Search results

 1. Jorochere

  Pombe, Siasa na Wanawake Mungu niepushie mbali

  Habarini wanajf Hatimaye tumeiona 2018 kwa kudra za Mwenyez Mungu. Nimeuanza mwaka kwa kupiga goti na Kumuomba Mungu aniweke mbali na hawa maadui watatu ... 1:)Pombe 2:)Wanawake 3:)Siasa Nimeteseka sana kwa muda mrefu kwa minyororo ya hawa maadui.......! Sasa nasema "enough is enough "...
 2. Jorochere

  Fursa..Fursa..Fursa. Kazi kwenu

  Sent using Jamii Forums mobile app
 3. Jorochere

  Uhuru Kenyatta asubiriwa kwenye mdahalo wa urais Kenya

  Ndugu zangu bila kuzunguka ni kwamba mdahalo umeanza saa 11 Leo jioni. Wagombea binafsi wa 3 wameshachuana ila wababe wa jubilee (UHURU ) na NASA (RAILA) walitakiwa kuanza saa 2 usiku huu.Cha kushangaza Raila ashafika muda mrefu ila UHURU Bado hajafika na haijulikani yuko wapi? Je asipofika...
 4. Jorochere

  Unyama na ukatili tunaofanyiwa na madalali

  Ndugu zangu wana JF poleni na majukuumu, Juzi nikiwa kwenye harakati zangu za kutafuta makazi katika mojawapo ya mikoa ya Kanda ya ziwa, nilibahatika kukutana na bwana mmoja kwa jina "Abdalla"ambaye ni dalali. Nilimueleza aina ya nyumba niliyokuwa nahitaji na bila kusita tukaanza safari...
 5. Jorochere

  DAWASCO Geita fungeni mita za maji safi

  Habarini ndugu, Ni takribani miezi 6 tangu mradi wa Maji safi uzinduliwe mjini Geita. Kwanza natoa shukrani kwa mamlaka husika kwa kujizatiti kusogeza hii huduma kwa wananchi na kuwaondolea ghadhabu ya muda mrefu ya uhaba wa Maji. Changamoto na kero kubwa ni ukosefu wa mita kwa ajili ya...
 6. Jorochere

  Nikimwambia tuachane anakata simu

  Ndugu zangu Wana JF, nisaidieni kuvunja haya mahusiano. Nimekuwa katika mahusiano ya uchumba kwa takriban miezi 3 lakini niliyokutana nayo ni siri yangu. Kwa ufupi demu ana sifa zifuatazo: 1:Ukimpigia simu mtaongea vizuri ila mwishoni lazima aombe hela ya saluni/viatu /nguo. Cha kushangaza...
 7. Jorochere

  S. AFRICA MARKS END OF APARTHEID IN 1994

  Peace and prosperity to my fellow Africans down south as they mark the end of one of the worst systems of atrocities (apartheid).
Top Bottom