Search results

 1. East African Eagle

  NBAA wafuatilieni wakaguzi waliokagua TPA mtumbue majipu

  NBAA ndio msimamizi mkuu wa wakaguzi wa mahesabu wa ndani na nje na kusimamia utendaji wao.Madudu yaliyoonekana Bandarini lazima kulikuwa na uhusika wa namna fulani wa wakaguzi wa ndani na nje.NBAA na yenyewe itumbue majipu ya wakaguzi wa TPA
 2. East African Eagle

  Watetezi wa haki za binadamu teteeni maiti pia hasa za wanasiasa

  Wanasiasa wakifa wawe wa chama tawala au upinzani wamekuwa mara ingine wakiwekwa muda mrefu kwa visingizio vya kuagwia au kuitumia kujipatia michango au kutafutia umaarufu wa kisiasa au kuitumia kama chombo cha kampeni za kisiasa,a n.k.Haki ya maiti akifa ni kuzikwa MARA ANAPOFARIKI. Kuiacha...
 3. East African Eagle

  Majimbo mengi lowasa anazidiwa kura na wabunge maeneo mengi ina maana angegombea ubunge angeangushwa

  Ukiangalia matokeo ya uraisi na ubunge ya maeneo mengi unakuta wabunge wamepata kura nyingi kuliko alizopata Lowasa. Tafsiri yake ni kuwa kama Lowasa angechukua fomu ya kugombea ubunge kwenye hayo maeneo ashindane na hao wabunge wa eneo hilo angebwagwa chini. Sasa kama ubunge tu kwenye maeneo...
 4. East African Eagle

  Mambo yasiyokuwa ya kawaida kwenye matokeo ya uchaguzi 2015

  Yafuatayo ni mambo yasiyokuwa ya kawaida yaliyojitokeza kwenye matokeo ya uchaguzi 2015 1.Wanawake kuchaguliwa kuwa wabunge kwenye kura mkoa wa MARA.Mkoa wa MARA ni mkoa uliojaa mfumo dume miaka nenda rudi ajabu Esther bulaya na Ester Matiko wamepita kuwa wabunge kwenye sanduku la...
 5. East African Eagle

  Sauti ya Ujerumani ifungiwe matangazo yake Tanzania

  Sauti ya ujerumani ilirusha matangazo Ya sharif HAMAD akionyesha kuwa kashinda Uraisi Zanzibar na kutoa matokeo yasiyothibitishwa na tume. Kitendo cha idhaa ya UJermani ni ukiukwaji wa sheria ya Uchaguzi ya Tanzania. Tume ya mawasiliano ifungieni Radio SAUTI ya ujerumani kwani ni chombo cha...
 6. East African Eagle

  Waandishi wa habari msifanye mahojiano live na vyama kipindi hiki

  Kipindi hiki ni kipindi ambacho wagombea wa vyama au wawakilishi wao au viongozi waweza bomoka kitu kibaya kama vile kutoa matokeo feki mbele ya vyombo vya habari ambayo hayajathibitishwa na tume wala kwenye vituo. Dawa wahojini muwarekodi kisha mwende mkaangalie na kusikiliza mkiwa mumetulia...
 7. East African Eagle

  Ushauri kwa wamiliki wa bodaboda na polisi

  Siku ya kupiga kura na siku ya matokeo ya raisi yatakapotangazwa.Siku nzima hizo mbili Bodaboda zenu hakikikisheni mnazifungia ndani.Madereva hawazitumii.ili wasije zitumia kwa mambo ya vurugu za kisiasa mkazipoteza kwenye vurugu bure.Pia itasaidia kupambana na wahalifu wanaoweza zipora kutaka...
 8. East African Eagle

  Hofu ya Lowassa kuhusu mawakala wa CHADEMA wa kuhesabu kura

  Baada ya kuuziwa chama cha CHADEMA Lowassa anaogopa kuweka mawakala wa kuhesabu kura wana CHADEMA. Anaogopa kuwa wataendelea na biashara yao ya kuuza, hivyo watauza hata kura maana kila kitu ni biashara CHADEMA. Chama ni bidhaa ya kuuza na kura ni bidhaa ya kuuza. Amewaza kuwa kama viongozi wa...
 9. East African Eagle

  Mkoa wa Mbeya umulikwe sana na vyombo vya ulinzi na usalama kuanzia wakati huu

  Mkoa wa Mbeya kipindi hiki cha uchaguzi vyombo vya ulinzi na usalama viumulike sana. Kutokana na geografia yake na mwingiliano wa watu ni mkoa ambao watu wabaya toka nchi jirani hasa za Rwanda, Burundi na Kongo na Malawi waweza tumia Mbeya kama chaka lao la kuanzisha vurugu wakati wa uchaguzi na...
 10. East African Eagle

  Ujumbe wa kiusalama kwa wenye nyumba na polisi siku ya uchaguzi

  Siku ya uchaguzi CHADEMA wanataka wafuasi wao wakae mita mia moja toka kituo cha kupigia kura kwa kile kinachoitwa kulinda kura zisiibiwe maana hawawaamini mawakala wao waliioko ndani ya vyumba vya kuhesabu kura waliowaweka wenyewe. Mwenye nyumba usikubali wakusanyike kwenye uwanja wako au...
 11. East African Eagle

  Kama kuna mtu kamkopesha lowasa kwa ajili ya kampeni afute hilo deni kwani halilipiki

  Kuna watu wana tabia ya kukopesha wanasiasa kwa ajili ya kampeni kwa ahadi kuwa watazilipa wakipata madaraka husika wengine hukopesha baada ya kupewa hati za dhamana kama za nyumba n.k wengine huamini tu hivi hivi. Ushauri wangu wa bure ni kuwa kama kuna aliyemkopesha Lowasa hilo deni afute au...
 12. East African Eagle

  Kila anayeingia na kutoka Tanzania apigwe picha na kuchukuliwa alama za vidole

  Nashauri kila anayeingia nchini na kutoka katika mipaka yote inayozunguka Tanzania achukuliwe picha na alama za vidole iwe rahisi kuwadaka wale wenye nia mbaya wanmaoingia nchini au kwenda nchi zingine kujifunza mambo mabaya hasa kipindi hilki cha kuelekea uchaguzi. Na siku tatu kabla ya...
 13. East African Eagle

  Mabadiliko ya mfumo ni kitu gani naomba ufafanuzi.

  Neno mabadiliko kwa kiingereza maneno mawili hutumika 1.Reformation 2.Revolution mfano wa Reformation ilikuwa ni mabadiliko ya kuupindua mfumo katoliki na kuweka mfumo wa kiprotestant ulioongozwa na watu kama Martin Luther na wengineo Revolution ulikuwa ni mfumo wa ubadilishaji Mfumo wa...
 14. East African Eagle

  UKAWA bado hawajaidhinisha Lowassa na Duni kama wagombea

  Kikao pekee kilichompitisha mgombea uraisi ni Mkutano mkuu wa CHADEMA ulikofanyika Mlimani CITY.Baada ya kumpitisha mkutano mkuu hatua ya pili ilitakiwa Jina la Lowassa lipelekwe kwenye kikao cha UKAWA . Baada ya kikao cha viongozi wa UKAWA kukaana kujadili na kumptisha Lowasa kuwa ndie...
 15. East African Eagle

  Ushahidi kuwa Lowassa hakupata wadhamini milioni moja laki sita

  Lowasa alitumia masaa 48 yaani siku mbili ikatangazwa kuwa kapata wadhamini milioni moja na laki sita.Si kweli ni uwongo.Kwanza tufikiri kuwa hiyo fomu ilikuwa ikisainiwa usiku na mchana watu wakiwa hawalali kwa masaa hayo 48 kitu ambacho si rahisi. Ukichukua hiyo milioni moja na laki ukagawa...
 16. East African Eagle

  Nawashukuru wanamikakati wa ccm kwa kazi kubwa

  Asanteni wataalamu wa CCM wa mikakati ya uchaguzi mlioko ndani ya CCM na kwenye vyama vya upinzani kwa kazi kubwa mliyofanya ndani ya CCM na kwenye vyama vya UKAWA hadi kufikia mahali hapa pazuri tulipofikia.Thanks a lot.I salute you.
 17. East African Eagle

  Kipindi Maalum: ITV kuonesha historia ya maisha Dr. John Magufuli

  Kufuatana na matangazo ya ITV leo jumatano mida ya saa tatu usiku itamwonyesha kipindi maalumu cha maisha ya mgombea uraisi kupitia CCM jembe la uhakika John Pombe Magufuli kuanzia kuzaliwa kwake,alivyokuwa mdogo alivyoishi na watu kijijini n.k hadi kufikia alipo. Ni muhimu sana wazazi, watoto...
 18. East African Eagle

  Prof. Lipumba ajiuzulu Uenyekiti CUF

  Taarifa za gazeti la Uhuru la leo ni kuwa Profesa Lipumba kajiuzulu uenyekiti CUF baada ya shinikizo kali kutoka kwa wanachama na viongozi wa CUF wasiotoa rushwa wala kupokea rushwa wa upande wa Zanzibar kutokana na sekeseke la yeye na al-maruhuni wenzie kumbeba Lowasa na kutaka awe mgombea...
 19. East African Eagle

  Wenyeviti UKAWA wanamtaka Lowassa, makatibu na wanachama wengi hawataki

  Kuna taarifa kuwa wenyeviti wa UKAWA ndio wanamtaka Lowasa kwa udi na uvumba lakini makatibu wakuu wa vyama vyote vinavyounda UKAWA na wasaidizi wao na wengi wa wanachama wa kawaida wa UKAWA hawamtaki Lowasa ndani ya UKAWA. Hali ni mbaya mno hasa kwa upande wa Zanzibar.Vikao vizito vinaendelea...
 20. East African Eagle

  CHADEMA has the case to Answer to Donors

  CHADEMA have you told Donors,Development partners,World bank,European Union that you have chosen Lowassa to be your presidential candidate? I am sure they have some few questions to ask you.Please tell them.
Top Bottom