Search results

 1. W

  Inakuwaje ukilipa ada halafu ukapata mkopo?

  Angalia hapo kuna option mbili ..usajili semister moja au full
 2. W

  Inakuwaje ukilipa ada halafu ukapata mkopo?

  Mzee wa ngoja waje kukupa muongozo 😂😂😂😂
 3. W

  Inakuwaje ukilipa ada halafu ukapata mkopo?

  Huu ni uongo .. unaruhusiwa kulipa nusu au yote ... .. hulazimishwi kulipa yote
 4. W

  Inakuwaje ukilipa ada halafu ukapata mkopo?

  Sitasubiri hadi two week ziishe ..
 5. W

  Inakuwaje ukilipa ada halafu ukapata mkopo?

  So mnanishauri nisilipe kwanza
 6. W

  Inakuwaje ukilipa ada halafu ukapata mkopo?

  Hivi inakuaje ukalipa ada chuo halafu badae batch 3 ikaja unakuta umepata mkopo. Je, watanirudishia ada? Au nisubiri hadi batch 3 itoke Chuo chenyewe ni UDSM
 7. W

  University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

  Angalia time table kwenye join instructions
 8. W

  Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

  Hatuwezi kupata wote lakini pia hatuwezi kukosa wote ... Tunasubiri bodi ndio waseme tumekosa
 9. W

  Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

  Niwaambie kitu wakuu tulale kwa leo ..kesho watarekebisha kila kitu kesho ndio mpaka hao waliokosea maombi wataruhusiwa kurekebisha .. kesho ndio ma IT watagusa system
 10. W

  Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

  Kesho ndio utakuta loan status yako mkuu .. ila hapo umeshapangiwa mkopo
 11. W

  Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

  Kuna yeyote aliepata huko ? Maana wamesha weka tangazo kwenye website
 12. W

  Naomba kueleweshwa maana ya taarifa hii ya Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB)

  Tunasubiri Aseme mwingine .. sio wewe.. basi una bahati jukwaa lote hili upate wewe tu
Top Bottom