Search results

 1. F

  Gari yangu imeshika break ya tairi la kulia nyuma

  Mafundi na wenye magari naomba kueleweshwa tatizo la gari langu. Asubuhi nimeamka kwa ajili ya kwenda Kanisani, baada ya kushusha handbrakes na kuanza kuondoka, tairi la upande wa kulia nyumba likagoma kuzunguka. Nikilazimisha linaslide tu. Kwa kweli sijajua tatizo mpaka sasa. Mwenye utaalamu...
 2. F

  Naomba Msaada kuhusu kuingia Mkataba Ardhi Kimakosa.

  Nimefatwa na Mama mmoja asiyejua kusoma lakini yupo kwenye ndoa. Ameishi na mumewe kwa zaidi ya Miaka Kumi lakini hakubahatika kupata Mtoto. Mume wake kamshawishi wamrithishe kijana mmoja Mali zao pindi watakapofariki.Inasemekana kijana huyo amejikomiti kutoa huduma zote kwa hao wazee kwa...
 3. F

  Wapi nitaweza kujifunza accounting package-quickbook

  Naomba kwa yeyote anayejua sehemu wanapofundisha Accounting Packages hasa Quickbook anisaidie kwani nina hitaji ya kujifunza kwa haraka tayari kwa kuifanyia kazi ambayo nipo nje ya muda. Naomba sana msaada wenu. Centre iwe Dar es Salaamu na muda uwe jioni. Nikijua na Gharama itasaidia zaidi...
 4. F

  Hatimaye Rais Barrow arejea nchini Gambia

  Rais Mteule wa Gambia Bw.Adama Barrow leo anarejea Nchini Gambia baada ya kuridhishwa na hali ya Usalama nchini humo. Barrow ambaye aliapishwa kwenye ofisi za ubalozi nchini senegal ameapa kupambana na ufisadi wowote uliotendwa na mtu yeyote hata kama ni Rais mstaafu Yahya Jammey aliekimbilia...
 5. F

  Kenya yaunga mkono vikosi vya ECOWAS

  Kenya imesema inaunga Mkono uamuzi wa Jumuia ya Afrika Magharibi(ECOWAS) ya kumfurusha Bw.Yahya Jammey ambaye amegeuka kuwa Muasi na kukatalia Ikulu wakati yeye sio Rais kuanzia Jana.Hayo yametamkwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Bi.Amina Mohamed. Hata hivyo Majeshi ya ECOWAS yameshaingia...
 6. F

  Yahya Jammeh aongezewa miezi mitatu na bunge

  Bunge la Gambia limemuongezea Profesa,Dr.Yahya Jameer kwa miezi Mitatu zaidi.Hii ni baada ya kutangaza hali ya hatari na kusema kwamba uchaguzi uliingiliwa na Mataifa ya Nje. Kesho Rais Mteule anategemewa kuapishwa. My Note. Huyu jamaa ni aibu kwa afrika.Viongozi wa Afrika wajitahidi kutawala...
 7. F

  Dangote ajiandaa kuongea na Rais Magufuli

  Mfanyabiashara maarufu wa Cement duniani Bilionea Aliko Dangote amepanga kuonana na Rais John Pombe Joseph Magufuli ili aweze kumweleza kuhusu utata unaotokea kwenye uzalishaji wa Cementi katika kiwanda chake kilichoko Mtwara. Bilionea huyo ambaye alikuwa amepanga kufungua kiwanda cha sukari na...
 8. F

  Maalim Seif ajiandaa kuitosa CUF

  Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi-CUF Maalim Seif Sharif Hamad ameamua kukihama chama chake baada ya kuona kinapoteza mwelekeo.Kwa sasa Maalim Seif yupo katika harakati za kutafuta chama mbadala ambacho atahamia yeye na wafuasi wake. Chanzo: Gazeti la UHURU. MY NOTE.Nitakuwa wa mwisho kuamini...
 9. F

  Vyeti vya DUCE vimeshatoka?

  Kwa wale wahitimu wa DUCE 2013 naomba mnijuze kama vyeti vimetoka maana huku mkoani sina mawasiliano kabisa. Kwa anayefahamu naomba anijuze.
 10. F

  CCM,Kipimo cha Maisha Bora ni kupitia Mishahara ya Kima cha chini.

  Serikali ya CCM imeshindwa kuwalipa wafanyakazi wa Kima cha chini Mshahara unaotosha kujikimu walau kwa kula tu.Mishahara ya sasa haifiki Tshs.200,000/=kwa Mwezi.Mtu makini lazima ajiulize,inawezekanaje Serikali inayojigamba kuwapatia watanzania Maisha Bora kulipa Mshahara wa Kiwango hiki...
 11. F

  ICC yatoa msamaha kwa Uhuru Kenyatta

  Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu(ICC)yenye Makao yake huko The Hague-Uholanzi imemruhusu Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kutohudhuria Vikao vyote vya ICC ambavyo ataona vinaingiliana na Majukumu yake kama Rais.Awali ICC ilimkatalia Ombi la kutohudhuria baadhi ya Vikao.Marekani wamekosoa uamuzi huo...
 12. F

  Burundi: Hatutatambua maamuzi ya Jumuia ya Afrika Mashariki yasiyoshirikisha Tanzania!

  Burundi imeweka wazi Msimamo wa kutoyatambua Maamuzi yoyote yatakayofanywa na Nchi za Kenya,Uganda na Rwanda kwa Mgongo wa Jumuia ya Afrika Mashariki kama hayatashirikisha Nchi ya Tanzania. Hayo yamewekwa wazi na Msemaji wa Serikali ya Burundi Bw. Philip Nzomaribwa. Waziri wa Afrika Mashariki...
 13. F

  Shekh ponda hahusiki na kuwamwagia tindikali wazungu.

  Baada ya Shekh Ponda Kukamatwa na Kufunguliwa Mashtaka ya Uchochezi na hatimaye kupelekwa Gereza la Segerea kwa kukosa Dhamana,ni dhahiri kwamba hahusiki kabisa na tukio la Zanzibar la kuwamwagia Raia wawili wa Uingereza Tindikali. Ni Jukumu la Jeshi la Polisi kutueleza limefikia wapi...
 14. F

  CPA(T) na Mamlaka waliyopewa NBAA

  Baada ya kusoma na Kujiridhisha na utaalamu wangu kuhusu Mambo ya Kiuhasibu na Ukaguzi wa Mahesabu,Nimeamua kuanzisha AUDITING FIRM.Naomba kujuzwa ni Kifungu gani cha Sheria kinachohitaji niwe na CPA(T) Kama hitaji Muhimu la Kwanza.
 15. F

  Kuna tatizo la msingi B.O.T.

  Nilienda B.O.T kwa ajili ya kupata salary slip niweze kukopa Bank.Nilikuwa na utambulisho kutoka kwa Mwajiri wangu ukionyesha kwamba salary slip zangu zinapelekwa Bukoba kimakosa badala ya kituo changu halisi ambacho kipo DSM.Baada ya kumwona mhusika mmojawapo alinishauri nirudi baada ya siku...
Top Bottom