Search results

 1. M

  Polisi aliyemkodi mwenzake ili amtie mimba mkewe, amfikisha mahakamani kwa kushindwa kumtia mkewe mimba

  Man sues neighbour he had paid to impregnate his wife and failed after 72 different ‘attempts’ | The Zambian Observer
 2. M

  Fahamu haya unapoenda weka mafuta hasa petrol

  Maelezo sahihi. Asante sana. Kwa kuongezea tu, wengi wetu huwa hatuna utamaduni wa kusafisha matenki ya mafuta ya magari yetu. Gari ya mwaka 2000, na unapenda kuweka Lita tano tano, na wakati unawekewa mafuta huzimi injini, mafuta yanaingia kwa msukumo mkubwa kwenye tenki na yanavuruga uchafu...
 3. M

  EWURA: Yatangaza kushuka kwa bei ya mafuta ya Petrol, Diesel na Mafuta ya Taa

  Mkoa wa Tanga una bei zake...ni kwa sababu mafuta yanashushiwa bandari ya Tanga. Kwenye matangazo ya bei huelezwa hilo.
 4. M

  Kilomita za Gari

  Unaweza kununua gari yenye km idadi yoyote, kutegemea mfuko wako. Wingi wa km inamaanisha pia uchakavu wa injini. Injini ndiyo kinu cha kufua nguvu ya gari. Ikiwa injini itakuwa imekwenda km nyingi, maana yake inaashiria kwamba msukumo sahihi wa injini hiyo utakuwa umepungua ukilinganisha na...
 5. M

  Four cylinder Vs six cylinder

  Hakuna tofauti ya ulaji wa mafuta kati ya injini mbili zenye ujazo sawa wa 2000 lakini tofauti ni idadi ya cylinder. Faida moja tu ya kuwa na cylinder nyingi kuliko chache ni kwamba kishindo kinachotokea baada ya mlipuko wa injini (impulse) kwa kila mzunguko wa injini (engine revolution)...
 6. M

  TANZIA: Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

  Mkongwe, salama? Longtime aisee...wapi Icadon? Game Theory? Susuvili...na wengine wa enzi hizo JF ikiwa kisima hasa...
 7. M

  Mtoto wa mbwa german shepherd ni bei gani na nitamtambuaje?

  Gimmy, hao ni mbwa Wazuri. Kwa urahisi google picha zao utawaona.
 8. M

  Ahmed Shabiby Mbunge wa Gairo katika Ubora wake!

  Huyo kaenda Bungeni kulinda maslahi yake
 9. M

  Ahmed Shabiby Mbunge wa Gairo katika Ubora wake!

  Shabiby hajakemea ukwepaji Kodi, bali anataka ukaguzi wa wachakachuaji upigwe marufuku eti wanaonewa wauza mafuta. Alikamatwa January mwaka huu, akalia kwa Prof Muhongo ewura hawakumwachia, akalia kwa PM hakuachiwa, sasa anataka utaratibu huo uachwe.
 10. M

  Bungeni Dodoma bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini: Prof. Muhongo vs John Mnyika

  Susuma, Baada ya uchakachuaji kubanwa, biashara kwa baadhi yetu ngumu, hivyo wengine wanaponea kupiga dili za transit. Ndo maana Lake Oil aliibuliwa, Sasa Shabiby, Mbunge wa David Matayo na Mansoor wa MOIL wote wameungana wanataka serikali iachane n fuel markIng ili warudishe pesa
 11. M

  Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983

  Duh Major Gen Hanspope? Kweli Yerico aliwafuma. Mwanakijiji et al, tuna deni kubwa la kuandika vitabu vya historia ya nchi yetu.
 12. M

  EWURA yafafanua kutoshuka bei ya mafuta nchini

  King Kong, ukitafuta bei na uwiano wa hesabu za kushuka kwa crude oil kwa pipa kwa hesabu zako hutaweza kupata. Kwa sababu sote hatuna uwezo wa kujua gharama za kusafisha hayo mafuta, kuyasafirisha kutoka yanakosafishwa hadi yanakonunuliwa. Tanzania hatuagizi mafuta machafu. Tunanunua...
 13. M

  EWURA yafafanua kutoshuka bei ya mafuta nchini

  hiyo swali namba 1 mbona impact yake ilipita kaka? na hata ukiangalia kwenye machapisho ya ewura, miezi ya eneo hilo inajieleza tu. Nikipata chapisho hilo nitaliweka hapa. Kumbuka, kila Jumatano ya mwanzo bei hizi zinatangazwa na sisi tunabadilisha.
 14. M

  EWURA yafafanua kutoshuka bei ya mafuta nchini

  MKuu Adolay, jambo lingine unalosahau ni kwamba hizo data za world market siyo za mwezi au kipindi kimoja, siyo bei za mara moja. Ni hesabu za cummulative, unapoambiwa bei sasa zimeshuka hadi kufikia "more than 70% collapse in oil prices since the middle of 2014." haina maana sasa au mwezi huu...
 15. M

  EWURA yafafanua kutoshuka bei ya mafuta nchini

  MKuu Mkoroshokigori, msikubali kudanganywa kirahisi. Nenda hapa Pump Prices utapata bei za mafuta Kenya. Ukiona uvivu, Nairobi lita ya Petroli ni sh. za Kenya 88, ambazo hapa ni sawa na sh 1, 885. Mbona tunadanganywa kirahisi hivi na taarifa zote ziko mtandaoni?
 16. M

  EWURA yafafanua kutoshuka bei ya mafuta nchini

  Mwaraby wa Dubai, kila lita ya petroli unalipia kodi sh 752. Ina maana hata ungepewa bure kule, unabeba kwenye begi, bado hapa ungecheua sh 752 serikalini. Upo kaka?
 17. M

  Bei za mafuta katika nchi mbalimbali duniani

  thamani ya sarafu nimeibadilisha. ndiyo maana nimeweka katika Tsh zoote...ni Tshs.
 18. M

  Bei za mafuta katika nchi mbalimbali duniani

  Mkuu Flamini, nimerekebisha. Zote zimewekwa per litre, kuondoa mkanganyiko.
Top Bottom