Search results

 1. H

  Wana Kigoma embu jengeni kwenu

  Hivi nyie mnaongelea Kigoma ipi ambayo mnaipa sifa za uchawi na kutopenda kwao? Kule pako safi, na maendeleo ni dhahiri!
 2. H

  Kesi ya Zitto Kabwe; Shahidi apiga yowe Mahakamani baada ya kubanwa na Wakili Kibatala

  Kufanikisha kumuonesha jamaa kuwa ni bingwa wa kuigiza, hata hizo chuki anazosema ni maigizo tu. Angekuwa na chuki ya kweli asingeitikia wito wa polisi kwenda kuandika statement kwani angekuwa na hasira nao na angekuwa anawahofia pia!
 3. H

  Hali ilivyo jimboni mwa Mbunge Goodluck Mlinga

  Nadhani Kuna kitu hujaelewa. Nadhani wanajua si kazi ya mbunge kujenga hiyo barabara ila ni kazi yake kuwasilisha kero za watu wake serikalini ili zitatuliwe, badala ya kufanya Hilo maswali yake bungeni ni juu ya issues ambazo hazihusiani na mahitaji ya Jimbo lake.
 4. H

  Waziri Selemani Jafo akitoka ndani ya ofisi yake mpya mkoani Dodoma baada ya kazi

  Nadhani stahiki ya kushindwa kusimamia ujenzi huo ilifaa kuwa kufukuzwa kazi kuliko kuhamishia ofisi sehemu kama hiyo ambayo inasababisha kushindwa kutoa huduma kwa watu wanaozihitaji. Hapo kupata file ni shughuli, data za kimtandao ndo hakuna kabisa. Hapo wameadhibiwa wengi si watendaji tu bali...
 5. H

  Tukiiga hii ya gavana wa KADUNA Nigeria, Walimu wanaweza kufa kwa presha...

  Je, hao walimu kila mmoja alifanya somo lake au walifanya masomo yote? Na kwa mfumo wao wanachukua masomo yote au wanakuwa na specialization kwenye masomo? Hata profesa wa kiswahili ukimpa mtihani wa A-level wa hesabu atafeli tu manake siyo angle yake
 6. H

  Uamuzi wa kujengwa ukuta kuzunguka Mererani kulinda madini ya Tanzanite ulifikiwa mwaka 2002, lakini ukawekwa kapuni

  Haya ni mawazo mazuri sana ya kuimalisha usalama wa ndani. Mimi layman ningependa tu kujua HUU WIZI ULIOKUWA UNAENDELEA ULIKUWA UNAFANYIKAJE? Kwani kwa kufahamu vyema mbinu zinazotumika ndivyo unavyoweza kuwa na mbinu bora za kuzuia. Kwani bado mzigo unaweza kupita getini kwa declaration...
 7. H

  Zitto ulitaka bunge limchague Masha, umesahau haya maneno yako!

  Indeed, wazo lako limeendana na langu. Nakumbuka alilaumu jinsi ambavyo wameacha nguli wakachagua wachanga na lawama zake hazikuwa kwa hao tu ni kwa hata wale wa awali. Wengi ni wachanga wa mambo mazito ukilinganisha na wale ambao wamechaguliwa kwenye nchi zingine. Wa kwetu hawataweza...
 8. H

  Kamanda Sirro ametoa ufafanuzi kuhusu askari aliyefyatua risasi hewani mbele ya Waziri wa zamani

  Nina wasiwasi Kamanda Sirro zaidi ya kuhadithiwa na hao vijana wake hajaona video inayoonesha tukio hilo. Maelezo yake yanakinzana na kinachoonekana kutokea. Kwanza kabla ya kufyatua risasi hata hawakuwa na mpango wa kumkamata baada ya hasira za jamaa kupanda na kukoki bunduki yake na kufyatua...
 9. H

  Muiran awa maarufu kwa kufanana na Lionel Messi

  Sasa kinawafurahisha nini kupiga picha ni mtu fake huku ukijua origina iliko
 10. H

  Gazeti la Jamhuri: Zitto ANYUKWA, Ndege mpya iliyonunuliwa ikiendelea Kutengenezwa

  Umesahau alishauri tununue mitambo ya Richmond au tutaifishe wakamzodoa kwamba serikali hainunui used. Unajua leo tunaikodisha kwa sh. ngapi mitambo ile ile iliyopewa jina lingine? Usikivu ni mzuri hata kwa yule unayedhani si mwema kwako kwani katika asemayo mengi kuna mambo ambayo yatakufaa...
 11. H

  Mafuriko yaikumba gari, jamaa aifanyia maombi

  Yesu alimshindia. Halikusombwa!
 12. H

  Mafuriko yaikumba gari, jamaa aifanyia maombi

  Amina. Mungu ni muweza wa yote. Hakuna linaloshindikana tukimuamini
 13. H

  Gazeti la Jamhuri: Zitto ANYUKWA, Ndege mpya iliyonunuliwa ikiendelea Kutengenezwa

  Tatizo ninaloliona kwa gazeti la jamuhuri kwa kichwa chao cha habari. Hawakuingia kazini kutafuta ukweli bali walienda kupambana na Zitto. Msingi wa Habari yao ulipaswa kutafuta ukweli wa habari na si kutafuta nani mshindi kati ya serikali au Zitto. Kwani Zitto aliwaambia ye atashangilia siku...
 14. H

  Askari wa usalama barabarani sasa wanakusanya mapato na si kuangalia usalama

  Labda sasa ingefaa rasmi kitengo cha Traffic kihamishwe kutoka Polisi kihamie TRA. Wanaimudu vyema kazi ya kukusanya mapato kuliko nyingine za kipolisi.
 15. H

  Tafakuri: Rais Magufuli hakutafakari kuhusu suala la kurudisha machinga katikati ya mji

  Haha mkuu, kama ilivyo kundi lingine Wakiondolewa linashangilia, na wakirudishwa linapongeza. Maisha yanasonga
 16. H

  Korti yaamuru maiti iliyopelekwa Bunda irudishwe kuzikwa Dar

  Wanaosumbuka ni wao, marehemu hasumbuki safari kishaimaliza!
 17. H

  Malawi refers lake border dispute with Tanzania to UN

  Mkuu signature yako imenifurahisha sana lo!
 18. H

  RC Makonda ashtakiwa kwa kudhalilisha wanawake na kukosa maadili

  UNaweza kuwa sahihi katika yote unayosema. Lakini je kosa moja linahalalisha kosa lingine? Je, ni utaratibu kwenye mkutano kama huo kuanza kumuita yule mama kuwa ni shetani? Unahisi hizo sheria zilizowekwa kuwashughulikia watumishi hazikustahili kuwepo? Na je vipengele vya kimaadili ambavyo...
 19. H

  Trafiki Dar wakusanya bilioni 1.9 mwezi February kwa makosa ya barabarani pekee

  Wanashinda nazo barabarani, jambo bora lingekuwa kama kuna tatizo serious kwenye gari zaidi ya kulipa faini lisitembee barabarani hadi litengenezwe. Na kwa makosa ya madereva, dereva sugu kufanya kosa afungiwe leseni asiendeshe gari kwa muda fulani!
 20. H

  Trafiki Dar wakusanya bilioni 1.9 mwezi February kwa makosa ya barabarani pekee

  Siyo kweli. Kuna daladala ambazo zina bill kabisa hasubiri kukamatwa anapeleka mwenyewe kwani inajulikana kwamba ina tatizo na bosi hajaitengeneza au kurekebisha. Kuna mdau mmoja juu kasema gari bovu unalipa faini kisha linapiga mzigo, hizo ajari zitapunguaje?
Top Bottom