Search results

 1. Ben Zen Tarot

  Elimu ya binadamu

  Binadamu ana miili miwili, mwili wa nyama na mwili wa kiroho. Sasa huu mwili wa kiroho pia una sauti, sauti yake uja automatic pale Unapoomba kwa utulivu (meditation). Yani ni hivi ukitulia na kufumba macho kisha ukasem kwa uwezo wa Ben nataka uchawi na nguvu zote zilizopo za kijini na kichawi...
 2. Ben Zen Tarot

  Kila hatua Dua

  Swali kabla hujaswaliwa
 3. Ben Zen Tarot

  Kuna cha kujifunza hapa

  Shida kuzidiana
 4. Ben Zen Tarot

  Mtu mvumilivu zaidi Duniani

  Huyu ndie mtu wa pekee aliyekuwa na uvumilivu zamani kidogo kwa tukio lake la kuchomwa na mkuki wa bunduki jichoni
 5. Ben Zen Tarot

  Wa kwanza atakuwa nani?

  Kipi kitakuwa cha kwanza kujaa maji?
 6. Ben Zen Tarot

  Hii inawezekanà kweli?

  Inawezekana au haiwezekani?
 7. Ben Zen Tarot

  Unaamini nini katika maisha yako?

  Imani ni ushahidi wa jambo lisiloonekana. Kwa mfano kuna watu wanaamini Mungu hayupo na wengine wanaamini Mungu yupo. Hawa wote wapo sahihi maana wote wana sababu kutetea imani zao. Wapo wanaoamini UCHAWI haupo nk Nikienda kwenye mada moja kwa moja nitaelezea imani chache juu ya maisha...
 8. Ben Zen Tarot

  MWANAUME

  Ni jina linalomuwakilisha mtoto mwenye jinsia ya kiume,ukiacha kibaiolojia mwanaume anamambo mengi ya tofauti na yakushangaza. KWANINI ANAITWA KICHWA CHA FAMILIA? .. Mwanaume anauwezo mkubwa wa kufikiri,hii ipo kwa kila mwanaume,uwezo huu humsaidia kujiongoza mwenyewe/familia kwa kufikiri kesho...
 9. Ben Zen Tarot

  Nyumbanitu: Msitu wa ajabu mkoani Njombe wenye kuku weusi, ng'ombe weusi, mbuzi weusi na kondoo weusi

  Njombe ni mmoja wa mikoa 31 ya Tanzania, uliorasimishwa kuwa mkoa mwaka 2012 mara baada ya kutenganishwa na Iringa inayopatikana Nyanda za Juu kusini Kwa Tanzania. Hapo awali Njombe ilikuwa ni wilaya ndani ya mkoa wa Iringa ikiwa ina ukubwa wa eneo la mraba la Km 21,347. Sensa ya mwaka 2012...
 10. Ben Zen Tarot

  Pepo/jini hawezi kutoka bila kumtafutia makazi salama

  Kuna wakati Mitume wa mungu aliwahi kuwaamuru mapepo wamtoke mtu waliokuwa wameweka makazi kwake.. Wakamuuliza tukitoka tutaenda wapi? Akawaamuru waende kuingia kwenye kundi la nguruwe... Nao kwa kasi ya ajabu wakawaingia wale nguruwe na nguruwe nao wakakimbilia baharini.... Huko hawakupona...
 11. Ben Zen Tarot

  Uchawi wa kimapenzi mkali kabisa yaani ni balaa

  Katika masuala ambayo uchawi una ishi na kutawala basi ni suala la mapenzi. Asilimia kubwa ya watu wanao enda kwa waganga, huenda huko kwa sababu ya mapenzi au kwa sababu ya mambo yanayo sababishwa na mapenzi. Uchawi wa mapenzi upo wa aina nyingi sana. Nikisema nianze kutaja na kuelezea kwa...
 12. Ben Zen Tarot

  Kama ulikuwa hujui binadamu wote ni sawa tu ni suala la muda tu

  1. Kama ulikuwa hujui, ukifika umri wa miaka 40, waliosoma sana na waliosoma kidogo wote wanakuwa sawa tu, ni wakati huu majigambo ya certificates, diplomas, degrees, masters, PHD hupotea kabisa. Ni katika umri huu inawezekana mwenye elimu ndogo akatengeneza pesa nyingi sana kuliko mwenye elimu...
 13. Ben Zen Tarot

  Thailand: Jamaa aumwa nyeti zake na nyoka akiwa msalani

  Tukio hilo limetokea Jumanne Septemba 8 wakati kijana aitwae Masukarat mwenye umri wa miaka 18 aishie Thailand kung'atwa na nyoka kwenye nyeti zake akiwa ameketi msalani huku akitazama video kwenye simu yake. Ghafla akahisi uchungu kwenye nyeti zake na kukimbizwa hospitalini ambapo madaktari...
 14. Ben Zen Tarot

  Mtu na mpenzi wake

  Mtu na mpenzi wake huyo wa kiume ana pesa chafuu, swali la kujiuliza ufunguo unatosha kwenye kitasa? Ila wanaume tutafute pesa.
 15. Ben Zen Tarot

  Uyo mweusi ni mnyama gani?

  Uyo allye na mbwa ni mnyama gani
 16. Ben Zen Tarot

  Ungefanyaje katika hali kama hii?

  Ili ufanikiwe lazima ukutane na vikwazo
 17. Ben Zen Tarot

  Bembea ya mtoto na kiti vyote vinauzwa

  Bembea ya chuma kwa ajili ya mtoto mdogo inauzwa kwa bei nafuu sana sh 90,000 tu offer Kiti cha chuma kwa ajili ya mtoto mdogo kinauzwa kwa bei nafuu sana sh 50,000 tu, vyote vimetumika kidogo sana na vipo katika hali nzuri sana with maximum potability hata kwa daladala unavibeba tu mpende mwanao.
 18. Ben Zen Tarot

  Umewahi kukaa muda mrefu kiasi gani bila kulala usingizi?

  Na kilitokea nini? Kuna watu hawalali kweli wanakesha kama popo? Kuna story ya ajabu nimesoma sehemu kuna mtu ana disorder kwahiyo halali usingizi kabisa! Inasemekana binadamu anatakiwa alale masaa 8 yamepungua sana masaa 6 inashauriwa hivyo kiafya. Mimi kama mimi niliwai kukaa siku 3 bila...
 19. Ben Zen Tarot

  Sheli inayojengwa Basihaya barabara ya Bagamoyo yaleta adha ya maji

  Takribani week sasa hakuna maji -- Basihaya mpaka Ununio yote. Inasemekana ujenzi wa hiyo sheli umepasua bomba kubwa linasambaza maji maeneo hayo. Swali la kujiuliza: Je, mmiliki wa hiyo sheli hakufanya utafiti kujua kwamba chini kuna bomba la maji? Maana maji ni uhai bora wangekata umeme...
 20. Ben Zen Tarot

  Mtihani mgumu

  Kipi aanze kuchukua mkate au funguo?
Top Bottom