Search results

 1. S

  Mtoto wangu wa kike atapata tabu sana

  Hakuna haja ya kumnyima uhuru wewe unatakiwa kumpa wosia na kumuelekeza katika njia iliyo sahihi, kazi ni kwake aamue kusuka au kunyoa.
 2. S

  Kitu kimoja kinatosha kueleza kama Mwanamke ni msafi au mchafu

  Vipi kuhusu kucha za mikono? zikiwa ndefu na chafu hakuna shida?
 3. S

  Ni sahihi kufanya maendeleo ya Kiuchumi na mpenzi wako?

  Ni bora kila mtu afanye mambo yake kivyakevyake, ikitokea mkaamua kuishi pamoja yataeleweka mbele kwa mbele.
 4. S

  Jirani anishangaza kwa matumizi yake ya Internet

  Ingekuwa vizuri zaidi kumuuliza mhusika.
 5. S

  Kaka zetu leo nawapeni ukweli

  Haraka haraka haina baraka.
 6. S

  Huyu msichana vipi?

  Kapenda Gari hajakupenda wewe, Gari la pili unanunua lini?
 7. S

  Nampenda sana ila hiki kikwazo kinaninyima raha

  Mpende hivyo hivyo huenda ikafikia kipindi akapungua.
 8. S

  Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

  Ugomvi siyo kitu kizuri kabisa.
 9. S

  Facebook inataka kuharibu ndoa yangu

  Pole sana mkuu kwa changamoto.
 10. S

  Mahusiano yoyote yaliyovunjika mwanaume atabaki kuwa ndio mshindi

  Kwa Wanawake hivyohivyo hakuna wanachokipoteza.
 11. S

  Nimembwaga mpenzi wangu kisa kaniharibia kwa mpenzi niliyekuwa na malengo naye

  ZERO IQ wewe ni noma sana hutaki kufunga ndoa wewe kazi yako ni kuchakata tu Wanawake.
 12. S

  Nimembwaga mpenzi wangu kisa kaniharibia kwa mpenzi niliyekuwa na malengo naye

  Zero IQ bado unahangaika tu na Wanawake wengiwengi hutaki tu kusimama njia kuu?
 13. S

  Unapoondokewa (kufiwa) na wazazi wako

  Mungu atabaki kuwa Mungu, kifo kipo kila siku lakini kifo hakizoeleki, kifo kisikie kwa jirani.
 14. S

  Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

  Karibu sana Ambiere.
 15. S

  Ex amerudi kwangu

  Maisha ni kusaidiana.
Top Bottom