Search results

 1. ISLETS

  Je, umewahi kufikiria kujiua?

  hili tuliache kwanza.
 2. ISLETS

  JamiiForums Usiku wa manane

  04:48 AM
 3. ISLETS

  Natafuta Guest House inayoanzia 10,000-20,000 Dodoma Mjini

  Mkuu Dodoma mjini kuna Guest houses na lodges nyingi sana tena sana, na zinajaa mapema. Sema nyingi ni low standard za 20 - 25k, chache ndio zinaenda juu ya hapo, halafu cha ajabu sasa hizo za juu ndio zinawahi kujaa. Za vichochoroni za 10-15k ni kama zile za buku 5 Manzese, mbaya kweli kweli...
 4. ISLETS

  Hivi CHADEMA mngetoa wapi mawaziri ile 2015?

  Picha kamili tutaliona mwakani kwenye kusimamisha wagombea. Sio mbali.
 5. ISLETS

  Msaada: Namna ya kufika mji mpya wa serikali (Mtumba) jijini Dodoma

  Nilikuwa na shida isiyo na ulazima wa kufika kule, ila nikaona si vibaya nikatembelee maeneo muhimu kama yale.
 6. ISLETS

  Siku wakija kumshtukia kwamba ni fraud, hawataamini!

  Kwa hiyo unamsema Mh. Mbowe au
 7. ISLETS

  Msaada: Namna ya kufika mji mpya wa serikali (Mtumba) jijini Dodoma

  Huku panakoitwa mji wa serikali pako ukiwa kweli kweli, hakuna huduma za kijamii. Bado ziara inaendelea.
 8. ISLETS

  Msaada: Namna ya kufika mji mpya wa serikali (Mtumba) jijini Dodoma

  Nimefanikiwa kufika, asante.
 9. ISLETS

  Msaada: Namna ya kufika mji mpya wa serikali (Mtumba) jijini Dodoma

  Shukrani mkuu. Hivi chamwino ni wilaya nyingine kabisa kutoka hapa mjini au mtu unaweza kwenda na kurudi siku hiyohiyo?
 10. ISLETS

  Msaada: Namna ya kufika mji mpya wa serikali (Mtumba) jijini Dodoma

  Heshima kwenu. Kwa wenyeji wa Dodoma, mgeni nipo hapa. Naomba kufahamiswa namna ya kufika mji mpya wa serikali - Mtumba kutokea maeneo ya Sabasaba hapa, kujua umbali na aina ya usafiri ulio rahisi kufika. Pia nauliza kama Wizara zote zimehamia hayo maeneo au bado kuna Wizara zinafanyia kazi...
 11. ISLETS

  Natafuta Guest House inayoanzia 10,000-20,000 Dodoma Mjini

  ndio yaliyonikuta, saa 2 usiku nilitembea lodge kama 7 zote zimejaa, mji huu sijui unajazwa na watu gani
 12. ISLETS

  Mungu ambariki Abiudi Misholi

  Nyimbo zake nzuri kwa afya ya moyo.
 13. ISLETS

  Kilichomkuta mchungaji huyu kiwe funzo

  Though wachungaji wa siku hizi ni matapeli, lakini hata angekuwa Mtumishi wa Mungu kwelikweli bado kuna uwezekano wa kuomba jambo na lisitokee vile tunavyotarajia maana Mungu hajibu kwa kufuata matakwa wa mwanadamu, anajibu kwa wakati wake, kwa wakati sahihi, kwa namna anayoona inafaa. Mfano...
 14. ISLETS

  Utaratibu wa kufungua akaunti benki

  Nenda Bank unayohitaji, kajieleze watakuambia aina za accounts zilizopo, utachagua unayotaka kwa kushauriana na mtoa huduma kulingana na mahitaji/matumizi yako, kisha atakuambia vitu vinavyohitajika ili kufungua, kama kuna kitu utakuwa huna kwa wakati huo mfano ukiambiwa barua au muhuri wa...
 15. ISLETS

  Nikiwa sina hela nakuwa mnyonge sana

  Hauko peke yako
 16. ISLETS

  Elimu ya A-level inahitaji marekebisho

  Mimi wazo langu ni wapunguze madarasa ya primary level na moja la ordinary level. Kuna mambo mengi tu ya Olevel ni marudio ya walichojifunza Primary level utofauti ni lugha tu. Hayo wachague moja either yafundishwe primary peke yake au Olevel peke yake kuliko kurudia rudia ni kupoteza muda wa...
 17. ISLETS

  Elimu ya A-level inahitaji marekebisho

  Uko sawa kabisa, sijui wataelewa?
Top Bottom