Search results

 1. Mphamvu

  WasafiDotKom Mungu anawaona

  Najaribu kununua wimbo maarufu wa Kitanzania, kwenye tovuti maarufu ya Kitanzania lakini siupati na haupo. Zaidi ya yote hakuna hata wimbo mmoja wa King, mwenye Bongo Fleva yake... Sio poa, mnavyotufanyia!
 2. Mphamvu

  Nape aongoze Kamati ipi ya Bunge?

  Kwa sasa Nape Nnauye sio Waziri tena kwenye Serikali ya Awamu ya Tano, ila anao uwakilishi wa kuchaguliwa wa wananchi wa Mtama kwenye Bunge la Jamhuri. Bila shaka kwa uwezo na uzoefu wake anaweza kuongoza mojawapo ya kamati za kudumu za Bunge... Unadhani anafaa kuongoza kamati ipi? Bila...
 3. Mphamvu

  'Ghetto' by Shollo Mwamba, real hood presentation...

  Singeli master and one of the oldest singer of Singeli music ‘Sholo Mwamba’ has debuted his new song named ‘Ghetto’, ‘Sholo Mwamba’ who is well known for his popular song like ‘Panya, Sembe Tembeleand Mtoto Huyo’ debuted this song last week for radio version and also available in various online...
 4. Mphamvu

  Uzinduzi wa Umoja wa Waandishi wa Riwaya Wenye Dira (UWARIDI)

  Umoja huu wa waandishi unazinduliwa rasmi leo, Agosti 25, 2016 katika viwanja vya Nafasi Art Space, Dar es Salaam kuanzia Saa 7 Mchana. Mgeni Rasmi atakuwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye. Kuwa nasi...
 5. Mphamvu

  Mrema: Kwa maandalizi yanayofanyika Magerezani, vijana msithubutu kuandamana

  Akiwa Times FM jioni hii, Mwenyekiti wa Bodi ya Parole amewaasa vijana kutoshiriki kwenye vurugu za kisiasa kwa kuwa ameyaona maandalizi ya kuwapokea huko magerezani na ni balaa. Amezungumzia pia uhusika wa nafasi yake kwenye shughuli za Bodaboda. Chanzo: Times FM
 6. Mphamvu

  Kiba ampigia debe Diamond

  Kuna habari mesikia mahali kuwa Kiba ameomba Watanzania wampigie kura Chibu, Baba Tiffah, Nasibu Abduli, Diamond Platinumz, kwenye tuzo Fulani za kimataifa, kwenye Kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio.
 7. Mphamvu

  MSIMU WA MASIKA: Nairobi, a floating city...

 8. Mphamvu

  Kabayser kaonewa sana

  Sakata la wimbo wake kuibwa na Mbunge wa Bunge la Muungano ni sehemu ndogo tu ya madhila yaliyowahi kumkuta msanii huyu mkongwe kwenye Bongo Fleva. Miezi kadhaa nyuma aliwahi kuporwa lakabu/jina lake la Simba, lakini akaishia kulalamika bila kuchukua hatua yoyote, hata kusema hovyo kama...
 9. Mphamvu

  Kilimo Kwanza hadi Katikati ya Jiji

  Ufugaji wa Ng'ombe wa kisasa kama walivyoonekana pembezoni mwa Barabara ya Mandela, jirani kabisa na Maingiliano ya Kurasini, kuelekea Daraja Jipya la Kigamboni. Mbwa wanaoonekana kwenye picha ni mbwa maalumu kwa ajili ya kusaidia uchungaji wa ng'ombe, na hapo walikuwa...
 10. Mphamvu

  Fundi Samweli na kisa chake cha 'ufundi'

  Samuel Lundström 'Fundi Samweli' ni mtayarishaji wa Muziki kutoka nchini Sweden ambaye kwa miaka kadhaa amekuwa akifanya kazi hapa nchini, Project ya Muziki iliyofahamika kama Sauti za Afrika, kabla yake kuondoka mwaka 2012. Tayari Fundi amerejea nchini na baadhi ya kazi zake mpya zimeanza...
 11. Mphamvu

  Kiba akwama kwa saa kadhaa Uwanja wa Ndege Kotonou

  Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba, juzi alikwama kwenye Uwanja wa Ndege wa Kotonou, Benin kutokana na ndege yao kutua kwa dharura kwa kilichodhaniwa kuwa ni hitilafu kwenye mfumo wa hewa wa ndege hiyo. Nguli huyo wa Muziki mwenye zaidi ya Miaka 10 kwenye muziki alikwama alipokuwa akirejea...
 12. Mphamvu

  Uganda yazuia wafanyakazi kwenda Saudi Arabia

  Serikali ya Kampala imesema kuwa itaacha kupeleka raia wake kufanya kazi za ndani nchini humo kutokana na ripoti za karibuni za wafanyakazi kunyanyaswa nchini humo. Marufuku hiyo itadumu hadi pale Serikali ya Uganda itakapojiridhisha kuwa mazingira ya kufanya kazi nchini ni salama na yanayofaa...
 13. Mphamvu

  Wajue Wapinzani wa Yanga Klabu Bingwa, Cercle de Joachim

  Hawa ndio Cercle de Joachim wanao kutana na Yanga SC February 14 kwenye kipute cha klabu bingwa Afrika. Timu hii inayopatikana katika jiji la Curepipe ni mabingwa wa Maurtian League mara mbili mfululizo 2014&2015 . Ni timu inayoongoza kwa mashabiki nchini humo wakiwa na upinzani wa jadi kwa...
 14. Mphamvu

  Phiri atua Mbeya City

  KOCHA Kinnah Phiri aliyekuwa akikinoa kikosi cha Free State ya Afrika Kusini ametua Mbeya City na kusaini mkataba wa miaka miwili. Katibu Mkuu wa City, Emmanuel Kimbe amethibitisha taarifa hiyo na kwamba Phiri alitua jijini Mbeya jana jioni na leo jioni anatarajia kuanza kazi huku Meja Mstaafu...
 15. Mphamvu

  Waliohusika na uzalilishaji wa mwanafunzi wa kitanzania India wakamatwa

  Waziri wa mambo ya nje ya nchi, ushirikiano wa kimataifa na kikanda Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga ametoa kauli bungeni kuhusiana na sakata la kudhalilishwa kwa mwanafunzi wa kitanzania aliyepo nchini India ambapo amesema tayari waliofanya hivyo wamefikishwa mahakani. Balozi...
 16. Mphamvu

  Kipigo cha Yanga chageuka neema Coastal Union

  Klabu ya Soka ya Coastal Union ya Tanga imeanza kuonja 'tamu' ya ushindi baada yakuzawadiwa fedha taslimu kiasi cha Shilingi Milioni Mbili na mfadhili wa timu hiyo, Alhaji Salim Bajaber ambaye pia ni mmiliki wa Kiwanda cha Unga cha Pembe ambao ndio wadhamini wa timu hiyo. Makamu Mwenyekiti wa...
 17. Mphamvu

  Mbwana Samatta alivyotua KRC Genk, sababu ya kuchagua kuvaa jezi namba 77

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania aliyekuwa anaichezea klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta January 29 taarifa za yeye kujiunga na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji zilianza kuenea, na baadae kuthibitika baada ya picha za utambulisho wa staa huyo kuanza kuenea...
 18. Mphamvu

  Uganda sasa kuunda Basi la Umeme wa Jua

  Kampuni ya Kiira Motors inayomilikiwa na Serikali ya Uganda imeweka wazi mipango yake ya kuanza uzalishaji wa magari ifikapo mwaka 2018, likiwemo basi aina ya Kayoola ambalo litakuwa likitumia nishati ya umeme wa jua. Chanzo: Kiira Motors unveils solar powered bus in February
 19. Mphamvu

  Rundo la Maiti lafukuliwa Nigeria, Kanisa latajwa kuhusika

  Kanisa moja huko Enugu, Nigeria limetajwa kuhusika na maiti zilizofukuliwa kwenye mashimo ya kina kifupi kando ya Barabara ya Enugu - Port Harcourt. Wakaazi wa eneo hilo walipata sehemu za mwili wa binadamu na miili ambayo haikuharibika bado kwenye jengo moja jirani na eneo la tukio, hivyo...
 20. Mphamvu

  Kufutwa kwa Matokeo Zanzibar: Makamba amsafisha Jecha Bungeni

  Waziri wa Mazingira na Muungano, January Makamba amesema kuwa Tangazo la Kufutwa kwa Uchaguzi wa Zanzibar lilitolewa na Tume ya Uchaguzi visiwani humo lilikuwa halali na kwa mujibu wa sheria. Makamba amesema kwenye kikao cha tume cha tarehe 21 January cha kuamua kutangazwa kuamua kurudiwa kwa...
Top Bottom