia, Kama heading inavosomeka, nmesikia mkutano huo wa IGP na vyombo vya habari lakini nimetoka na maswali lukuki, Kutokana na hali ya matukio ya mauaji kuongezeka Ingekua...
 12. Basham

  Biashara ya Usafirishaji Abiria

  Amani iwe kwenu wana JF Kama heading ilivo Naitamani sana hii Biashara ya usafirishaji wa abiria hasa hasa ya haice ndo ninapotaka kuanzia kabla sijaingia kwenye mabasi makubwa, Mwenye ujuzi nayo naomba anidokezee vipi inaendeshwa faida yake changamoto n.k kuna kauli mbili kwenye hii biashara...
 13. Basham

  Uhuru na Umoja; Ngao ya Taifa iliyosahaulika

  Amani iwe kwenu wana JF Ngao ya Taifa letu imebabe maneno mazito sana ambayo tunashindwa kuyazingatia na kuyafanyia kazi. Kukiwa na UHURU na UMOJA utakuepo, kimoja kikikosekana kingine kinakua hakina maana. Je, haya Maneno yanazingatiwaaaa? Tanzania inasifika duniani kama kisiwa cha amani...
 14. Basham

  Ivi kweli serikali ya hapa kazi tuu imeshindwa kutatua mgogoro wa wakulima na wafugaji

  Amani iwe kwenu Wana JF Kwa muda mrefu sana katika nchi yetu kumekuwepo na mgogoro kati ya wafugaji na wakulima lakini cha kushangaza serikali imekua haitoui muafaka muzuri bali imekua ikipiga piga chenga huku watu wakiendelea kuuana na mazao yanaharibiwa, mifugo pia imekua ikuuawa katika...
 15. Basham

  Dr. Dau, natamani siku moja ugombee Urais

  Binadamu tumejawa na hulka ya kusema sana mambo bila ya kuwa na detail ya kile tunachozungumza. Hakuna kitu kisichompendeza mwenyezi mungu kama kumsema mtu bila kuwa na uhakika na unachokisema Yamesemwa mengi sana Kumshutumu Dr. Dau kwamba ni fisadi na blah blah zingine nyingi Lakin kwa...
 16. Basham

  Serikali kuwalipa wazee wote kuanzia miaka 70 elfu 20 kila mwezi

  Serikali kuwalipa wazee wote kuanzia miaka 70 elfu 20 kila mwezi bila kujali ni kazi gani alikua anafanya. Ni mawazo nilikua nayo tangu nakua lakini leo hii nashukuru Mungu kuona serikali imeamua kuwajali wazee wetu waliolitumiakia taifa kwa uaminifu wa hali ya juu. Wazee wetu kwa kweli...
 17. Basham

  Watanzania sisi sio creative including Viongozi wengi wa serikali

  Amani iwe kwenu wanaJF Kama heading inavosomeka, watanzania tumekua tukiitegemea sana serikali kwa kila kitu bila ya sisi kujituma katika kujitafutia ili kujikimu na ugumu wa maisha unaikabili nchi yetu. Pia viongozi wetu wameshindwa kubuni njia mbadala ya kijipatia vyanzo vya fedha mbali na...
 18. Basham

  WanaJF kwa pamoja tunaweza kuungana na kusaidia jamii kwa njia moja au nyingine

  Amani iwe kwenu wote wana Jamvi Kwa umoja wetu wanajamvi tunaweza kuunganisha mawazo ya hali na mali katika kusaidia au kutatua matatizo yanayoikabili jamii yetu ya kitanzania katika maisha ya kila siku. Wakuu wa humu wanaweza kutengeneza utaratibu mzuri tuu wa kupata kamati makini ya...
 19. Basham

  Kati ya wanaume na wanawake ni nani aliyezidi kuporomoka kimaadili?

  Peace been upon you all, Kama binadamu tuna mipaka ya kimaadili kulingana na mila na desturi za kiafrika. Lakini kubwa zaidi kulingana na imani zetu. Tumeingia karne na millennium nyingine yenye improvement ya hali ya juu ya sayansi and Tech, dunia imekua kama kijiji aliyeko USA kama yuko...
 20. Basham

  Nchi gani au kiongozi gani unaemkubali sana iwe or awe mfano wa kuigwa kwa nchi yetu

  Wasalam Wakuu, Nchi yetu bado haijawa sana stable kwa upande wa democrary na kiuchumi pia. Lakini tusibeze mafanikio na juhudi wanazozifanya Viongozi wetu. But kuna nchi ambayo unatamani iwe ni ya mfano kwa nchi yetu kujifunza, or Kiongozi wa kuigwa mfano na wakuu wetu wa nchi. Kujifunza ni...
Top Bottom