Search results

 1. Injinia

  Mtanzania mahakamani uingereza

  Mtanzania mwenye asili ya Asia, Safina Khan, amefikishwa mahakamani hii leo huku Uingereza kwa mashtaka ya 'human trafficking' - alimleta mama wa miaka 47 kuja kumsaidia kazi za nyumbani lakini mama huyo anafanyishwa kazi kwa masaa mengi bila mapumziko. Hii ni kwa mujibu wa Sky News Radio jioni...
 2. Injinia

  Ni sahihi bunge la Tanzania kupewa msaada?

  Ndugu zangu, Nimeona kule kwa Michuzi kwamba eti Bunge la Tanzania limepewa msaada wa kompyuta, tena zenye thamani ya TShs Milioni 20 tu, toka kwa ubalozi wa Korea ya kusini!! ============== Korea Kusini yalipatia msaada wa Komputa Bunge...
 3. Injinia

  Artificial life - hip hip hooray?

  Synthetic life has been created in the laboratory in a feat of ingenuity that pushes the boundaries of humanity’s ability to manipulate the natural world. Craig Venter, the biologist who led the effort to map the human genome, said yesterday that the first cell controlled entirely by man-made...
 4. Injinia

  The longest "drought" without jf

  Dear all, I hope you all had an enjoyable Easter break. Mine was unbearably long. I am far from my biological family and on top of that due to the ongoing maintenance work on JF I had to be far from my cyber family (sic). To tell the truth, the absence of JF on the net didn't come without...
 5. Injinia

  Yaliyomo yamo

  Hiki kipindi nimekisikia kwa mara ya kwanza nilivyokua Bongo kwa likizo mwezi Desemba. Kilinikuna sana moyo Wale wadada watatu Regina Mwalekwa na wenzake, ni mahiri sana katika kukiendesha. Naweza kusema ni kati ya vipindi bora vya redio Tanzania. Wana uwezo wakugusa sehemu mbali mbali za...
 6. Injinia

  Uraia/ labels

  Kuna jambo linanitatiza sana kuhusu uraia wa hii nchi inaitwa Marekani (United States of America). Raia wa nchi hii ambao ni weusi huitwa African-Americans, haijalishi kama raia huyo ametokana na kizazi kirefu cha waliokuwa waafrika waliopelekwa huko kama watumwa au kama ni raia aliepata uraia...
 7. Injinia

  This picture says it all!!

 8. Injinia

  Pinda aonja utamu wa mgawo

  Nimesoma hii habari huku nikitabasamu: 1. Mkutano umefanyika Hoteli ya Whitesands kwa sababu gani? Hakuna ukumbi wa mikutano kwenye ofisi ya Waziri Mkuu? 2. Mkutano unazungumzia kilimo kwanza wakati hata huo umeme wa kusukuma usindikaji na uhifadhi wa mazao ya kilimo ndio huu!! Gazeti la...
 9. Injinia

  NEC yapinga waraka wa Jaji Bomani

  Nimekuta hii habari kwenye gazeti la Mwananchi. Habari yenyewe ni ndefu kidogo hivyo nimefupisha na kusisitiza mambo muhimu. Hivi kwa nini NEC/ CCM wanatabia ya kupuuza maoni yoyote ambayo yanaitakia mema nchi? Huyu mzee ni wa kusikilizwa kwani na yeye aliwahi kuwa sehemu ya serikali na ana...
 10. Injinia

  TBC1: Selebuka

  Nimesikia taarifa kuwa TBC1 wanaanzisha kipindi kitakachoitwa "Selebuka" Kwa uelewa wangu ni kwamba wameiga mfumo wa "Strictly come Dancing" au "Dancing with the Stars" vilivyoanzia Uingereza miaka ya 80 na Marekani baada ya hapo. Mimi binafsi ni mpenzi sana wa hivi vipindi, haswa Strictly Come...
 11. Injinia

  Naombeni mwenye uwezo atuwekee clip za Asha Ngedere

  Kati ya vitu ninavyomiss toka nyumbani ni timbwili timbwili la Asha Ngedere. Naombeni mtu mwenye uwezo wa kupata walau clips za Orijino Komedi zenye Asha Ngedere na vagi lake atuwekee hapa. Natanguliza shukrani
 12. Injinia

  Pendekezo: Maandamano dhidi ya bunge

  Napendekeza kufanyike maandamano ya mshikamano wa wananchi kuonesha kutokuwa na imani na bunge na uongozi wa serikali. Any takers? Manake mimi yamenifika utosini.
 13. Injinia

  Kifo cha Swetu Fundikira

  Michuzi ameandikia kwenye blog yake juu ya kifo cha Swetu Fundikira. Habari zinasema kuwa alipigwa na wanajeshi. Kuna mtu mwenye habari zaidi? Hivi wanajeshi wa Tanzania wako above the law? Na ni mafunzo gani ya kijeshi yanayowaelekeza kupiga raia asiyekuwa na silaha (nadhani) hata kama yeye...
 14. Injinia

  KERO: Kutopatikana kwa vyombo vya habari/burudani vya kitanzania kwenye mtandao

  Jamani, nadhani waTanzania wenzangu ambao hampo nyumbani mtakubaliana na mimi. Ukiwa huku kwenye nchi za watu saa ingine unataka kusikiliza redio/ tazama runinga za nyumbani. Ukiingia kwenye mtandao utakutana na vyombo vingi tu vya Kenya, na vichache vya Uganda, lakini TZ hola! Halafu juzi juzi...
 15. Injinia

  100s dead in Russian nightclub fire

  Reuters, Perm, Russia A pyrotechnics show went wrong at the Lame Horse nightclub in the Russian city of Perm on Friday night when sparks set fire to wicker coverings on the walls and ceiling during a party celebrating the club's eighth anniversary. As partygoers rushed for the only door...
 16. Injinia

  Young Nigerian man - senior creative designer for General Motors!

  I bet they will quickly offer him citizenship!! Kama kawaida, Wamarekani hawatapenda atambulike kama "the Nigerian senior creative designer". Ila jamaa anavyoongea anaonekana hajasahau alikotoka. Dream big people!! And work hard. It pays off http://www.youtube.com/watch?v=vqx-xKGeDCA
 17. Injinia

  Waswisi wakataa ujenzi wa minara ya misikiti

  AFP Switzerland: To the dismay of the Muslim minority here, some 57.5 percent of the population and 22 out of 26 cantons voted to ban the towers or turrets attached on mosques from where Muslims are called to prayer. Far-right politicians across Europe celebrated the results, while the...
 18. Injinia

  Death sentence for "witchcraft"

  A man has been sentenced to death in Saudi Arabia for witchcraft because he makes predictions on television. Skip related content Related photos / videos Enlarge photo Ali Sibat is not even a Saudi national. The Lebanese citizen was only visiting...
 19. Injinia

  What was your worst experience with a bank?

  Wakuu, hii nimeshindwa kuiweka kwenye forum ya "kero" kwa kuwa hata hivyo wahusika hawatasoma. Nataka kuzungumzia "my worst banking experience". Yaani benki ya Barclays London (makao makuu na matawi). Miezi 2 iliyopita nilifungua akaunti Barclays Knightsbridge (London) nikaambiwa baada ya siku...
Top Bottom