Search results

 1. bysange

  Msaada.'storage is running out'

  Salamu kwenu wanajukwaaa...Mrs wangu anatumia simu aina ya techno S³ tangu juzi inaandika huo ujumbe hapo juu,nimejaribu kufuta vitu alivyopakua karibu vyote lakini bado huo ujumbe bado unakuja.msaada kwenu wanajukwaa Natanguliza shukrani kwenu
 2. bysange

  Msaada: Tecno imekorofisha internet

  Amani na izidi kutawala mioyo yenu wana jukwaa, Tafadhalini, kuna jamaa yangu anasimu tecno y3 sasa imekorofisha haifungui Internet, japo alama zinazoonesha uwepo wa internet kama vile E,3G na H+, zinapotokea huwa kushoto kabisa mwa simu. Msaada wenu Tafadhali Natanguliza shukrani kwenu CC...
 3. bysange

  Mabomu yarindima Mlangali-Ludewa

  wanajf,bila shaka hamjambo, Nimepokea taarifa kutoka kwa mtu wangu wa karibu kutoka huko. Chanzo cha vurugu ni kutokana na askari mmoja aitwaye Kabasa,kutembea na mke wa mpiga debe wa stendi ya mlangali aitwaye Heri,wakati mme wa dada huyo akiwa hayupo nyumbani,mke alienda kulala kwa polisi...
 4. bysange

  Msaada wenu wanajukwa

  Pc yangu ambayo ni mini aina ya asus inatatizo ambalo linajitokeza pindi unapotaka kusoma thread inaleta ujumbe kuwa'done-but with errors on page' je nifanyeje wakuu/nirekebishe kitu gani
 5. bysange

  Tanzia

  Bila shaka hamjambo wanajamvi wote,kwa wale ambao wanaumwa nawaombea afya njema kwa Mungu. Ndugu zanguni wanajamvi nilifiwa juzi 15/01/2014,na mtoto wangu ambaye alifariki muda mfupi baada ya kuzaliwa,tumemzika 16/01/2014. Innalillah wainna illah rajjiun
 6. bysange

  Msaada tafadhali

  Bila shaka hamjambo wadau wa jf,simu yangu inagoma kudanload sijajua nimefunga kitu gani mwanzoni ilikuwa inadanload vizuri tu,simu yangu ni nokia naombe msaada huyo nifanye je,natanguliza shukrani kwenu.
 7. bysange

  Tuwakumbuke wachezaji hawa...

  Wanajamvi wote nianze kwa kuwatakia afya njema. Wachezaji hawa walikuwa gunzo sana na huenda ndio waliokupelekea ushabikie timu unayoishabikia hadi leo,japo wengine huuenda wametangulia mbele ya haki (mungu awarehemu)nawengine wapo hai mungu awape wepesi katika maisha yao.Wachezaji hawa ni...
 8. bysange

  Mashekhe wachomana visu leo huko kyela

  Niwatakie sikukuu njema wanajamvi wote. Ingawa leo ni siku ya furaha na shamrashamra kwa walio wengi, kule mbeya katika mji wa kyela mambo sio shwari baada ya waumini kupigana visu msikitini na kujeruhiana vibaya. Tukio limetokea kyela mjini na nimepigiwa simu na rafiki yangu aliopo kyela...
 9. bysange

  Wizi huu wa nmb mobile umezidi jamani...

  Napenda kwanza kuwasalimu ndg zangu wa jf kila mmoja kwa imani yake. Hawa nmb wanahuduma kadhaa wa kadhaa kwa ajili ya wateja wao ila leo naomba nizungumzie hii huduma ya nmb mobile.Wizi walioweka ni wa kificho mno na uko hivi; Mara tu unapopiga ile namba ya ya huduma(*150*66#)wanakata hela...
 10. bysange

  Hiki kituo cha redio majanga!

  Natumaini hajambo wote! Kuna kituo cha redio pale Njombe ambacho kinafahamika kama uplandsfm kimekuwa kinatuma sms kwenye simu yangu kwa siku ya tatu sasa na kukata tsh 130,kupitia namba 1556, kila sms ikiingia inakuwa na jina la kituo tajwa hapo juu.zoe hili kwangu limeanza mwishoni mwa mwezi...
 11. bysange

  Wahusika wajirekebishe bhana aaaghhh

  Hii kitu inachosha sana unakuta baadhi ya watu wameanzisha mtandao wao kwa ajili ya kutoa taarifa mbalimbali kwa uma lakini unachokutana nacho kinatia hasira unakuta habari ambazo ni za mwezi wa sita 2012 au disemba hamna taarifa ambayo ni mpya hata moja hivi kwani ni fasheni kuwa na hiyo...
 12. bysange

  Diwani wa CHADEMA apishwa

  Leo mmekuwa siku ya furaha kwa wanachama wa chama cha CHADEMA kwa kuapishwa kwa diwani wa kata ya Mlangali wilayani Ludewa mkoa wa Njombe mheshimiwa Faraja Mlelwa,shughuli iliyofanyika saa5 kamili hadi saa 5:20, Jembe hilo limeahidi kufanya kazi kwa kufuata misingi ya chama(chadema)na kuwaomba...
 13. bysange

  Nina mapenzi na CHADEMA ila hii imekae je?

  Kichwa huwa kina kiuma kwa chama nikipendacho kuwa na maamuzi juu ya maamuzi ya waamuzi,naomba mnielewe hivi kuna Madiwani wa CHADEMA karibu kila wilaya ya Tanzania bara na huwa kuna vikao vya madiwani ambavyo huamua ni mambo gani yapitushwe kwenye ki/vikao vyao sas kwanini bara baada ya baadhhi...
 14. bysange

  Mzazi ameshindwa vipi?

  Juzi wakati anafunga rasmi suala la uchaguzi wa CCM kwa wanawake raisi wa tanzania alitamka kukerwa na ununuaji wa kura ama waweza ita rushwa iliyogubika mwenendo mzima wa uchaguzi huo,kama katika kada nyingine watuhumiwa huwa wanasimamishwa kupisha uchunguzi katika hili ameshindwa je yeye kama...
 15. bysange

  kwa hili sheria inaeleza nini?

  Nina rafiki yangu ambye ana mchumba wake aliye ishi naye kwa zaidi ya miaka mitatu,akiwa anafahamika kwa wazazi wa msichana kwani ametoa posa na kujitambulisha pia.mwezi huu msichana huyo alifumaniwa usiku akiwa nyumbani kwa mwanaume mwingine,je nini kinaweza fanyika kwa misingi ya sheria...
 16. bysange

  Huku ni kuchoka kwa ccm au fikira za wafuasi?

  Juzi ijumaa ni meshangazwa na wanaccm kwa ulitoke msiba wa mmoja wa wanachama ambaye hana cheo chochote ktk chama lakini cha ajabu alizikwa kwa kutumia BENDERA ya chama. je chama kimechoka hivyo kutoa hesima kwa kila mmoja? je fikira na uamuzi wa chama|wanaccm ni mgando? je chama hakina washauri...
 17. bysange

  Ufasaha ni upi?

  WanaJFnaomba mnitoe katika utata wa maneno haya mawili.kwenye tukio la mlipuko wa mabomu pale Gongo la mboto baadhi ya vyombo vya habari hutumia maneno haya: A: WAHANGA wa mabomu B: WAATHIRIKA wa mabomu je neno lipi ni sahihi kutumika?
 18. bysange

  kuwa na nyumba ndogo kuna maana gani kitaalamu?

  WanaJF naomba mnijibu je kuna maana yoyote kuwa na nyumba ndogo(mke au mume wa pili)maana najiuliza maswali ya kina majibu haba.
Top Bottom