Search results

 1. Countrywide

  CHADEMA huu Uchaguzi wa 2020 tukubali umepita

  Habari wanaJF, Poleni kwa majukumu Nimeona mijadala kuhusu uchaguzi wa mwaka huu 2020 ni kama inaelekea ukingoni na ukweli usio na shaka ni kuwa tumeshindwa Hadi sasa hatujui nini cha kufanya hadi sasa kwa maana yote tuliyopanga hakuna lililofanikiwa. Ninaomba viongozi wa chama wajikite...
 2. Countrywide

  Pole Lissu, unavuna ulichopanda?

  Habari wanajf, kama kawaida kuwetea kinachojiri, Mimi ni Mwanachadema na kamanda mwerevu, kumbuka wapo baadhi ambao wao ndio walipelekea makamanda wote tuitwe nyumbu. Lakini ukweli ni kwamba tupo ambao sio nyumbu. Mara kadhaa wanachadema ambao wana busara na weledi walishauri lissu afungwe...
 3. Countrywide

  Gobless Lema umetukosea sana, lakini tutakusamehe

  Habari wanajf, leo kuna jambo ambalo nimeona lina ukakasi sana kuhusu Lema. Lema ameondoka nchini kwa sababu vitisho anavyopewa kwa mujibu wake mwenyewe. Inaweza kuwa kweli au la, lakini ambacho nimeshindwa kukielewa ni kuwa lema ameondoka na familia yake (mke na watoto wake tu) na hatujui...
 4. Countrywide

  Lissu pole sana, ila wanaCHADEMA bado tunakudai

  Habari wanaJF, Leo kuna jambo nataka kulizungumzia, issue ya matokeo ninapenda kumpa pole Lissu. Lakini kuna hili jambo lingine ambalo sijalipenda hata kidogo. Lissu kwa sasa anaishi kwenye ubalozi wa ujerumani kwa kile alichosema kutishiwa maisha yake. Yupo sahihi kwa hilo, lakini akumbuke...
 5. Countrywide

  Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, John Pambalu malizana na mawakala wako huko Mwanza hasa hasa wale wa kule Buhongwa

  Uchaguzi umekwisha na matokeo yaneshatoka (yawe halali au sio hilo sio dhumuni la post hii). Lakini kuna maeneo bado kuna manung'uniko makubwa, na hapa ntazungunzia kwa sehemu nilisikia na kuona. Siku moja kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi nilikuwa Mwanza. Na nisewe wazi nilijumuika na...
 6. Countrywide

  CHADEMA ni Taasisi kubwa, ninawaomba viongozi waiendeshe kitaasisi

  Habari wana JF, poleni kwa pilikapilika nyingi za maisha. Leo kuna jambo nimeona niliongelee kwa upana zaidi. CHADEMA kwa sasa ni taasisi kubwa sana hivyo ni wajibu wa viongozi na wanachadema kuhakikisha wanaiendesha kitaasisi hasahasa kwenye masuala ya maamuzi yahusuyo chama. Binafsi bado...
 7. Countrywide

  CHADEMA kama hatutakuwa na ruzuku, ninaomba tupeane hapa mikakati ya kukinusuru chama

  Habari wanaJF, Leo kuna jambo ambalo ningependa kuona michango ya wanachadema wenzangu (hasa wale ambao hawana mihemko). Matokeo ni kama tunavyoona kuwa ni kama hakutakuwa na ruzuku hivyo tutafute mbinu mbadala ya kukinusuru chama. Wote tunafahamu kuwa ruzuku ilitumika kwa ajili ya kuendeshea...
 8. Countrywide

  CHADEMA tujipange kwa ajili ya 2025, hatujachelewa

  Habari wana JF, Poleni kwa wote ambao matokeo yamewaumiza. Ipo hivi, kwenye mambo kama haya kuna kushinda na kushindwa hivyo ni vyema tukapunguza hasira na kuangalia tunafanyaje kwenye chaguzi zijazo. Ila natoa rai kwa wana Chadema wenzangu, tupunguze ujuaji, matusi, kebehi na dhihaka za kila...
 9. Countrywide

  CHADEMA tuboreshe intelijensia yetu, Katibu Mkuu na Mwenyekiti rekebisheni makosa

  Habari wanaJf, leo kuna jambo ambalo ninapenda kueleza ambalo kiukweli linanishangaza sana na kuniacha mdomo wazi. Nakiri kuwa nilikuwa ninaamini sana tabia tulizonazo sisi washabiki wa chama hazijafika kwenye uongozi wa juu wa chama, lakini sasa tulipo naona mambo yanakuwa tofauti kabisa...
 10. Countrywide

  Uchaguzi 2020 Ushauri kwa CHADEMA, kuna vitu tuachane navyo. Tujikite na kuwatumikia Wananchi, Uongo hauwezi kutusaidia

  Habari wanajf, leo kuna jambo moja ambalo nimeona nilizungumzie ili tuweze kukaa sawa na kuweza kushinda mapambano yetu yanayokuja. Ninaamini kuwa hadi sasa CHADEMA ila ilani nzuri sana ambayo ikitekelezwa italeta manufaa kwa nchi na wananchi kwa ujumla. Nguvu kubwa tuiweke hapa kwa maana ndio...
 11. Countrywide

  Watu wa Dar mnazidi kutuangusha upinzani, sijategemea

  Habari wana JF, Kama ilivyo kawaida yangu kuwaletea kila kinachojiri kuhusu chama chetu na upinzani kwa ujumla wake. Leo kulikuwa na tukio pale Kiluvya, ambapo mgombea wetu alizuiliwa. Yote kwa yote siungi mkono polisi kumzuia ila niseme tu watu wa Dar ilipaswa kuonyesha mshikamano kwa kuwa...
 12. Countrywide

  Tunaipenda CHADEMA, ila Vijana wenzangu kuna mambo mengine tujitafakari kidogo

  Habari wana JF, poleni kwa majukumu. Leo ningependa kuzungumzia jambo ambalo kwa hakika limeniweka njia panda. Tunajua uchaguzi na mambo yote kuhusu uchaguzi kwa sasa yapo moto kwa kuwa tunaelekea mwishoni(zimebaki wiki 3). Kuna mambo yameanza kujitokeza kwa kasi kwenye wiki hii ambapo...
 13. Countrywide

  Uchaguzi 2020 Sijapenda, CHADEMA rekebisheni haraka haya makosa

  Habari wanajf, moja kwa moja niende kwenye mada husika. Juzi wengi tulimsikia mgombea wetu akiweka msimamo mara mbilimbili kuhusu kuendelea na kampeni siku ya leo na kwa muktadha huo alikuwa anamaanisha na ndio maana akafanya press siku hiyo. Na kwa uhakika makamanda tulikuwa tumejiandaa kwa...
 14. Countrywide

  Uchaguzi 2020 CHADEMA tunahitaji wapiga kura wengi zaidi, ila kuna hawa wengine inabidi kuwakataa

  Habari wanajf, leo nipo hapa kuzungumzia baadhi ya wapiga kura wetu. Ni kweli ili tushinde uchaguzi tunahitaji wapiga kura wengi sana sana ila kuna baadhi inatubidi kuwakataa. Kwa nini tuwakubali watu ambao hawaeleweki? Chama kitaundwa na kuwa supported na watu wanaojielewa, sio kila mtu...
 15. Countrywide

  Afisa wa TRA Mwanza Bi. Mary Moyo akamatwa na TAKUKURU kwa kuomba na kupokea rushwa ya Tsh.milioni 8

  Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Jijini Mwanza imemkamata Afisa wa TRA, Bi. Mary Moyo akipokea rushwa kutoka kwa Mfanyabiashara. Naibu Mkuu wa TAKUKURU mkoani humo, DAUD NDYAMUKAMA amesema mtuhumiwa Moyo aliomba rushwa ya tsh Milion 8 (8,000,000) kutoka kwa Mfanyabiashara...
 16. Countrywide

  Uchaguzi 2020 CHADEMA tutumie nguvu nyingi sana Morogoro, kuna kitu hakipo sawa pale

  Habari za sasa hivi wanaJF, kama ilivyo kawaida kuwaletea habari mbalimbali ambazo zinafika kwenye meza yangu kuhusu chama chetu CHADEMA huwa siachi kuwaeleza ili kupata ufumbuzi. Morogoro ni moja ya mkoa muhimu sana kimageuzi hapa nchini, lakini nieleze wazi kuwa mwaka huu kuna tatizo...
 17. Countrywide

  Arusha mnatuangusha sana, Lema anastahili zaidi ya haya

  Habari wana JF. Kama ilivyo kawaida yangu kuwaletea habari ya kile kinachoendelea kwenye kampeni za wagombea wetu wa CHADEMA. Leo nimeona nijikite katika jiji la Arusha ambapo mgombea wetu Lema anagombea nafasi ya Ubunge. Kuna jambo limenishtusha sana na kuona pengine kuna hali ambayo sio ya...
 18. Countrywide

  Uchaguzi 2020 Watu wa Muheza mnataka mbunge wa aina gani? Nendeni kwenye kampeni zote za wagombea Ubunge

  Habari wanajf, Kama ilivyo ada huwa nawaletea habari ambazo pengine mnazo ila hamtaki kuzisema na pengine hamna kabisa. Mimi binafsi nahitaji kuona Wagombea wa chama changu Chadema wakishinda kwa kishindo, ila kwa yanayoendelea huko majimboni inakatisha sana tamaa. Najua kuna changamoyo...
 19. Countrywide

  Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge wa CHADEMA jimbo la Ubungo, Boniface Jacob abadilishe mikakati

  Habari wanaJF, leo nipo hapa kumshauri mgombea ubunge jimbo la Ubungo, ndugu Boniface jacob jinsi ya kubadilisha mikakati ili aweze kulibakiza jimbo la Ubungo chini ya CHADEMA. Watu wengi wa Ubungo wanakufahamu hivyo yakubidi uanze pale ulipoishia kwenye umeya. Ulifanya mazuri na wana Ubungo...
 20. Countrywide

  Uchaguzi 2020 CHADEMA tumewakosea nini watu wa Muheza?

  People'ssss powerrrr......! Habari za jioni ndugu zangu wana JF, leo nijikite na kilichotokea Muheza. Tunakumbuka vizuri sana kuwa mgombea wetu wa ubunge jimbo la Muheza awali alienguliwa na tume ya uchaguzi lakini siku mbili zilizopita tume walirudisha jina lake. Mwanadada Yosepher Komba...
Top Bottom