Search results

 1. Sanda Matuta

  Heko gazeti la Mwananchi

  nimekuwa nikisoma gazeti hili mara kwa mara,ingawa muda mwingine limekuwa likilalia upand e mmoja katika utoaje wake wa habari kiasi cha kuwapa usumbufu waandishi wake kutoka kwa wale wanaoguswa na habari husika hasa za kisiasa. Lakini,napenda kuchukua fursa hii kumpongeza muhariri na waandishi...
 2. Sanda Matuta

  First man to be cured HIV (on yahoo news)

  There's not much good news when it comes to this devastating virus. But that is perhaps why the story of the man scientists call the "Berlin patient" is so remarkable and has generated so much excitement among the HIV advocacy community. Timothy Ray Brown suffered from both leukemia and HIV when...
 3. Sanda Matuta

  Nyumbani Lounge kwa JayDee huduma kwa mteja hairidhishi

  Wiki iliyopita niliyapitia maeeneo hayo ya Mwenzetu ambayo kwa kusema ukweli Bint amejitahidi sana sana,kwa bint kama yeye kutoka aliko tokea mpaka hapa alipofikia ni hadithi nzuri ya mafanikio ya yenye kutia moyo kwa mabint wengine na hata watu wajinsia nyingine. Lakini,pamoja na yeye kama yeye...
 4. Sanda Matuta

  Barua ya Papii Kocha kwa JK

  Wakulu nimeiona hii ikizagaa za gaa kule kwa JayDee, naona kama watu wameogopa kuileta huku kwa haraka kama wafanyavyo kwa zengine. Labda kwa sababu ya history. Hapa ni kwake mahara muafaka kwani ninaamini watu wengi wanasoma JF (nadhani) hata mushemiwa rais. Pia (siku moja kwenye taarifa...
 5. Sanda Matuta

  TIPPO (Zizzou Fashion)

  Wakuu, Nimesikia habari za kutatanisha ama kusikikitisha kutoka kwa mtu wangu wa karibu,kwamba huyu Jamaa Athuman Tippo (Another True Cebebrity wa Kibongo),anakashfa nzito ya mpaka imefikia kutangazwa kwenye Radio ya Clouds Fm. wiki iliyo pita. Kisa ambacho sikukielewa vizuri,sasa kama kuna...
 6. Sanda Matuta

  Spring of Sadness - Eric Shigongo

  Wakuu, Naombeni msaada wenu kwenye hili na ikiwezekana toeni ushauri wenu kwa huyu Bwn. Shigongo, kwangu kama nimepituka na Watunzi wengine wa hadithi na sinema za Kitanzania na kuzipa majina ya kiingereza. Mimi binafsi sio mtaalam wa lugha hiyo ya kiingereza ila kwa kiasi fulani naweza...
 7. Sanda Matuta

  -umiza moyo.....

  Namshukuru mwenyezi,sifa na takbira. Labana afanya kazi,akifata yake dira. Humpa naye mridhi,jazha nema ongezea. Humnyima kwa uwazi,yule anaye mkusudia. Huyu ndio Mwenyezi,Mungu tunaye msujudia. Mbingu yake ardhi,kwa ajabu ameumba. Adam wake mwenzi,Hawa kumuwekea. Mwanamke akamuenzi,sifa zake...
 8. Sanda Matuta

  I dont need you

  I don´t need you I don´t need friendship And I don´t need flowers in the Spring and don´t need you And you surely don´t need me. I don´t need love and affection And I don´t need peace and harmony And I don´t need you And you surely don´t need me. But we both want it bad enough Yes...
 9. Sanda Matuta

  Wakazi na wenyeji wa wilaya ya Bagamoyo

  Kutakua na Mkutano siku ya Jumamosi tarehe 25/10/2008 pale Urafiki Social Hall Shekilango/Nyuma ya Urafiki Police kuanzia saa Tisa jioni. Mkutano ni kwa ajiri ya kuzindua taasisi kwa Maendeleo ya Wilaya ya Bagamoyo ( BADEI ). Wageni wa waalikwa ni wabunge wetu wa wiliya,Bagamoyo mjini na...
 10. Sanda Matuta

  Wachumi tuambieni

  Mods,kama hii haipaswi kuwa hapa mataiweka mahara husika. Je wachumi embu tuambieni,Uchumi wa Marekani umezidi kushuka kiasi cha kuathiri kwa kiasi kikubwa shughulri zao za ki-bank. Lakini inashangaza hapa nyumbani kwamba hiyo Hela yao yaani US DOLLAR $ imekua inapanda thamani kinyume na...
 11. Sanda Matuta

  Unique

  Salaam nakutolea sababu,u-moyoni mwangu. U-Mbali na upeo wangu,ndani ya moyo wangu. Haupo machoni mwangu,unaishi moyoni mwangu. Salaam ewe wangu,mbali,karibu na moyo wangu.
 12. Sanda Matuta

  Hongera MH.Mudhihiri M.Mudhihiri

  Kwa wale ambao tumefatilia kipindi cha maswali na majibu cha Bunge letu tukufu linaoendelea hasa kwenye wizara ya Mifugo na maenendeleo ya uvuvi (wizara ya kitoweo) nadhani mtakua mnanielewa. Michango ya yote ya wabunge kwenye miswada yawizara hiyo ilikua mizuri na ya kuvutiwa,kila mbunge...
 13. Sanda Matuta

  BILLIONEA NA VIJIMAMBO! 1 GREAT RULE TO BE A BILLIONEA,soma hii

  ELLISON TO GRADS: DIPLOMAS ARE FOR LOSERS Oracle CEO Urges Students to Drop out, Start up NEW HAVEN, CONN. (SatireWire.com) — In one of the more controversial commencement addresses in memory, Oracle CEO and college dropout Larry Ellison told Yale's Class of 2000 they were "losers" whose...
 14. Sanda Matuta

  Dili Za Wanaigeria Zimebumburuka

  A Washington woman was sentenced on Wednesday to two years in prison and five years of supervised release for her role in an Internet counterfeit check scheme. Edna Fiedler pleaded guilty in March to attempting to defraud U.S. citizens in a scheme known as a Nigerian check scam. Fiedler...
 15. Sanda Matuta

  Hii Mpya;muhimu Soma

  FORMULA MILK. Imesikika na kutekelezwa na wauza mudauka wote wa jiji la Dar es salaam kwamba maziwa hayo yamepigwa marufuku kuuzwa kwenye maduka,sababu kubwa ikiwa imeelezwa (KUTOKA HUKO JUU ORDER ILIPO TOKA) ya kwamba hii ni kutokana na WAZAZI WENGI KWA SASA HAWATAKI KUNYONYESHA MAZIWA YAO...
 16. Sanda Matuta

  Mtindo huru (Free style)

  Wakubwa zangu,na wakuu wenzangu! Napenda kuwasalimu kwa lugha ya kwetu. Mambo! Nadhani kwa pamoja mtajibu Poa tu! Katika kuinzi na kuiendeleza kiswahili chetu. Napenda kuileta kwenu Thread hii hapa kijiweni kwetu. Tupate kuchangia tuliendeleza mapambano katika nchi hii yetu...
 17. Sanda Matuta

  Nyingine ya RICHIMONDULI

  Naye Lowasa akawaambia mawaziri wengine, KESHENI mkiomba kwani hamjui siku wala saa atakayokuja Dr.Mwakyembe. Nami naenda mtaani kuwaandalia kijiwe ili nitakapokuwa nanyi muwepo. Amini nawaambia, muonapo tume zaundwa basi mtambue muda wa mavuno ya MAFISADI umekaribia. Kisha akarudi tena...
 18. Sanda Matuta

  You.....Or Your House Girl!

  Jamani nina muda sasa sijaangalia cinema kwani DVD machine yangu imehalibika na sijui nani ameihaiharibu nyumbani kwangu tunaishi watatu tu Mimi,mke wangu(tunaondoka pamoja asubui nakurudi wote jioni kwani tunaishi nnje kidogo ya Jiji na tuna gari moja tu) na House girl wetu. Hii ndio...
 19. Sanda Matuta

  Email Hii.....!

  ˜The Apprentice’ TV Series Goes African; Candidate Auditions Slated for November 29-30 in Washington, D.C. Africans ex-patriots living in the U.S. and Africans (in Africa) will compete for a luxury car plus $200,000 corporate job in Africa. (WASHINGTON, D.C.) – A spin-off of “The...
Top Bottom