Search results

 1. F

  RPC Arusha na ulinganishi wa vyeo JWTZ na PT

  Hapo umeniacha. Wanalingana kwa Mshahara,Majukumu au nini? Sijaelewa kabisa,ulinganifu huo umefata vigezo gani?
 2. F

  Kwanini kwenye kubadili Passport hakuna foleni kama NIDA licha ya kesho kuwa siku ya mwisho?

  Tupatie vinavyohitajika,tusijekurudishwa kwa kukosa vielelezo au kiwango Fulani cha pesa na deadline ndio hii.
 3. F

  Kwanini kwenye kubadili Passport hakuna foleni kama NIDA licha ya kesho kuwa siku ya mwisho?

  Naomba kujuzwa mahitaji ambayo ni lazima uwe nayo ili ufikie vigezo vya kubadilishiwa Passport. Kuna wanaosema lazima uwe na 150,000/=. Je, ni kweli?
 4. F

  Kumbe Lugola alichosaini ni Memorandum of Understanding (MOU) na sio Contract! Magufuli hajui kuwa MOU haina nguvu ya kisheria?

  Kitu pekee ninachoamini na ndicho Mh.Rais alichokiona ni kwamba Kangi hakuimudu Wizara ya Mambo ya Ndani. Alikuwa anarukaruka tu.Hata job description alikuwa hajui.Mara aingilie kazi za IJP kutumbua ma-RPC,Mara aingilie kazi za Amiri Jeshi Mkuu na Kumuamuru IGP asimame Paredi na Mbwa. Yaani...
 5. F

  Gari yangu imeshika break ya tairi la kulia nyuma

  Nashukuru kwa ushauri. Nitaufanyia kazi.
 6. F

  Gari yangu imeshika break ya tairi la kulia nyuma

  Kwa kweli sina kumbukumbu ya lini nimebadilisha Brake kwa Mara ya Mwisho. Ila kwa sasa linatembea vizuri baada ya kuachia.
 7. F

  Gari yangu imeshika break ya tairi la kulia nyuma

  Sawa sana. Nimejaribu kwenda mbele ikatoa mlio na kuachia.
 8. F

  Gari yangu imeshika break ya tairi la kulia nyuma

  Mafundi na wenye magari naomba kueleweshwa tatizo la gari langu. Asubuhi nimeamka kwa ajili ya kwenda Kanisani, baada ya kushusha handbrakes na kuanza kuondoka, tairi la upande wa kulia nyumba likagoma kuzunguka. Nikilazimisha linaslide tu. Kwa kweli sijajua tatizo mpaka sasa. Mwenye utaalamu...
 9. F

  Mmarekani mjanja sana, Iran wamekwama wapi?

  Iran inatakiwa itulie na kujishusha.Marekani sio taifa la mchezomchezo .
 10. F

  Shule zenye ufaulu mkubwa unaojirudia zichunguzwe

  Mkuu unachekeza.utengenezaji wa Toothpick unahitaji uwezeshwaji wa Mtaji.Kama huna Mtaji ni kazi bure hata kama una 1.7. Dr.Gharib Bilal na mtaalam wa Nuclear .Jiulize kwa nini hatengenezi Kombora la Nuclear au Umeme wa Nuclear?
 11. F

  Shule zenye ufaulu mkubwa unaojirudia zichunguzwe

  Vyuoni huenda wanafeli kwa sababu ya mazingira tofauti na waliyozoea. Vyuo vingi vinamazingira ya kiufundishaji kama Shule za Kata.
 12. F

  Naomba Msaada kuhusu kuingia Mkataba Ardhi Kimakosa.

  Nimefatwa na Mama mmoja asiyejua kusoma lakini yupo kwenye ndoa. Ameishi na mumewe kwa zaidi ya Miaka Kumi lakini hakubahatika kupata Mtoto. Mume wake kamshawishi wamrithishe kijana mmoja Mali zao pindi watakapofariki.Inasemekana kijana huyo amejikomiti kutoa huduma zote kwa hao wazee kwa...
 13. F

  Kumbe Kanali wa Jeshi ni cheo kikubwa kuliko cheo cha IGP

  Chain of Command ndio inayotuonyesha nani mkubwa kati ya Mkuu wa Magereza na Colonel. Katika Baraza la Mawaziri Chain of command inatuonyesha Waziri yupo karibu kuliko Mkuu wa Mkoa. Katika ugh'atuaji wa Mamlaka ya Serikali,Chain of Command inatuonyesha Mkuu wa Mkoa yupo karibu na Rais ijapokuwa...
 14. F

  Kumbe Kanali wa Jeshi ni cheo kikubwa kuliko cheo cha IGP

  Kijeshi haiko hivyo. Unainama kama haupo kwenye Uniform. Kama aliinama ujue salute hiyo haikumhusu.
 15. F

  Kumbe Kanali wa Jeshi ni cheo kikubwa kuliko cheo cha IGP

  Kitaalamu ni Kwamba Saluti ya kijeshi ikipigwa kwa mwanajeshi aliyekatika uniform naye atajibu kwa salute sio kwa kubana mikono. Kama huyo Kanali hakujibu kwa kupiga Saluti ina maana hiyo salami haikuwa yake.
 16. F

  Kumbe Kanali wa Jeshi ni cheo kikubwa kuliko cheo cha IGP

  Wewe huelewi kitu. Toka lini Colonel akawa mkubwa kwa Mkuu wa Jeshi la Magereza?. Yaani Kanali ambaye hana hata uwezo wa kuwasiliana moja kwa moja na Mkuu wa Majeshi awe sawa na Mkuu wa Magereza anayewasiliana moja kwa moja na Rais?. Punguzeni bangi vijana.
 17. F

  Kumbe Kanali wa Jeshi ni cheo kikubwa kuliko cheo cha IGP

  Angalia usiwehuke. Katiba inaonyesha Majeshi yaliyopo Tanzania ni pamoja na JWTZ,POLISI NA MAGEREZA. Wewe unasema hizo ni Siasa.Kwani hujui Siasa ndio inaongoza Dunia?
 18. F

  Wazee mnaopanda daladala, kupishwa "Seat" ni hisani tu. Siyo jambo la muhimu!

  Mimi nimehisi wengi humu ni Wanafunzi.Tofauti na hapo Jamii yetu ina tatizo kubwa sana la kimaadili.
 19. F

  Wazee mnaopanda daladala, kupishwa "Seat" ni hisani tu. Siyo jambo la muhimu!

  Acha Kufuru. Maisha yanachangamoto nyingi. Ukiweza kuwahi siti kwenye Daladala haina maana ndio umemaliza.
Top Bottom