Search results

 1. Nathason2

  Kama huwezi kuachana naye usijaribu kuchungulia mawasiliano yake.

  Kuna siku nilijifanya Mjuaji nikadukua mawasiliano ya mchepuko wangu niliyokutana nayo huko sasa ni hatari tupu, sms ya kwanza kuingia jamaa anampongeza kwa shughuli yao ya jana kuja huku whatsaap shughuli nzito nikajikuta naumwa ghafla pressure inanipanda mara nikaona dunia inazunguka mara...
 2. Nathason2

  Mjue Rais wa kwanza wa Zimbabwe huru

  Canaan Sodindo Banana (Machi 5, 1936 - 10 Novemba 2003) alikuwa Rais wa kwanza wa Zimbabwe kutoka Aprili 18, 1980 hadi Desemba 31, 1987 Wakati wa uhai wake, Banana ndiye aliyeviunganisha vyama vya hasimu vya siasa nchini zimbabwe, Union Zimbabwe African National (ZANU) na Zimbabwe African...
 3. Nathason2

  Kukithiri kwa matukio ya wizi: Chukua tahadhari kuimarisha ulinzi wa nyumba yako

  Wapendwa wana JF Naamini wengi wetu tunauelewa na hali ya jiji letu la dar es salaam kwa sasa, Hasai kwenye nyanja ya uchumi,hali ya maisha kwa vijana wengi sana mitaani imekuwa ngumu hususani wale waliokuwa wanaendesha maisha kiujanjaujanja hali hii imeongeza kundi la vibaka hivyo kupelekea...
 4. Nathason2

  Mgogoro wa TANESCO na ZECO unahitaji busara kuliko nguvu

  Juzi alisikika Raisi Magufuli akiliagiza shirika la Umeme Tanzania TANESCO kulikatia umeme shirika la umeme Zanzibar/ZECO kutokana na kushindwa kulipa deni linalotokana na ZECO kutoridhia uamuzi wa TANESCO kuwauzia umeme kwa gharama wanazouziwa wateja wa Tanganyika Kwa mtazamo wangu Endapo...
 5. Nathason2

  Rais Magufuli Vita yako dhidi ya wanyonge inaweza kuigharimu nafasi yako ya urais mwaka 2020

  Habari kwenu wana JF Kwa muda mrefu Raisi wetu mpendwa amekuwa akijimbanua kama mtetezi wa wanyonge na Yale ayafanyayo anayafanya kwa faida ya wanyonge watanzania.ki ukweli kundi hili ndilo kundi kubwa kuliko makundi mengine hapa kwetu Tanzania. Kwa muda mrefu nimechunguza haya mapambano ya Mh...
 6. Nathason2

  Kodi zetu zinaendesha maisha ya viongozi tu

  Itakumbukwa kuwa siku za karibuni serikali ilitangaza adhma yake ya kuhamishia makao makuu ya Nchi DODOMA hili sio suala jipya kwenye uongozi wa Tanzania awamu zote zilizotangulia zilijiwekea adhma hii kuhamishia makao makuu ya serikali Dodoma moja ya sababu ni gharama kubwa za uendeshaji wa...
 7. Nathason2

  Hashim Rungwe Sipunda: Huyu mnayemuita fisadi si mumkamate au nyie waongo?

  Ukurasa wa Facebook wa Gazeti la kila siku la mwananchi umepakia Video ikimwonesha Hashimu Rungwe akihoji Nchi imepindia wapi pamoja na mambo mengine Rungwe anaonesha kuwa katika kipindi cha mwaka mmoja alichohudumu kama raisi,Raisi magufuli hajafanya lolote zaidi ya ndege na kwamba kununua...
 8. Nathason2

  Kuitwa kwenye usaili COASCO

  Wadau coasco wanawapigia watu simu kuwaita kwenye usaili utakaofanyika tarehe 24 na tarehe 25 mwezi huu so kama hujapigiwa tangazo liko kwenye daily news ya tarehe 20 july 2015
 9. Nathason2

  Tukiendeleza utamaduni wa kuchagua viongozi wa serikali kwa ushawishi wa viongozi wa dini tutapotea

  Nakumbuka kwenye uchaguzi wa mwaka 2005 nilikuwa na uelewa mdogo hususani kwenye masuala mapana ya siasa za nchi yetu sikutaka kujihusisha na siasa kwa kuwa niliamini kufanya hivyo ni kupoteza muda wangu wa kujipanga kimaisha,siku moja nikiwa kwenye Ibada ya jumapili nilishituka kumsikia padri...
Top Bottom