Search results

 1. Azimio Jipya

  U.S. hacked Yemen al-Qaida sites

  Hillary Clinton: U.S. hacked Yemen al-Qaida sites In a rare glimpse into cyberwarfare tactics, a top U.S. official has explicitly acknowledged that the U.S. government hacked into websites run by al-Qaida's affiliate in Yemen, changing advertisements that boasted about killing Americans into...
 2. Azimio Jipya

  Russian Mars Probe 'Considered Lost'

  It is expected that the Russian space agency will announce the failure of the Phobos-Grunt mission in the next few days.. THE GIST Launched on Tuesday, the ambitious Mars moon mission remains stranded in Earth orbit. The probe's engines failed to fire, preventing the mission from...
 3. Azimio Jipya

  Tsh. 1.4 billion spent on rehabilitating the Mtwara RC’s

  by HakiElimu on Tuesday, 01 November 2011 at 10:26 via Facebook Notes (https://www.facebook.com/hakielimu) Did you know that in Mtwara Region, Tsh. 395 million was spent on rehabilitation of the RC's house in 2008/09, another Tsh. 300 million was spent on this same rehabilitation in 2009/10...
 4. Azimio Jipya

  Al Qaeda slams Iran for peddling 9/11 conspiracy theories

  It's not often foreign leaders are chastised by al-Qaeda for going too far in their critique of the United States--but Iran's President Mahmoud Ahmadinejad has somehow managed the trick. Ahmadinejad is already facing bruising attacks at home from conservative Iranian clerics and politicians on...
 5. Azimio Jipya

  Miaka 50 ya uhuru:tuwatambue mashujaa wa taifa letu

  Kuelekea kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa Taifa letu. Tuwaenzi na kuwapa heshima za dhati Viongozi mashujaa wa Taifa letu. Tuwataje kwa MAJINA na kwa MICHANGO yao mbalimbali, mashujaa wa Taifa la Tanzania Kabla ya Kuupata Uhuru, wakati wa harakati za uhuru, Baada tu ya uhuru hadi sasa kufikia...
 6. Azimio Jipya

  Kaduma apingana na Prof. Shivji: MAADILI vs MIIKO.

  Kwenye Kongamano lilofanyika Leo Chuo kikuu Dar es salaam Kuhusu ushirikiswhaji wa AZIMIO LA ARUSHA KWENYE MCHAKATO WA KUUNDA KATIBA MPYA , Profesa Shiji alionekana kutilia maanani zaidi MIIKO ya uongozi kuliko MAADILI ya Uongozi. Akisema kuwa Maadili hayapimiki wala kufudishika, Ila Miiko ya...
 7. Azimio Jipya

  UTU wa Taifa

  Julius Kambarage Nyerere, kwa moyo wake wote, fikra zake zote, kauli na vitendo vyake alipigania na kutetea Utu wa Taifa la Tanzania. Utu wa Taifa ni heshima ya Taifa, Ni uzalendo wa taifa, Ni Uimara wa Taifa Utu wa Taifa unajengwa kuanzia mwananchi mmoja moja na mifumo yake yote ya...
 8. Azimio Jipya

  Utaadhimishaje kutokomea kwa magonjwa sugu

  Kama ikitokea leo hii, magonjwa sugu mbalimbali yakapatiwa dawa, jamii ingefurahia na maadhimisho yangefanyika kwa mafanikio yaliyopatikana. Lakini hata kabla tiba za magonjwa yote sugu hazijapatikana, bado hatukati tamaa na tunatamani sana zisifikiwe. Hii inamfanya kila mmoja wetu kuwa na...
 9. Azimio Jipya

  Kikwete na ccm: Tunahoji utu na ubinaadamu wenu.

  Utu ni taasisi pana! Taasisi ambayo ndio uti wa mgongo wa maendeleo ya mtu na jamii yake. Alikuwa JK Nyerere peke yake na sasa, Dr W Slaa ... aliyekuwa anadhubutu Kuusemea Utu na kuuweka kama kigezo cha ustawi wa Taifa! Bila Utu, ambao ndiyo asili ya Mtu, maendeleo yote hayana maana yoyote...
 10. Azimio Jipya

  Elections 2010 Umeonawapi Fisadi wa Kikristu akipipambana na kufarakana na Fisadi wa kiislam?

  Watanzania inabidi tuone kuwa Ufisadi ndio chanzo na msingi wa mgawanyiko wa Kitaifa unaotishia nchi yetu na tutambue kuwa mafisadi sasa hivi tayari wanafaidi mgawanyiko huo na kuwa wangependa uendelee hata kwa gharama ya udini na ukabila nk. Inabidi tuone ni nani anataabika kwa unyonge na...
 11. Azimio Jipya

  Adui yako Sio Mwislam, Sio Mkristu, Sio kabila lingine: Ni FISADI

  Kulingana na Mjadala maarufu alio toa Dr Slaa Jioni ya leo ni wazi kuwa Mgawanyiko mkubwa wa Kijamii kwa Watanzania umesababishwa na UFISADI MKUU ambao Dr aliwahi kuwataja wahusika vinara KUMI na leo Kamuongeza wa KUMI NA MOJA. Its a shame wote wliotajwa kushindwa kuchukua hatua ya kujisafisha...
 12. Azimio Jipya

  Ujasiri wa Jakaya kikwete : Rais wa Tanzania.

  Ujasiri na Uadilifu wa uongozi, Ungempelekea Rais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania Kuawachukulia hatua za dhati kabisa mafisadi waliokuwa wamewekwa hadharani na kufahamika waziwazi. Lakini akawa mnyonge, akasita na mdhaifu hadi sasa ameshindwa kuchukua hatua muafaka na sasa umoja wa kitaifa...
 13. Azimio Jipya

  Medical researchers intentionally infected people with gonorrhea & syphilis ...

  U.S. government medical researchers intentionally infected hundreds of people in Guatemala, including institutionalized mental patients, with gonorrhea and syphilis without their knowledge or permission more than 60 years ago. Many of those infected were encouraged to pass the infection onto...
 14. Azimio Jipya

  Elections 2010 CCM kukiri Kashfa ya EPA: Kutaimaliza nguvu CHADEMA na kupelekea kampeni za Utulivu

  Nguvu au Udhaifu wa vyama viwili,CCM na CHADEMA vinavyochuana kuingia ikulu iko kwenye kashfa nzima ya EPA na yote yaliyojiri kwa CCM kuingia madarakani kwa kipindi kilichopita. Ni jinsi kila chama kati ya hivi kitakavyocheza karata yake kuhusiana na Kashfa hii ndiko kutaamua mshindi wa...
 15. Azimio Jipya

  “Wafadhili wa Kimataifa = Mafisadi Wakubwa”:: Kuliko Mafisadi waliondani ya nchi ..

  “Wafadhili wa Kimataifa wanaweza kuwa Mafisadi Wakubwa”:: Kuliko Mafisadi waliondani ya nchi kama kina Lowasa,Balali etc??? Ni nani Fisadi zaidi ya Mwingine? Mzazi anaye mpa mwanae kiasi kikubwa cha fedha ambazo atazitumia vibaya na hatimaye baadaye kumpelekea kuwa fisadi mkubwa asiyeweza...
Top Bottom