Search results

 1. Tajiri Kichwa

  Kwanini Serikali iliamua kurudisha kituo cha Ubungo Maji?

  Wakuu poleni na majukumu, Natumaini kila mmoja anaendelea kuchukua hatua za kujikinga na Corona. Turudi kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyoeleza, nilikuwa na wasaa wa kupita pale darajani kama mara mbili kuna utofauti unaonekana naipongeza Serikali kwa hilo. Lengo la ujenzi ni kupunguza...
 2. Tajiri Kichwa

  Amenipenda simpendi, nimfanyeje huyu mwanamke?

  Nilimpenda yeye hakunipenda (hapa kipindi nafukuzia mzigo kwa speed ya bila tochi). Amenipenda mimi simpendi tena, maana nilikwisha piga nyama chini na kuendelea na mitikasi yangu na sitaki kuwa naye. *Mimi nilitaka muonesha jinsi wanaume wanavyojua (wao) wanaita kutia majeraha ya moyo bila...
 3. Tajiri Kichwa

  IPHONE X v/s SAMSUNG s6 ?????.

 4. Tajiri Kichwa

  Kuelekea uchumi wa viwanda (tanzania)

  Waziri wa fedha akionyesha kitabu cha safari ya tanzania kuelekea uchumi wa viwanda 2016-2056, kilichoandikwa na Ali Mufuruki na wenzake wa 2. Waziri mpango amesema, Mpango wa maendeleo wa miaka 5 umekumbwa na tatizo la kutaka kutatua changamoto zote za kiuchumi kwa pamoja. MWANANCHI
 5. Tajiri Kichwa

  Msadaa juu ya sd card

  Internal storage ya simu yangu nimetumia adi ikanipa notification no enough space , nimenunua sd card nime insert na ku i mount kwa phone na iko haina matatizo hi sd , shida inakuja niki download inshu km wimbo video pdf still haitunzi kwa sd card ata nikidownload some of apps my phn...
Top Bottom