Search results

 1. marxlups

  Ombi kwa Waziri Mkuu na Waziri wa TAMISEMI

  Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu naamini ni wenye afya njema na mnaendelea kuwatumikia wananchi wa Tanzania vema kabisa, Naomba kuwasilisha kwenu mambo mawili na hasa katika wakati huu wa kuelekea kwenye uchaguzi wa Mbunge na Madiwani. Sisi wakazi wa Tungi Manispaa ya Morogoro tumesahaulika kwa kila...
 2. marxlups

  SUMATRA na Traffic Police

  Naomba kuwauliza swali, mnapoingia kwenye mabasi na kufanya ukaguzi huwa mpo serious au mnafanya maonyesho tu! Picha hii hapa ni ya moja ya viti vya bus la Nyehunge kutoka Mwanza - Morogoro Vngi ya viti vimenyofoka na mingi ya mikanda ya usalama nayo ni kama inavyoonekana
 3. marxlups

  Sifa za Mwanamke - Sifa Njema

  Heri ya Krismasi wanajamvi, katika kupitapita huko nimeona HIKI KITU. Najiuliza hii silabasi inafundishwa miaka mingapi na ngazi ya cheti anachotoka nacho mhitimu ni kipi na anatakiwa kuwa na GPA gani ili afiti kwenye nafasi yake NENO La Kristo SIFA ZA MWANAMKE (SIFA NJEMA) 1. Awe...
 4. marxlups

  Kwa wale wa upande huu

  Moja kwa moja kwenye mada, naomba kuwafahamu hawa waimbaji wa zamani sana ni kwaya gani.
 5. marxlups

  Abood Bus Inahujumiwa?

  Moja kwa moja kwenye hoja, nimesafiri na T 327 DLS kwasababu series ya mabasi hayo na yale ya series ya DK yana mifumo ya kuchaji simu kwenye kila kiti, lakini kwenye bus lenye namba tajwa nimeona tofauti, nilipofuatilia hata baada ya kuhitaji huduma kutoka viti jirani hapakuwa na connection...
 6. marxlups

  Nani mwenye jukumu la kudhibiti ubora wa mitihani kabla haijawafikia watahiniwa?

  Naomba wadau msome hii paper mwanzo mpaka mwisho na kisha mtoe maoni kwa wahusika.
 7. marxlups

  Muarobaini wa Mbu Wapatikana

  This Creative New Device Traps Mosquitos Without Chemicals Are you afraid of sharks, snakes or spiders? Most of us are. But there is another creature that is far more dangerous than all of those combined, and most of us don't even know it... Did you know mosquitos have killed many more humans...
 8. marxlups

  Msaada Tafadhali

  Tafadhali kwa yeyote anayefahamu nani ameimba nyimbo hii nimeirekodi sikubahatika kuipata yote kutoka 101.5 ...nitashukuru kwa kupata iliyokamilika, nimevutiwa sana na mpigaji wa bass na sollo gitars
 9. marxlups

  Laurent Fanuel wa 101.5 Morogoro

  Wadau naomba kujua Turkey inatamkwaje maana nilikuwa namsikiliza mtangazaji wa kipindi cha michezo jioni hii station 101.5 Morogoro aliyejitambusha kwa jina la Laurent Fanuel amesema Turukei, ni sahihi kweli?
 10. marxlups

  "Umeo?" Hapana, "Unasubiri nini?" ...!!

  "Oa! Ili usije ukawa unawatazama tazama hawa wanafunzi wetu wa kike" akaendelea na kusema "Haya chukua fedha hizi milioni 3 mkabidhi Mwalimu wako, halafu mwambie asije akazitumia kutolea mahari" alisikika Mh. Rais Magufuli akimwambia Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Namanyere.
 11. marxlups

  Tujikumbushe Majina Mbadala ya Fedha ya Tanzania

  Nitafurahi kusahihishwa iwapo nitakuwa nimekosea kutaja baadhi ya majina mbadala ya fedha yetu ya zamani na ya sasa.
 12. marxlups

  Msaada: Lodge Nzuri na Salama Mbezi Luis

  Ndugu wanaJF naomba msaada, nina wageni wanasafiri kuja Dar hivi karibuni, naomba kufahamu Lodge nzuri na salama kwa eneo tajwa, budget ni 25K NB: Pasiwe na kelele za Bar au zinginezo Natanguliza shukurani kwa wachangiaji chanya.
 13. marxlups

  Waziri Kangi Lugola saidia kukomesha kelele kwenye makazi ya watu

  Mhe. Waziri, kwa mara nyingine tunakuomba uitumie timu ya watendaji wako kukomesha kelele zinazoendelea kwenye makazi ya watu, ulitoa tamko na ukalifuatilia kwa karibu mwenyewe tegemeo la wananchi wengi likiwa zoezi lingekuwa endelevu, lakini si Polisi wala NEMC wameonekana kulisimamia tamko...
 14. marxlups

  NEMC na Polisi Watoe namba za wazi kwaajili ya kupokea taarifa kutoka kwa wananchi

  Hivi karibuni Mkurugenzi wa NEMC alitangaza uwepo wa ssheria ya kuzuia kelele na mitetemo kwenye makazi ya watu, kadhalika Waziri wa mambo ya ndani alirudia tangazo hilo na kuwataka wanaopiga muziki kwa sauti kubwa kuacha mara moja ama kufunga vizuia sauti. Inaelekea maagizo hayo yote mawili...
 15. marxlups

  TANESCO Morogoro epusheni majanga ja kizembe

  Katika pitapita mitaa ya Morogoro, ndugu yangu aliona hii hatari kwenye picha akanitumia ili niwafahamishe wahusika kupitia jamvi letu. Wito ni kwamba Tanesco jengeni utamaduni wa kutembelea line zenu za umeme ili kuwanusuru raia na majanga,
 16. marxlups

  Hii ni Hatari Nyingine Mamlaka husika Zichukue Hatua Haraka

  Jana nimepita Mawasiliano Sinza Dsm karibu na Hotel ya Picnic, kuna chapati zinakaangwa kwa kushikiliwa na sponge, sponge hizo zinasagika na kwisha kutokana na joto pamoja na msuguano. Hofu yangu ni kwamba sponge zinazotumika kwa shughuli hiyo zinaweza kuwa na madhara kwa mlaji kama nakosea...
 17. marxlups

  Miguu yote haifanyi Kazi? Je mguu wa tatu unafanya kazi?

  Nimesikia hii sijaielewa naomba msaada kuielewa
 18. marxlups

  Zanzibar, Pemba, Kahama and Tunduru Islands?

  Wakuu, nimeiona hii mahali huko mtandaoni, sijaelewa hapo kwenye paragraph ya kwanza hivyo visiwa vya Kahama na Tunduru vipo wapi bapa nchini?
 19. marxlups

  TRC - Sijawaelewa msemapo Tanga, Moshi hadi Kilimanjaro

  Nawaomba waungwana msikilize na kutazama video hii na kunisaidia kuelewa wanaposema Tanga, Moshi na Kilimanjaro, je Moshi si ipo Kilimanjaro? Au walitaka kusema Arusha?
Top Bottom