Search results

 1. M

  Uchaguzi 2020 Tundu Lissu V/S uongozi CHADEMA: Inasikitisha sana kuona Tundu Lissu akifanya kampeni zake bila viongozi Wakuu wa chama

  TUNDU LISSU V/S UONGOZI CHADEMA Inasikitisha sana kuona Tundu Lissu akifanya kampeni zake bila viongozi wa kuu wa chama, wale wana gombea ubunge tunajua hawawezi kuwepo kila pahali, lakini wangeweza kujumuika naye sehemu muhimu kwa muda mdogo au siku moja, pia kuna wale wasio gombea ubunge...
 2. M

  Uchaguzi 2020 Magufuli ukija Tanga, haya ndiyo yataweza kukupa kura za kishindo

  Ndugu Magufuli, mkoa wa Tanga uliwahi kuwa mkoa tajiri no.1 East Africa kwa sababu ulikuwa ndio sehemu iliyo ongoza ulimwenguni kwa zao la katani, likifuatiwa na yucatan ya Mexico. Tokea miaka ya 1970, zao la katani limekufa baada ya nylon kugunduliwa na kuweza kutengenezwa kwa bei nafuu zaidi...
 3. M

  Uchaguzi 2020 Naipenda CCM, Sipendi yanayojiri

  Ninakipenda sana chama changu cha CCM, lakini sifurahishwi na yanatoendelea: 1. Kwa mara ya kwanza campaigne ya Urais na Wabunge haina muelekeo. Magufuli umefeli sana na kukiharibu chama kwa kuwashirikisha vijana/ watu wasio na ujuzi wa namna kampeni zinavyoendeshwa. 2. Magufuli chukua hatua...
 4. M

  Asili ya familia ya Hayati Mzee Karume

  Historia inavyosema, Marehemu MzeeKarume alikuja Zanzibar na wazazi wake wakitokea Malawi, walikuwa ni wananchi wa Malawi, lakini wakati huo Tnaganyika, Zanzibar na Maliwa zilikuwa chini ya mamlaka ya Uingereza ( ama makoloni ya UK ). Jee Familia ya akina Karume walikuwa watu wenye asili ya...
 5. M

  Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anaanza kutumia lugha chafu

  Ukisikiliza Hotuba zake za Kagera, utaona TL anaanza kutumia lugha chafu na za kichochezi. Lissu amekuwa na mvuto, sijui kwanini ameanza kujiletea utata kwa matusi na tuhuma asizo na ushahidi nazo, Amemwiita Rais Magufuli Mwizi pamoja na MaRais wote waliopita isipokuwa Nyerere. Yeye ni mwana...
 6. M

  Ujumbe wangu kwa Dkt. Magufuli na chama changu cha CCM

  UJUMBE MZITO KWA MAGUFULI NA CHAMA CHANGU CHA CCM Mheshimiwa Rais wangu, Pole sana kwa majukumu yako ya uchaguzi. Unajitahidi sana kufanya campaign ya ushindi, kwa bahati mbaya mambo hayaendi vizuri. Napenda ni kosoe na nitoe ushauri, tunao muda wa kuwe kufanya mabadiliko yenye manufaa, na...
 7. M

  Tanzania ina miradi mikubwa na rahisi zaidi Barani Afrika

  Ndugu wana JF, Tukiangalia miradi mingi inayofanana hapa Africa utashanga kuona kuwa Tanzania tunajenga miradi yetu kwa bei nafuu sana na kwa kiwango cha juu. Nime copy na ku paste hapa gharama za miradi ya Mikubwa ya umeme na SGR za Kenya na Nigeria, ukizilinganisha na zetu, ama kweli serekali...
 8. M

  Upinzani nao watumia vitisho

  Ukisiliza Hotuba za viongozi wa Upinzani, utaona wanalalamika sana kuwa wanaishi maisha ya vitusho kutoka serekalini na vyombo vyake. La kushangaza hao hao Upinzani ndio Vinara wa kutumia Vitisho kwa Utawala na wananchi, Naona wamechukua ukurasa kutoka siasa za Republicans wa USA, Build FEAR in...
 9. M

  Uchaguzi 2020 Rais Magufuli amebadilika kuelekea kupata ushindi wa kishindo

  Siasa inaonyesha Rais Magufuli, ameanza kuibali siasa, na ameanza kuwa very tolerant na yuko focused kwenya mahitaji ya kudumu ya Wananchi. POLICAL MATURITY: Rais amezidi kuiva kisiasa, tumeona akiwa hana ushawishi katika Uchaguzi wa Ugombea Ubunge wa wale waliokuwa wakisemekana kuwa ni watu...
 10. M

  Je, hizi chaguzi za ndani CCM zimetuletea faida au zina athari kwa mwenendo wa chama?

  JE, HIZI CHAGUZI ZA NDANI CCM ZIMETULETEA FAIDA AU ZINZ ATHARI KWA MWENENDO WA CHAMA? NITOE PONGEZI NA SHUKRANI ZANGU KWA UCHAGUZI WA HAKI, WENYE UTULIVU NA WA BUSARA ULIOTEKELEZWA NA CHAMA CHETU USHAURI WANGU: CHAGUZI WA NDANI: Uchaguzi umekwenda vizuri na wanachama wamefanya Maamuzi yao...
 11. M

  Iko wapi Tanzania yangu? Ipo wapi CCM yangu; wapo wapi wazee wangu wenye dhamana ya chama na nchi yangu?

  IKO WAPI TANZANIA YANGU; IKO WAPI CCM YANGU: WAKO WAPI WAZEE WANGU WENYE DHAMANA YA CHAMA NA NCHI YANGU. Ndugu Watanzania na wanajamvi, nawaombea kila la kheri wakati huu mgumu. Mola atatupa neema zake na tutavuka hili janga tukiwa salama wa afya. Ninaleta uzi huu nikiwa na majonzi na wasiwasi...
 12. M

  Corona Virus - Mmoja tokea Tanzania apatikana na virusi UAE

  Waliopatikana na Virusi vya Corona United Arab Emirates wamefikia 72, kati yao kuna Mtanzania mmoja japokuwa ubalozi wetu UAE ni watu dhaifu sana na hata hawajui kuna Watanzania wangapi. Tunaomba wamfuatilia ndugu yetu na kumpa support, japokuwa tunajua kuwa kwenye Falme hii ya Kiarabu viwango...
 13. M

  Kenya, UK elevate relationship to ‘strategic partnership’

  UK Prime Minister Boris Johnson (left) greets President Uhuru Kenyatta outside 10 Downing Street on January 21, 2020. Kenya may have signed trade deals worth Sh227 billion at the recent UK-Africa Investment Summit but officials say the ultimate goal was to cement guarantees that could provide...
 14. M

  African economies to watch in 2020, debt and climate crisis

  African economies to watch in 2020, debt and climate crisis Last year, Africa had some of world’s fastest-growing economies and 2020 won’t be very different. A few of the countries on the top 10 list may have changed but the IMF, World Bank and other institutions all expect above global average...
 15. M

  Happy New Year

  Nawatakia mwaka wa kheri,Baraka, Maisha marefu na mazuri ndugu wana JF wote. Here’s a warm thought for the much awaited 2020.... *The Fable of the Porcupine.* It was the coldest winter ever. Many animals died because of the cold. . The porcupines, realizing the situation, decided to group...
 16. M

  Waraka wa Mzee Kinana na Makamba ulivyomsaidia Rais Magufuli

  ULe waraka wa kina Kinana na Mzee Makamba, umemsaidia Rais kuweza kurekebisha mambo mengi, na kuweza kupunguza wale watu waliojichukulia jukumu la kudhalilusha watu kwa jina la Raisibna Serekali. Leo tunaona wale wote waliokuwa na sauti zankutisha, na hata waliokuwa wanafanya matendo ya uhujumu...
 17. M

  Wazee wameshaanza kufanya ushauri na mazungumzo

  Ama kweli CCM ni chama kikubwa na kilichopikika kika IVA. Wazee wameshanza kufanya jitihada ya kuokoa jahazi na kutuliza mambo. Habari nilizopata ni kuwa haya yote kuanzia jana hadi leo ni mambo yaliyopangwa kiSAYANSIA ili kurudisha treni kwenye reli. Ina semekana wazee, viongozi wa chama...
 18. M

  Makonda na uchochezi wa kijinga

  Huyu makonda ama kweli hashishiki tena, sijua kawaroga watu. Maana anafanya vitendo vya ajabu, na bila ya kufikiria hisia za wale watu walioko pale ama jamii kwa ujumla. Sasa hivi karibuni ameandalia waislamu futari pale Diamond Jubilee Hall, ni jambo jema. Mtu unajua unealika waislamu...
 19. M

  Kenya wanavyoionea Somalia na kuinyonya kama Wakoloni

  Hivi sasa kuna mgogoro mkubwa kati ya somalia na kenya, leo kenya wanataka kuimega bahari ya somali, mipaka ya bahari ya enzi leo wanataka kuibadilisha. Hebu soma hapa, kenya ilivyofaidika na matatizo ya somalia. Actually, Kenya is the only country in the region that has benefited immensely...
 20. M

  Cambodia miaka 15 iliyopita ilikuwa masikini sana na hali yao ilikuwa mbaya sana, Lakini leo inakwenda kwenye uchumi wa kati

  Wana JF, Ninamuomba Mod, huu uzi wangu na Article iliyoambatishwa nayo, muiweke kwa kumbukumbu. Wiki Iliyopita Nilikuwa Thailand na nikaenda Cambondia, kufuatilia mambo ya Mchele. Cambondia ni nchi inayouzia ulimwengu Mchele. Kitu kilichonishtua ni kuwa hii nchi miaka 15 iliyopita ilikuwa...
Top Bottom