Search results

 1. The Magnificent

  Wapi nitapata burudani Lushoto Mjini weekend hii

  Wakuu Nipo hapa Lushoto Jumamosi ya Leo... Wapi naweza pata full burudani hapa baadae usiku nijichanganye? Nimefikia hapa Lushoto Highlands Resort Park
 2. The Magnificent

  Nifahamishe Shule 5 Nzuri za boarding(boys) Arusha

  Nataka kumuhamisha mwanangu kutoka Tengeru Boys kwenda Shule nyingine bora zaidi ya Tengeru Boys au yenye ubora sawa na Tengeru Boys.... Iwe Shule ya Boys....(Hata Mchanganyiko sio Mbaya sana kama inafaulisha) Msisitizo: Iwe Shule ya Bweni(Boarding) Dogo yupo form three. Natanguliza shukrani.
 3. The Magnificent

  Sifa ya kuwa Mbunge Tanzania ni kujua kusoma na kuandika, are we serious?

  Habari za weekend GTs? Nimekaa hapa nikatafakari kwa kina mfumo wa kuwapata viongozi hapa nchini kwetu Tanzania.... Mathalan,angalia majukumu ya Mbunge,Ana majukumu mazito Sana pale bungeni....anatakiwa kufanya maamuzi ambayo yanakwenda kuwa maamuzi ya Taifa. Kwa mfano,Mbunge anatunga...
 4. The Magnificent

  Natafuta toyota IST

  wadau, budget yangu ni 8M or below PM kama unayo
 5. The Magnificent

  Naomba kufahamu tofauti ya hizi IST MODELS

  Wadau Kuna hizi Models mbili zinazotumiwa na TRA kukokotoa gharana za kodi IST-NCP 60/61/65 HATCHBACK IST-NCP/ZSP 11 HATCHBACK Pia naomba ushauri Ni model gani nzuri,preference yangu Ni NEW MODEL ya kuanzia 2008 kuendelea. thanks
 6. The Magnificent

  Natafuta Mpenzi

  Habari, Mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 30 Natafuta mwanadada kwa ajili ya mahusiano ya kimapenzi tu(sio ndoa,ni mapenzi tu) Sifa: Awe anaishi kati ya DAR,MORO,TANGA,MOSHI au ARUSHA Awe na umri kuanzia miaka 30 hadi 21 Awe mrembo Asiwe mwembamba wala asiwe tipwatipwa...awe size ya...
 7. The Magnificent

  Wanaoijua Halmashauri ya Mji Korogwe (Nimehamishiwa kikazi)

  Wakuu heshima kwenu.. Nimepangwa kazi kwenye halmashauri tajwa hapo juu, sijawahi kabisa kufika maeneo hayo, naombeni wale wenyeji hasa wanaoifahamu Korogwe mjini wanipe changamoto zake. Uzuri/ubaya wake, Hali ya kiuchumi/kimaisha hapo korogwe mjini, nature ya watu wa Korogwe, na vitu kama...
 8. The Magnificent

  Wapi nitapata collection ya nyimbo za mapenzi(Slow music)

  Habari zenu wana MMU Naomba kwa anayefahamu wapi naweza kupata collection ya CD/DVD mp3,yenye zaidi ya nyimbo 200 za mapenzi(slow/RnB/Pop/Blues etc) na zisiwe za kibongo kabisaaa... Nipo Dar, vilevile naweza kuwa na list ya nyimbo zangu nahitaji kuziburn kwenye CD kijiwe gani ambacho...
 9. The Magnificent

  Natafuta mchumba/mke

  Awe na sifa zifuatazo; 1. Awe Mtanzania 2. Elimu at least form six na kuendelea(iwe rahisi kumuendeleza) 3. Umri miaka 23 hadi 28 4. Awe mcha Mungu 5. Asiwe mwembamba sana, asiwe mnene sana, awe wa wastani. 6. Rangi ya ngozi yeyote tu, lakini isiwe imeeditiwa. Sifa Zangu; 1. Ni...
 10. The Magnificent

  kufunga ndoa kwa mkuu wa wilaya(bomani)

  wandugu,naomba anayefahamu utaratibu wa kufungia ndoa kwa mkuu wa wilaya anifahamishe tafadhali,nahitaji sana cheti cha ndoa na haya mambo ya kanisani sijui harusi yanahitaji muda na pesa za kutosha! Ahsanteni.
 11. The Magnificent

  Picha 11 za Rais Masikini kuliko wote duniani na mambo 9 yanayomuhusu

  Ni kawaida kukuta maisha wanayoishi Wanasiasa ni tofauti na wapiga kura wao lakini sio hivyo kwa Rais wa Uruguay ambae anaishi kwenye maeneo ya mashambani na anatoa sehemu kubwa ya kipato chake kusaidia watu masikini. Umri wa Jose Mujica ni miaka 78 ambapo May 20 mwaka huu anatimiza miaka 79...
 12. The Magnificent

  Wito kwa Nape Nnauye,na wanaCCM Kwa ujumla

  Naona mmewaongeza Buku 7 siku za hivi karibuni humu jamvini kwa kasi ya kimbunga,.... Tatizo lao hawajui kujibu hoja,ni kuandika utumbo/Matusi na personal attacks tu...! Mkuu Nape Nnauye,kuna haja ya kuajiri vijana wenye atleast shahada moja ya PSPA,Sheria etc...waje wajadili hoja humu...
 13. The Magnificent

  Luis Suarez leo amesain miaka minne kuendelea kuwepo LFC

  Hii imekuwa habari njema sana kwetu sisi mashabiki wa Liverpool Source BREAKING NEWS: Suarez signs new Liverpool deal - Goal.com
 14. The Magnificent

  Nauza ZUKU Satelite TV Complete kit

  Wakuu Nimeamua kuuza ZUKU Satelite TV Complete kit yangu niliyoitumia kwa miezi sita tu Sababu: Nimepata uhamisho kikazi na sitokuwepo tena nchini,kwa hiyo nimeamua kuipiga mnada! ZUKU Satelite TV Complete kit yangu ina kila kitu kinachotakiwa na nzuri zaidi imelipiwa hadi tarehe 10/11/2013...
 15. The Magnificent

  Nawezaje ku-search jina la member humu jamvini?

  Mwenye kufahamu tafadhali naomba anijuze... Ahsante
 16. The Magnificent

  Wadada/Akina mama naombeni kufahamu juu ya suala hili tafadhali.

  Wakuu heshima kwenu! Nishapata ushauri niliouhitaji...nimeamua kufuta huu uzi... Ahsanteni sana! The Magnificent
 17. The Magnificent

  Je, ni kweli mwanamke hawezi kabisa kusahau mwanaume aliyemtoa bikra?

  Eti mwanamke hamsahau kabisa mwanaume wake wa kwanza(aliyemtoa bikira)? na hata inapotokea wameachana na mwanaume huyo still anakuwepo moyoni mwake maishan mwake? Na kwamba hata ikitokea siku moja jamaa akahitaji game(ambaye amemtoa bikira na wameachana either kwa shari au shwari) anapewa bila...
 18. The Magnificent

  Eti ana mimba yangu!!

  Ni kweli nilifanya nae mapenzi siku ya 6 tangu kuanza bleeding,leo ananiambia ujauzito wangu,nimemtoa nduki kwanza....nifanye utafiti kwanza kama inawezekana..... Eti wadau,siku ya 6 inawezekana kweli?? kwa elimu yangu ya baiolojia kwa vidato sita,,,,,sioni uwezekano kwa kweli....nahisi nataka...
 19. The Magnificent

  Duuhh!! Kupima UKIMWI sio kitu ya mchezo!!

  Unaweza ukafia palepale!! Inaogopesha zaidi baada ya kuona zile movement za waathirika wanaochukua ARV's Kwa wale waliopima naomba kushea nao experience hapa,mwenzenu nimepata hard time ambayo sijawahi kupata tangu nimezaliwa!! Anyway...thanks God nipo fresh,ila cha moto nimekiona......na...
 20. The Magnificent

  Nimemuita mpenzi jina la Ex wangu kwenye simu,ushauri

  Wakuu....heshima!! Ni kayika mazungumzo naye kwa simu asubuhi hii,nimejikuta kwa bahati mbaya nimemuita mpenz wangu jina la ex wangu ambaye naye analifahamu jina hilo,lakini hamfahamu mwenyewe.... amekata simu,na nikimpigia simu hapokei tena,wala text hajibu...lakini ukweli ni kwamba kabla...
Top Bottom