Search results

 1. U

  Swali kwa wafanyabiashara wa Tanzania

  Wakuu kuna kitu kimoja nimekiona kwa wafanyabiashara wengi wa Tanzania ambacho naona kama kinaendelea na kuzoeleka kwa wafanyabiashara wengi sina uhakika kama wako sahihi lakini kwa mtazamo wangu naona hawako sahihi. Kuna wakati nilienda duka fulani kununua vitu ambavyo nauhakika ningemwingizia...
 2. U

  Wapinzani badilisheni mikakati ama sivyo mtapoteza viti vyote uchaguzi 2020

  Wapinzani kumbukeni sasa hivi utawala umebadilika utawala wa sasa hivi ni utawala makini na unaochapa kazi.Mimi nawaelezeni ukweli kama hamtakua makini katika style zenu za upinzani mtajikuta mnapoteza viti vyote hii ni hatari sana kama hamtachange stategy. Mfano mdogo ni suala la wizi...
 3. U

  Nina millioni 80 nataka ushauri wa biashara

  Wakuu hebu nipeni ushauri wa biashara nimepata hizo pesa hapo juu millioni 80 lakini kila nikichekecha biashara ya kufanya ilipe nakua sioni sasa nimeiona niweke hapa ili nipate mawazo nijue pa kuanzia.Mimi naishi mkoa wa Dar-es-salaam
 4. U

  NBC Corporate ni wazembe sana

  Niko hapa NBC corporate kudeposit fedha kuna foleni kubwa na kuna caunter zaidi ya 7 lakini teller ni mmoja tu,tumejaribu kuulizia tatizo ni nini wanasema wengine wanaumwa,huu ni uzembe wa hali ya juu tumepanga foleni hapa zaidi ya masaa mawili kwa mtindo huu sisi watz tutabaki kuwa masikini wa...
 5. U

  Ndege za utafiti toka Malawi bado zinaendelea kuruka eneo la Tanzania ndani ya ziwa Nyasa

  Licha ya mkwala mkubwa uliopigwa na serikali ya Tanzania kwa Malawi bado ndege zao zinaendelea na utafiti kama kawaida ndani ya eneo la ziwa.Wananchi kuzunguka ziwa wameanza kuingiwa hofu kuwa vita inaweza kutokea wakati wowote kuanzia sasa. Source.Wapo Redio
 6. U

  Msaada kuhusu mtoto huyu ni hatari mno Mbezi mwisho stand

  Kuna mtoto amejitokeza mbezi mwisho ya kimara taahira mwenye umri takribani miaka 16 anaitwa Elizabeth,huyu mtoto ni hatari sana,kitu anachofanya akiona mtu anapita hasa mwanamke anamwomba hela akikataa anamghata na kumtoa damu au anamparua kwa kucha,kwa kweli huyu mtoto sasa hivi amekua hatari...
 7. U

  Ushauri kwa CCM na CHADEMA

  Wakuu mie kama mzalendo wa Tanzania ningependa kutoa ushauri kwa hivi vyama viwili kama ifuatavyo. Kama tulivyoona uchaguzi uliopit Igunga gharama kubwa sana ilitumika kwa vyama vyote kurusha mahelikpta,kuwahonga wapiga kura na wazee wa kampain kupata ma allowance kibao fedha nyingi...
 8. U

  Mabillioni ya JK

  Wakuu ile issue ya mabillioni ya JK aliowakopesha watazania iliishia wapi?waliokopa wamesharudisha au ilikua kama bonus?kuna mwana JF yeyote aliyefanikiwa kuipata au ilikuwa ni politics?
 9. U

  Kama haya yanampata Waziri wa nchi, je mwananchi wa kawaida itakuaje?

  Waliomuibia Dk Chami waendeleza ubabe Saturday, 15 October 2011 07:56 Daniel Mjema, Moshi KUNDI la wahalifu linalodaiwa kuvunja nyumba ya Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dk Cyrill Chami na kuiba vitu mbalimbali usiku wa kuamkia juzi, limetishia kuendeleza uhalifu katika familia ya...
 10. U

  Biashara ya mashine ya kusaga na kukoboa nafaka- Fahamu bei zake, uendeshaji wa biashara hii pamoja na faida na hasara zake

  BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WANA JF Wana JF wataalamu wa biashara na wale walioshawahi kuifanya biashara ya mashine ya kusaga naomba mnijuze inalipa?au itakua ni kupaka hewa rangi? Na mashine ya kusaga na kukoboa zinapatikana wapi na bei yake ni shilingi ngapi? Na umeme wake ni wa phase...
 11. U

  Samaki wenye sumu ya mionzi ya nyuklia waingia Dar

  Jamani nimesoma gazeti la Nipashe Jumapili, linasema kuna kontena 5 zenye uzito wa tani 25 kila moja,habari hizo zinasema samaki hao wametokea mji wa Fukushima ambao mji huo maji yake ndiyo yameathirika na mionzi baada ya vinu kulipuka. Samaki hao walikataliwa Japan baada ya serikali ya Japan...
 12. U

  Umeme kuwashwa usiku kuanzia saa 7 mpaka Asubuhi

  Hawa jamaa wa TANESCO hata hawawezi kutumia akili kidogo,nimeshangaa leo umeme umewashwa kuanzia saa 7 usiku mpaka asubuhi kwenye makazi yetu,sasa mimi kinachonikera mchana kutwa mnazima umeme halafu mnarudisha usiku kuanzia saa 7 mpaka asubuhi wakati watu wamelala sasa inamaaana...
 13. U

  video game

  Jamani ni duka gani hapa bongo linalouza video game nataka nifungue hiyo biashara na thamani yake ni kiasi gani?Na package yake inakuja na vitu gani?
Top Bottom