Search results

 1. W

  Afghanistan: Hamad Karzai Declared President

  I cant believe UN is allowing this to happen under its name!! how can you skip an election and declare someone a president??..on what basis? security? money? time?..You cant skip an election ..even if there is a 1,000,000,000% chance that the guy will be elected by majority to be a president...
 2. W

  Kenyan Writer Disses Tanzania!

  I totally agree with you that the idea of EAC is good but our neighbors need to solve their internal problems before rushing Tanzania into integration.I know most of our neighbors have big eye for Tanzania vast resources but Tanzania cannot AND will NOT solve your land problems,your...
 3. W

  This is Dowans HQ in Costa Rica - (Pictures)

  Nasikia huwa wapo wakati wa uchaguzi tu!..baada ya hapo wanakwenda vacation.
 4. W

  Mugabe amlipua waziri wa Marekani wa masuala ya Africa

  Yep..yep i totally agree with you ..and as the matter of fact the problems started when Mugabe said "NO" to their interests!..thats when we started to hear all these! Sani Abacha was killing and terrorizing Nigerians for many years ..and yet non of the so called democratic western countries...
 5. W

  Mugabe amlipua waziri wa Marekani wa masuala ya Africa

  I don agree with all things that Mugabe is doing to his people but i am very aware of the tactics and other western media propaganda towards Mugabe. We know where it started ..we know the source of it!..so my take is keep up listen to CNN and Fox news and other western media propaganda ..may be...
 6. W

  Mugabe amlipua waziri wa Marekani wa masuala ya Africa

  Most African Americans lack self confidence..they dont stand for what they believe and good for their fellow Africans..they simply listen to their masters! ..and the worst thing is that they want to impress their master no matter what!.
 7. W

  Obama: Tanzania ni mfano wa kuigwa

  Heee...yale yale "Siye tuna amani na utulivu kwa hiyo ni bora kuliko wengine!" Wengine wana huduma muhimu kwa wananchi wao lakini hawana amani na utulivu kwa hivyo sisi ni bora zaidi!! heheeee...nawashauri wote mnaosema hivi muende japo hapo Tripoli,Libya mujionee wenyewe jinsi kanali...
 8. W

  Wazungu vinara vya utumwa na si waarabu Afrika

  Mmmh...naona kama tunaanza kuibadili historia ...wote waaarabu na wazungu( wa ureno,wa hispania,n.k.) walishiriki katika biashara hii..na kamwe tusianze kulaumu kundi moja kwa kuanzisha au kulisifia lingine kwa kuendeleza biashara hii eti tu kwa sababu kuwa hawakuanzisha!! ... Wembe.
 9. W

  CHADEMA chama Mbadala kwa CCM

  Mkuu..Tuko pamoja kwa hili.Hakuna cha uchawi wala nini ..inabidi upinzani uungane pamoja ili kuweza kuiondoa CCM madarakani! Tumeona nchi nyingi tu zimeweza kuondoa chama tawala kwa kutumia njia hii.. Halafu vilevile itaonyesha ni kwa jinsi gani upinzani ulivyokomaa nchini mwetu na kuwa wako...
 10. W

  Prof. Haroub Othman Afariki Dunia

  Aaaaaah..mbona hivi jamani?? yaani wale ambao tunawahitaji sanaaa wanatutoka!! yanabaki yale majizi tuuuu.. !!! I am speechless!! Mwalimu wangu nitakukumbuka sana hasa kwenye msimamo wako mkubwa kwenye Human rights!!!!..Tanzania na Afrika bado inawahitaji sana wapigania haki za binadamu. Pole...
 11. W

  January Makamba: A New Generation Leader!

  Si ndiyo huyu huyu ambaye akienda Washington DC hataki kukutana na watanzania wenzie anabaki kujichimbia hotelini! ...sasa kama anamawazo mazuri ya kuijenga nchi why run away from fellow Tanzanians????...interesting!
 12. W

  Africa's Longest Serving leader Dead at 73

  Nakwambia Afrika kweli moto! Bado wapo wengi tu kuna wa kule Uganda naye yupo madarakani tangu 1986! Yule wa Libya ndiyo usiseme! wa Angola naye sijui tangu 1979! wa Equitorial Guinea(Obiang Nguema) naye tangu 1979! wa Cameron(Paul Biya) naye tangu 1982!! wa Egypt(Bw.Mubarak) naye tangu 1981...
 13. W

  Wapemba ni watu gani?

  Ni waafrika wanaokataa uafrika wao!!..wanasema wao ni waarabu! hivyo ni bora kuliko waafrika!..wewe kama unabisha jaribu kufuatilia ni wapi mpemba aliusifu uafrika wake..woote utawasikia sijui dubai..sijuia oman sijui...saudi Kazi kweli bado tunayo wandugu! sijui ni lini waafrika tutaelimika na...
 14. W

  Ulimwengu aliponzwa na kujitapa Utustsi!!

  Somo zuri kweli kweli hili...linamfaa sana Paul Kagame na serikali yake inayoongozwa na kabila moja tu...huku makabila mengine yakinyimwa haki ya kushikilia nafasi za juu katika serikali yake. Pia nadhani linamfaa Museveni ...na wahima(watutsi wa uganda) ambao wanadhani wao ni haki yao kuwa...
 15. W

  Ulimwengu aliponzwa na kujitapa Utustsi!!

  Tatizo hapa si chuki dhidi ya kabila la kitutsi ...tatizo la watutsi ni pale wanapojifanya wao ni bora kuliko waafrika wengine..eti wao ni wazuri..wana-maumbo mazuri..pua nzuri na pia wanaasili ya wayahudi ..kwa hiyo wanapasa kutawala waafrika wengine!!...HAPO NDIYO CHUKI DHIDI YAO...
 16. W

  Picha itakayomsuta JK na wabunge wake mamilionea.....

  Sasa mkuu je ungefika kwenye hospital zetu si ndiyo ungezimia kabisa!!...akina mama wajawazito na vitoto vichanga ni kulala chini na hakuna hata mashuka ni mwendo wa vijikanga tu!.. Sasa kunatofauti gani kati ya binadamu na wale ng'ombe wanaozaa na kulala chini??
 17. W

  Dr Hussein Mwinyi awe rais wa Tanzania 2015

  Halafu bado watu wanashangaa kwa nini Tanzania ni nchi masikini???? jamani lazima muelewe kuwa matatizo ya Tanzania na nchi nyingi za kiafrika hayaletwi na wazungu bali ni BAD LEADERSHIP ..... Mpaka leo hii miaka karibu miaka 48 ya Uhuru bado nchi haijaweza kuwa hata na maji safi ya kunywa bila...
 18. W

  Time 100 The Most Influential: Paul Kagame

  Nafikiri kuna njama za kumkweza huyu bwana..hivi ndiyo viongozi wengi wa Kiafrika wanavyotaka kuonekana!!! naanza kujiuliza pia kuhusu uhuru wa vyombo vya habari kule Rwanda..inaelekea vimefungwa midomo kusema neno lolote against Kagame! vilevile aache kuwabambikia wapinzani wake kesi za...
 19. W

  Second Wives of African Presidents

  Kazi kweli tunayo!..mpaka tufanane na wazungu ndiyo tuwe wazuri!!...ya nini yote hayo ya kujichubua na mikorogo...waafrika bwana taabu tupu..jifunzeni kujipenda jinsi mlivyo!!..
 20. W

  Gaddafi outlines African vision

  Libyan leader and current African Union chairman Muammar Gaddafi has spelled out his plans to create a United States of Africa. At an AU Executive Council session in Tripoli, he called on the continent to speed up the integration process. His vision of a pan-African government was at the heart...
Top Bottom