Search results

 1. N'yadikwa

  Kwanini wanafunzi wasianze kidato cha kwanza na michepuo ya sayansi (Physics, Chemistry) au arts kwa kuzingatia matokeo ya Darasa la Saba?

  Sikubaliani na hoja yako kwa sababu mimi binafsi shule ya msingi sikufanya vizuri masomo ya sayansi hata hisabati ila nilipopelekwa sekondari utoto uliponiisha nikapenda sayansi na hisabati na kufanya vizuri sayansi kuliko art kwenye matokeo ya O level. Hivyo nawaza mfumo wa sasa uendelee tu...
 2. N'yadikwa

  Pumzika kwa amani shujaa wetu Philbert Kajuna

  Philbert Kajuna tunakaribia mwaka sasa...nasikitika kukukosa kijana nilimuona kiongozi wa taifa hili baadae. Tufanye yanayowezekana kuzuia ajali. Bye again gentleman, we miss you. Kijana huyu aliishi vizuri sana na watu. Alikuwa na ndoto kubwa. Mcheshi. Mwenye nidhamu na jasiri.
 3. N'yadikwa

  Ujenzi: Nimefanya uchunguzi kwanini watu wengi wanashindwa au kuchelewa kuwa na kwao

  Apartments bei kali sana kuanzia 300mln kupanda
 4. N'yadikwa

  TARURA, ni wakati sasa mkajikita kurekebisha kwa kiwango cha lami barabara za mitaani Dar es salaam

  Mimi ni mwananchi wa kawaida tu ninaeipenda nchi yangu. Katiba inaniruhusu kushiriki ujenzi wa Taifa, hivyo natoa maoni kuwakumbusha watekelezaji kupitia kodi ninayolipa kila siku. Una swali jingine mkuu!?
 5. N'yadikwa

  TARURA, ni wakati sasa mkajikita kurekebisha kwa kiwango cha lami barabara za mitaani Dar es salaam

  Mkuu kuuliza sio ujinga. Hivi force account inafanyaje kazi na ikoje hasa uhalali wake kisheria nk
 6. N'yadikwa

  Jinsi Nyerere alivopiga chini mpango wa kutaifisha maduka

  Itaendelea mkuu namalizia kusoma kipande kilichobaki. Mpe salamu zangu shemeji Mahonda.
 7. N'yadikwa

  Ford UK wanatoa magari mazuri na nafuu kuliko Toyota Japan

  Ford Everest. This beast is ma next ride. [emoji3059][emoji2956][emoji7]
 8. N'yadikwa

  TARURA, ni wakati sasa mkajikita kurekebisha kwa kiwango cha lami barabara za mitaani Dar es salaam

  Nadhani angalau sasa serikali kuu wanaweza kuutendea kazi ushauri huu...barabara za mitaani Dar es Salaam zinatia huruma hakyanan
 9. N'yadikwa

  Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

  It's why not how as you'd wish I know what I wrote ndugu! thanks that yours is a presumptuous phrase on what I wrote. The Professor I'm discussing here was on Walter Rodney's classic How Europe Underdeveloped Africa; the subject line was Why the bluish brown guys underdeveloped Africans!!
 10. N'yadikwa

  TARURA, ni wakati sasa mkajikita kurekebisha kwa kiwango cha lami barabara za mitaani Dar es salaam

  Hayana haraka we unafahamu mitaa ya Mbezi beach ilianza miongo mingapi. Nani aliekuambia maendeleo hayana haraka. Hizo ni kauli za kimasikini.
 11. N'yadikwa

  TARURA, ni wakati sasa mkajikita kurekebisha kwa kiwango cha lami barabara za mitaani Dar es salaam

  Serikali inazo pesa au humsikii Mheshimiwa Magufuli akisisitiza kwamba Sisi ni matajiri na fedha tunazo. Tanzania hatuna tatizo la fedha hata kidogo kwa vitu vidogo kama hivi. Faini za barabarani peke yake zinaweza kujenga barabara za mitaa kwenye miji yetu mikuu bila kutegemea wafadhili...
 12. N'yadikwa

  Jinsi Nyerere alivopiga chini mpango wa kutaifisha maduka

  Unaposoma Bayographia ya Mwalimu iliyotayarishwa na wanazuoni watatu ukurasa wa 125 hadi 126 kuna simulizi fupi ifuatayo Mwanzoni mwa miaka ya 80 kulikuwa na tatizo la baadhi ya wamiliki wa maduka kuhodhi bidhaa kisha kuja kuziuza baadae kwa bei juu baada ya kuadimika. Kwa kuliona hili...
 13. N'yadikwa

  TARURA, ni wakati sasa mkajikita kurekebisha kwa kiwango cha lami barabara za mitaani Dar es salaam

  Nawakumbusha tu TARURA wakati serikali mpya ikiingia madarakani ni muhimu sasa barabara za mitaani katika jiji la kibiashara la Dar es salaam zikajengwa kwa kiwango cha lami. kusema kweli ni aibu kwamba barabara nyingi za mitaani hata katika maeneo yaliyopangiliwa kama vile Mbezi Beach...
 14. N'yadikwa

  Theresa Shayo: Miss Tanzania Mwafrika wa kwanza 1967 katika historia ya Tanzania

  Wachangiaji wa huu uzi wamehamia sayari ya mars,wamezeeka and they are no more au wamebadili avatar kufuata upepo wa vijana. By the way hivi miss tanzania bado ipo
Top Bottom