Search results

 1. S

  Kwa wenye imani inayoruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja

  Poleni na majukumu wana JF! Naombeni msaada wa ushauri. Iko hivi, mimi ni mwanamke ni mkristo ninafanya kazi katika kampuni moja. Kuna mwanaume mmoja ambaye ni mume wa mtu imani yake inaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja. Tulikuwa tunafanya kazi katika kampuni moja baadaye aliacha kazi katika...
 2. S

  Kipi Bora?

  Kama mnavyojua Wanawake huwa tunapenda kwa hisia ndivyo tulivyo umbwa, je kipi bora kuwa na Mwanaume ambaye huna hisia naye lakini ana mapenzi ya dhati kwa kifupi anakujali, anakufanya ufurahie uwepo wake n.k. au kuwa na Mwanaume ambaye una hisia naye lakini hakujali?
 3. S

  Wanaume wenye Ndoa

  Poleni na majukumu wana JF Naomba kujua kutoka kwa Wanaume walioko kwenye Ndoa na wana Nyumba ndogo, huwa ninasikia kwamba Mwanaume anapoamua kuoa ni kwamba huyo Mwanamke ndiyo chaguo lake sahihi ndiye aliyempenda katika kundi la Wanawake wengi, swali je Mwanaume mwenye Ndoa yake anaweza kuwa...
 4. S

  Wanaume wa Dar es Salaam na Chips Mayai

  Ongezeko la baadhi ya Wanaume wa Dar es Salaam kupenda kula Chips Mayai zaidi kuliko vyakula vingine tatizo ni nini?
 5. S

  Ushauri

  Salamu kwenu wana JF wote. Katika maisha ya kila siku tukiwa kama Binadamu tunakutana na changamoto nyingi. Miaka kama 8 iliyopita kuna ugomvi ulitokea kati yangu na Wifi yangu yaani Mke wa Kaka yangu, huyu Wifi yangu ni mtu mwenye hasira sana, kinyongo na anapenda kuzusha maneno ya uongo na...
 6. S

  Ushauri

  Salamu kwenu wana JF wote. Katika maisha ya kila siku tukiwa kama Binadamu tunakutana na changamoto nyingi. Miaka kama 8 iliyopita kuna ugomvi ulitokea kati yangu na Wifi yangu yaani Mke wa Kaka yangu, huyu Wifi yangu ni mtu mwenye hasira sana, kinyongo na anapenda kuzusha maneno ya uongo na...
 7. S

  Nahitaji Mabati mazuri

  Poleni na majukumu wana JF Msaada unahitajika Ni Kiwanda gani kinatengeneza Mabati Mazuri?
 8. S

  Ujumbe kwa Wanawake wote wenye Roho Mbaya

  Mwanamke umekutana na Mwanaume mmependana mkaamua kuishi pamoja Mume na Mke, leo hii Mwanamke hutaki Mumeo awasiliane na Ndugu zake wala kuwasaidia kwa chochote, Mwanaume huyo umekutana nae akiwa na Meno 32 mdomoni mwake unajua gharama walizotumia Wazazi wake na Ndugu zake hadi kufikia yeye kuja...
 9. S

  Msaada Unahitajika

  Amani iwe nanyi wana JF. Niende moja kwa moja kwenye mada, nina ndugu yangu wa Kike kwa sasa hivi ana miaka 34, miaka ya nyuma alitokea kupendwa na mwanaume mmoja, walipendana sana na lengo lao lilikuwa kuwa Mume na Mke, kwa bahati mbaya yule Mwanaume alibadilika na kuwa na tabia mbaya ambazo...
 10. S

  Wanaume wapendeni na kuwajali Wenzi wenu

  Ni matumaini yangu kuwa Wanaume wote mu wazima wa Afya Napenda kuwakumbusha baadhi ya Wanaume ambao hawajui wajibu wao kwa Wenzi wao, Mwanaume unapoamua kuishi na Mwanamke ni kwamba uko tayari kumjali, kumhudumia, kumpa haki zake za msingi n.k. Leo hii Mwanaume uko ndani na Mwanamke, Mwanamke...
 11. S

  Je, inashauriwa kuvaa Condom mbili kwa wakati mmoja?

  Habari za leo Wakuu? Naomba msaada kwa hili , Je Mwanaume na Mwanamke wanapotaka kukutana kimwili Mwanaume anaweza kuvaa Kondom Mbili kwa wakati mmoja ili kujikinga zaidi na maradhi?
Top Bottom