Search results

 1. M

  Uchambuzi: Nauona mwanzo wa mwisho wa CCM 'B'

  Ndugu zangu, Kuna mtangazaji wa redio kule Arusha amenihoji mchana huu. Ametaka kujua tafsiri yangu kwa kilichotokea jana. Nilimwambia, kuwa tafsiri moja kubwa ya kilichotokea ni kuwa Edward Lowassa sio kwamba yuko njiani kurudi CCM, bali ameshafika nyumbani alikotokea, CCM. Lowassa amerudi...
 2. M

  Tafadhali Usininukuu: Kwenye Dini Na Siasa Kuna Mahali Tunakosea...

  Ndugu zangu, Nahofia tunachanganya na kushindwa kutofautisha kati ya dini, siasa na siasa za vyama. Mengi ya kila siku maishani yana siasa ndani yake lakini si lazima yawe na siasa za vyama. Kiongozi wa kiimani anapaswa kuwa huru kuzungumzia kwa ujumla wake masuala ya kijamii kwa lengo la...
 3. M

  Neno La Leo: Banana Republic- Jamhuri Ya Migomba

  Jembe Kilo, wewe umeona U-DC ni kitu kikubwa sana , si kila mtu anaona hivyo ikiwamo mimi. Ni mtazamo wako anyway. Ni haki yako kufikiri unavyofikiri.
 4. M

  Neno La Leo: Banana Republic- Jamhuri Ya Migomba

  Barbabosa, Ni vema wewe umeelewa vizuri zaidi kuliko mimi. Asante sana.
 5. M

  Neno La Leo: Banana Republic- Jamhuri Ya Migomba

  Ndugu zangu, Tuna wajibu wa kizalendo kuzuia nchi yetu isigeuzwe kuwa Jamhuri ya Migomba. Maana, ilivyo sasa, tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia baadhi ya tuliowapa dhamana za uongozi wakiwa na matarajio ya kuvuna utajiri wa haraka kwa kufanya biashara na uchumi wa nchi ili kujinufaisha...
 6. M

  .. Opposition Is In Disarray.

  Ndugu zangu, Hata mwezi haujapita, niliweka hoja hii mezani kwenye ukurasa wangu wa FB. Kuna ambao walinielewa, lakini kuna ambao hawakunielewa mpaka kufikia kunijadili mtoa hoja badala ya hoja iliyokuwa mezani. Ni haki yao. Upinzani katika hali ya sasa umesambaratika. Kuna kosa kubwa...
 7. M

  Mugabe, mjusi aliyepambana na mawaziri wote wakuu wa uingereza

  Ndugu zangu, Kwenye kitabu chake; ' Dinner With Mugabe', Mwandishi Heidi Holland anauelezea mkutano wa mwaka 1979 kabla ya mkutano wa Lancaster wa mazungumzo ya Uhuru wa Zimbabwe, ni kati ya Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Uingereza, Lord Carrington na Robert Mugabe. ( Dinner With Mugabe, pg 129)...
 8. M

  Neno La Leo: RC Makonda Na Makolongulu..!

  -Haki Yako Ya Kurusha Mikono Inaishia Inapoanzia Pua Ya Mwenzako... Ndugu zangu, Inahusu haki. Hata mkiwa wawili chumbani, aayesinzia kwenye muda wa kulala ana haki ya kutaka utulivu. Kama mwenzako kalala, wewe mwenye hamu ya kusikiliza muziki kwa sauti unapaswa kiungwana ukasikilizie nje ya...
 9. M

  Kwanini General Chiwenga Anacheka Na Mfungwa Wake?

  Zimbabwe Nyuma Ya Pazia: Kwanini General Chiwenga Anacheka Na Mfungwa Wake? Ndugu zangu, Picha hiyo imeishangaza dunia. Kwamba Rais aliyepinduliwa na kuwekwa kwenye kizuizi cha nyumbani ' House Arrest', anatembelewa na kiongozi wa mapinduzi. Wanakaa kuongea, kunywa chai pamoja na kucheka...
 10. M

  Dr. Slaa ni mjamaa, gumzo kuhusu anavyoishi Canada linathibitisha ujamaa wake

  Nyanjo Migire, hujajibu hoja wala kuleta hoja mpya. Umeishia kunishambulia mimi mtoa hoja. Sina tatizo na hilo. Shukran.
 11. M

  Dr. Slaa ni mjamaa, gumzo kuhusu anavyoishi Canada linathibitisha ujamaa wake

  Wengine tunaposema tu Wajamaa na zaidi Social Democrat inahusu itikadi yenye kuangalia maslahi ya wengi. Hata kama Kuna masheikh wamethibitishwa kula nyama ya nguruwe, Waislamu hawawezi ama kuhalilisha nguruwe au kuukana Uislamu. Hivyo, itikadi ya mtu ni imani ya mtu kwenye itikadi, na...
 12. M

  Dr. Slaa ni mjamaa, gumzo kuhusu anavyoishi Canada linathibitisha ujamaa wake

  Ndugu zangu, Jana na leo kwenye gazeti la Mtanzania kuna habari kumhusu Dr Slaa na anavyoishi akiwa ughaibuni. Inasemwa, kuwa kuna wenye kumshangaa Dr Slaa kufanya kazi ikiwamo ya kwenye duka kubwa huko aliko. Dr Slaa kupitia majibu yake kwa mwanahabari wa gazeti hilo ameweza kuweka wazi...
 13. M

  Hili la Kamari/ Betting ni kama wanaojua hawataki wengine wajue madhara yake

  Ndugu zangu, Msingi wake hasa ni wajinga ndio waliwao. Ukweli kuwa binadamu anayeendekeza kucheza kamari anakuwa mgonjwa wa kamari. Ni maradhi. Anayecheza asaidiwe kujua hilo. Na kamari kimataifa ni halali lakini haipaswi kuhamasishwa kuchezwa hata kupitia media , tena kwenye muda ambao watoto...
 14. M

  Anayepewa kitalu cha kuwinda hajawahi hata kuwinda Sungura Pori

  Ndugu zangu, Nchi Ya Kusadikika haijawahi kukumbwa na ukame wa maajabu. Wasadikika wamepokea taarifa kuwa, huko nyuma Mawaziri wenye dhamana ya Maliasili na Utalii kimsingi ndio waliokuwa na maamuzi ya nani apewe kitalu cha kuwinda na nani asipewe. Hilo lilifanyika baada ya Waziri mwenye...
 15. M

  Uchambuzi: Kama Urais Ungekuwa Wa Miaka Miwili..

  Ndugu yangu Babuu, Kama ningelikuwa naandika ili niwe DC basi leo ningekuwa nakaribia kustaafu. Mimi hata ningeteuliwa U-DC leo ningemshukuru aliyeniteua na kumwomba ampe nafasi yangu mtu mwingine. Kazi ninazofanya ni zaidi ya wigo wa Mkuu wa Wilaya, na nitapenda niendelee nazo. Maggid.
 16. M

  Uchambuzi: Kama Urais Ungekuwa Wa Miaka Miwili..

  Ndugu zangu, Niliandika makala mara ile Rais John Pombe Magufuli alipotimiza Mwaka Mmoja akiwa madarakani. Itakumbukwa, mwaka jana, na kwenye siku yake ya kuzaliwa, Rais wa Awamu ya Tano, Dr John Pombe Magufuli aliacha kula keki yake ya kusheherekea siku yake hiyo na kuamua kuwa kazini...
 17. M

  DC Kukabidhi zawadi kwa mshindi wa kamari ya Tatu Mzuka

  Ndugu zangu, Niwe mkweli kwa Nchi yangu niliyozaliwa. Jambo hilo pichani ni la kushangaza. Sidhani kuwa hiyo ni kazi ya DC. Tunadhani si jukumu la DC kutumia muda wake kushuhulika na masuala yenye kunufaisha mtu mmoja mmoja na kwa kupitia kamari za kubeti na kadhalika. Media yetu siku hizi...
 18. M

  Historia ni Mwalimu Mzuri: Siku Profesa Kighoma Ali Malima alipoondoka CCM...

  Ndugu zangu, Sababu alizotaja Nyalandu zote zinajadilika na haziwezi kuwa za msingi kuhama chama wakati Nyalandu mwenyewe kwa miaka 20 yuko Bungeni kwa tiketi ya CCM, yawezekana kabisa CCM ilipoteza dira Nyalandu akiwa Waziri. Alibaki huko kwa vile alikuwa Mbunge na Waziri na hata fursa ya...
 19. M

  Historia ni Mwalimu Mzuri: Siku Profesa Kighoma Ali Malima alipoondoka CCM...

  Ndugu yangu, The Businessman, sifa moja ya ukweli ni pale unapowekwa mezani kwa mara ya kwanza; Hukataliwa. Na hufika siku hujitokeza, na uhalali wake huanzia tangu siku ile ulipokataliwa. Nimesema ukweli wangu, nikiamini ni ukweli wa kihistoria.
 20. M

  Historia ni Mwalimu Mzuri: Siku Profesa Kighoma Ali Malima alipoondoka CCM...

  Ndugu zangu, Nimekumbushia hilo mara nyingi, kwamba historia ni Mwalimu Mzuri. Hata kama wengine mlikuwa hamjazaliwa, lakini, hakuna marufuku ya kusoma historia. Tunapochambua haya yanayotokea sasa wengine wetu tunaitazama historia. Ni ukweli wa kihistoria, kuwa CCM ni zaidi ya Chama, ni...
Top Bottom