Search results

 1. M

  Ni njia ipi sahihi au ya kudeal na toxic partner ndani ya mahusiano

  Kama mnavyojua ndugu zangu katika mahusiano siku zote hamuwezi kuwa na furaha ila kuna wakati mnaweza mkapishana mkasameheana na maisha yakaendelea. Katika mahusiano pia kuna wakati mpenzi wako sweat na kuna wakati mpenzi wako akawa toxic hali ambayo inawafanya waanze kujuta au kuuumia. Je...
 2. M

  Kamwe usikubali rafiki au ndugu aliyefilisika awe sehemu ya maisha yako

  Kumekuwepo na Katabia flani miongoni mwa ndugu zetu au marafiki wakishafilisika huwa wanatafuta mtu gani awe sehemu ya maisha yake. Watu wa aina hii wanapokuja katika maisha yako hawawezi kuwa productive kwako, zaidi wanakuja kukufilisi narudia tena wanakuja kukufilisi na kama sio kukufilisi...
 3. M

  Kwa Mara ya kwanza leo nimeonesha uanaume wangu mpaka mtoto wa kike kaomba poo

  Katika mahusiano swala la migogoro ni swala la kawaida sana na swala kugombana au kutofautiana ni kawaida sana lakini pia tunapogundua tumekosea huwa tunajitahidi wengine kuomba msamaha na kubembeleza mambo yaishe . Ila kuna watu wana tabia ya ukiwakosea basi wana tumia fimbo hiyo kukuchapia...
 4. M

  Vijana wanaoponda wenzao wanaolalamika maisha magumu, kipi kinawafanya wajiamini?

  Kwa maisha ninayoyapitia na jinsi ninavyopambana na haya maisha niweze kutoka; kwa jinsi ninavyoumiza kichwa maisha ya kujitegemea yanavyonipeleka kasi alafu nikisikia kijana ananiponda nalalamika maisha magumu huwa najiuliza: Hivi ujasiri wa kuniponda huwa anautoa wapi akioniona nalalamika...
 5. M

  Ukiona umeachwa na mtu unayempenda kabla ya ndoa mshukuru sana Mungu wako

  Watu wengi wakiachwa na watu wanaowapenda sana huwa wanaumia sana haswa vijana lakini kitu ninachotaka kukisema hapa ni kwamba. Ikitokea mtu unayempenda sana akakuacha pointi ya kwanza kabla ya ndoa mshukuru sana MUNGU WAKO kwani kuna stress, manyanyaso na mateso amekuepushia mapema kwani huko...
 6. M

  Hatua 8 za kuanza safari ya maisha ya kujitegemea kama kijana

  1. Hatua ya kwanza jifunze kufanya kazi yeyote bila kuangalia elimu yako au fanya biashara yeyote ndogo 2. Hatua ya pili jifunze kujiwekea akiba ya hela ndogo ndogo unazopata 3. Hatua ya tatu tengeneza malengo ya mwaka mmoja au miwili itakapofikia hatua flani kiasi flani cha hela uwe...
 7. M

  Aina za ajira ambazo hazitaji cheti bali maujanja yako ndo yatakayokubeba

  Nilikuwa kuna sehemu napitia mtandaoni nikakutana aina kumi za ajira ambazo hazitaji cheti bali ni ujanja wako wa kujiongeza 1. Events planning and marketing 2. Freerancer marketer 3. Graphics design 4. Market research 5. Video productions 6. Data collector 7. Entertainment coordinator...
 8. M

  Ukiona maisha hayajakukalia sawa usiogope kutumia uongo kutimiza malengo yako

  Kuna wakati katika maisha unapoona maji yamefikia shingoni usiogope kusema uongo ili kutimiza malengo yako ya sasa na baadae Kwa dunia ya sasa mtu kukupa mtaji wa biashara ni ngumu sana hata kama ni mzazi wako, ndugu yako au watu wako wa karibu wengi watakupa stori kibao sijui hivi wala vile...
 9. M

  Internet inarudishwa lini?

  Naombeni kufahamu wadau hivi internet wanarudisha lini lakini? Mtandao umekuwa shida kwetu kuupata mpaka ugongee Android kwa mtu.
 10. M

  Ukiona hali yako kimaisha imefikia hatua hii fanya maamuzi magumu haraka sana

  Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ukiona hali yako ya kimaisha imefikia hatua hii chukua maamuzi magumu haraka sana. 1. Ukiona una miaka 30 lakini bado upo home chukua maamuzi ya haraka sana uanze maisha. 2. Ukiona umefikia miaka 35 na bado huna ajira huna shughuli yeyote na bado upo home...
 11. M

  Hivi unawezaje kujenga urafiki na Ex wako aliyekuacha kwa maumivu makali?

  Kuna wakati nakosa majibu lakini pia kuna wakati kuna huwa ninawashangaa unakuta mtu kaachwa lakini bado analazimisha urafiki Ex wake ambaye amemuumiza na kumkosesha raha lakini bado anamfuatilia. Inafika wakati Ex wake anampiga mizinga hatari halafu anachokipata anahonga mpenzi wake mpya...
 12. M

  Ukweli mchungu: Wanawake bila kuwafanyia maigizo katika mahusiano huwezi kwenda nao sawa

  Vitabu vya Dini vilivyosema tuishi nao kwa akili havikukosea, najua kuna wengine watanipinga lakini nasema hivi Watoto wa kike bila kuwadanganya kuwaongopea bila kuwafanyia maigizo huwezi kwenda nao sawa Ukitaka mtoto wa kike akupende zaidi au uweze kwenda nae sawa mfanyie maigizo unapopata...
 13. M

  Changamoto ya kuzidiwa kipato na mwanamke wangu jinsi ilivyobadili mwelekeo wangu wa maisha

  Tangu nipo mahusiano na huyu mwanamke nimejikuta mwelekeo wa maisha maana kuna vitu nilikuwa sivifanyi nimejikuta nafanya ili twende nae sawa kama ifuatavyo ...:: 1.Nimefungua biashara ya aina tatu tofauti ili kujiongeza kipato zaidi at least ndani ya mwezi nitengeze laki 5 ambayo sawa na...
 14. M

  Nataka kufungua business training centre, msaada kwenu wana JF vitu vya kuzingatia

  Heshima yenu wana JFnataka kufungua business training centre kwa ajili ya kutoa mafunzo na semina ndogo ndogo za wajasilimali ambapo nitakuwa natoa mafunzo na semina kuhusu. Mambo ya biashara, ushauri wa kibiashara, masoko na mifumo mingine ya kibiashara. Hivyo nahitaji msaada wenu ni vitu...
 15. M

  Nimeamua kujiendeleza kielimu angalau niweze kwenda sawa na mpenzi wangu

  Sijajua kama nakosea au laa ila nimeamua kujiendeleza kielimu angalau niweze kwenda sawa mpenzi wangu kielimu upande wangu niliishia Diploma ila mpenzi wangu ana masters na ana kazi yake nzuli tuu hivyo nimeona na mimi acha nijiendeleze maana Siwezi jua mbeleni kuna nini. Upande wangu baada ya...
 16. M

  Ukiona mtu unayempenda sana anaonesha Dalili ya kukuacha taratibu fanya hivi

  1.Kitu cha kwanza anza kubadili mwonekano wako anza kuvaaa vizuli uanze kupendeza 2.kitu cha pili anza kufanya vitu vya kimaendeleo 3.kitu cha tatu tafuta pesa hakikisha you work hard kutafuta pesa 4.kitu cha nne kama ulikuwa huna shughuli maalumu ya kufanya basi tafuta cha kufanya kama ni...
 17. M

  Ukitaka kufanya biashara epuka kuomba ushauri toka kwa watu wanaokufahamu

  Katika makosa makubwa unaweza kufanya kama binadamu ni kuomba ushauli wa kibiashara unayotaka kuifanya toka kwa watu wana kufahamu iwee ndugu au marafiki wa karibu Never and ever usije ukajaribu kuomba ushauli kuwambia wazo lako la biashara kwani huwa na majibu ya kukuvunja moyo kama yafuatayo...
 18. M

  Bila kujiongeza maisha haya huwezi kumove on katika maisha kama kijana

  Moja Kati ya vitu nilivyovigundua katika maisha haya ni kwamba 1.ukisubili upate kazi ndiyo uweze kuanza maisha utachelewa sana . 2.ukisubili upewe mtaji na wazazi au ndugu zako wa karibu ufanye biashara utachelewa sana 3.ukisubili marafiki zako wa karibu wakusaidie kupata kazi au kukupa...
 19. M

  Fahamu mbinu za kupata fursa ya kufanya kazi na kampuni au taasisi yeyote ile

  1. Hatua ya kwanza tafuta taarifa kuhusu hiyo kampuni au taasisi inashughulika na nini 2. Hatua ya pili tafuta Angalia ni aina Gani ya huduma wanazozitoa kwa wateja wao 3. Hatua ya tatu fanya utafiti wa juu zaidi kuhusu aina na huduma zitolewazo na ujitahidi uzielewe kiundani zaidi 4. Hatua...
 20. M

  Imeniuma sana mtu niliyemwamini kama rafiki wa kweli nusunusu asababishe uhusiano wangu uvunjike

  Zilikuwa kama story za kawaida ndipo mpenzi wangu akataka kufahamu wapi ninapokwama akutafuta suluhisho ili afahamu jinsi gani atanibeba akaamuq kumtafuta best friend wangu wazungumze na hivi ndivyo best friend wangu akamueleza Akamueleza madhaifu yangu na mapungufu yangu . Akamuelezea jinsi...
Top Bottom