Search results

 1. R

  Bati zinauzwa, usafiri bure ndani ya Dar es Salaam

  Upana ni effective width?
 2. R

  Mfahamu Tete Kafunja, Mtanzania aliehukumiwa kunyongwa kwa kesi ya kubambikiwa na kusota miaka 18 jela

  Kinadharia. Hata huko Marekani kuna watu wanakaa jela miaka kibao kwa kesi za kubambika. Hebu soma hii ya Uganda I was on death row for 20 years for a murder I did not commit
 3. R

  Nini kifanyike endapo nyumba yako imeshika moto usiku mkiwa ndani

  Pia liwe sehemu ya kimkakati. Ikitokea moto upande mmoja lisaidie. Ufunguo wa dirisha hilo uwe karibu...muhimu pia kuhakikisha kufuli na bawaba ziko sawa, unajaribu kufungua mara kwa mara pamoja na kuweka oili.
 4. R

  Vituko vya mafundi /ujenzi katika Picha

  Aina hii ya vitanda ipo sana mikoa yenye mchwa wengi. Hata 'ceiling board' ni za bati. Sioni kama ni kituko
 5. R

  Msaada: Hii vita mimi na Wife

  Badala ya kugombea rimoti, kwa nini usimwambie mwenye rimoti awe habari?
 6. R

  Mauaji ya vizazi vitatu vya familia kisa kampuni

  Zama gugo saka jina la huyo mhindi....hakuna cha kuendelea hapa.
 7. R

  Airtel Tanzania slashes data prices by 85%

  Najua. Nawaza tu 40k kwa gb 1. Baada ya hiyo slashing kitu kama 6k kwa 1gb
 8. R

  Airtel Tanzania slashes data prices by 85%

  40tzs/mb = 40,000tzs/gb
 9. R

  Je, ni wangapi wasiotamani kupata watoto?

  Hapa kunachozungumziwa uwezo wa kuzaa? Ama majukumu yanayakuja kwenye malezi? Ama watoto kuwa bima uzeeni? 1. Uwezo wa kuzaa (hili mtu halipangi), kuna wasiotaka kabisa kupitia machungu ya kuzaa. Kubeba mimba hadi kujifungua kuna tabu zake! 2. Uwezo na hisia za malezi, hapa wengine hawataki...
 10. R

  Mchango wa mawazo kutoka kwa wadau nataka kufunga ndoa

  Ndoa yenu haifanani na ndoa nyingine, mnaijenga wawili. Mnaweza kusambaratika mkianza kuigaiga.
 11. R

  Mama wa kambo kaniharibia kila kitu

  Lengo lako kuja hapa ni kutaka msaada wa aina gani hasa? Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 12. R

  Nimetapeliwa na wauza iPhone wa Instagram

  Kwangu mimk tatizo sio bei. Tatizo ni kutuma hela kwa mzimu. Angefanya background check kidogo.
 13. R

  IMF: Tanzania Rapidly Closing its Economy gap with Kenya

  Thank you! Talking to the wrong person.
 14. R

  IMF: Tanzania Rapidly Closing its Economy gap with Kenya

  You must be smart enough to understand my point. Try your good maths...after how many years will the two be equal? And that the point.
 15. R

  IMF: Tanzania Rapidly Closing its Economy gap with Kenya

  I am not sure if the said stats are correct. But if correct, the gab is narrowing. Mathematically one can even project the break even. A simple example, if you have £100 and i have £60, if you and me annually increase what we have by 5% and 7% respectively, in 25years or so we will have roughly...
 16. R

  Moshi: Aliyepigwa kwa kudaiwa kufumaniwa amliza Mkuu wa Mkoa

  Watu wanakana maelezo waliandika polisi, kwamba kulikua na vipigo. Yawezekana ni kweli alifumwa, ila maelezo kwenye ile video hayawezi kuwa ushahidi, dhahiri ilikua lazima akubali yale waliyotaka wale walikua wanampiga. Sent using Jamii Forums mobile app
 17. R

  Idris Sultan atimiza siku 7 Rumande

  Tunadumbukia shimoni na watu wanachekelea tu. Tunajenga picha ya Rais sio binadamu mwenzetu. Kuna vitu unashangaa kweli vyombo vyetu vya usalama vinashughulika na vitu ambavyo hazina uzito wowote? Kwamba picha alipiga mheshimiwa kwa hiyari yake, kisha mtu kucheka tu ni kosa? Tena kosa la...
 18. R

  Idris Sultan atimiza siku 7 Rumande

  Watu hawaelewi umuhimu wa utawala wa sheria, hadi iwakute. Sent using Jamii Forums mobile app
 19. R

  Wasanii wa Bongo wamtelekeza Idris, hakuna aliyeenda kumwangalia wala kumpost

  Ujilitaje bure jina la mungu wako. Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom