Search results

 1. kinjekitile70

  Daktari aliyeishi na mzoga kwa miaka saba

  Heshima shukrani,na utukufu kwake yeye aliyeumba mbingu na dunia Hapa namuongelea Mwenyenzi Mungu siyo (Allah) Pili niwape pole kwa wiki nzima ya kunawa mikono na kuvaa barakoa bila kuchoka... Hii yote ni kujikinga na janga la Dunia la Covid-19 Nitoe pole pia kwa we wenzangu tuliokunywa chai...
 2. kinjekitile70

  Mjue Yasuke shujaa mweusi nchini Japan

  Habari binafsi Tufuatane hapa chini Aliingia Kyoto mwaka 1579 mamia walikusanyika kumuona mtu wa kwanza mweusi kuingia mjini hapo. Kiongozi wa mji aliamuru aoshwe kwa kile alichoamini kuwa ile rangi nyeusi sio yake bali amejipaka. lakini YASUKE alishinda yote na kuwa Samurai mweusi wa kwanza...
 3. kinjekitile70

  VAA CONDOM

  Habari zenu wakuu *AINA 15 ZA WANAWAKE AMBAO UKIKUTANA NAO UNAPASWA KUVAA CONDOM* *1:Kama anatatoo......... Vaa condom* *2:Kama anakunywa bia.....Vaa condom* *3:Kama anazima simu ukiwa nae....... Vaa condom* *4:Kama anafanya kazi baa au saloni.... Rafiki yangu vaa condom* *5:Kama anamarafiki...
 4. kinjekitile70

  Gereza la Alcartaz (The rock)

  Kwa muda wa miezi 6 walichimba mashimo kwa kutumia nail cutter na vijiko, kisha kwa uchafu, mchanga, karatasi, sabuni, rangi na nywele..walitengeneza masanamu ya vichwa vyao...na baada ya hapo walitoroka gerezani huku wameacha sanamu zimelala vitandani.. Alcatraz ni gereza lililokua na sifa ya...
 5. kinjekitile70

  Msafara wa wanajeshi

  Sina shaka uko na barakoa,sanitizer Maji tiririka,na unajiandaa kwa ajili ya Nyungu, Leo ni siku ya tatu kwa mujibu wa Jafo Selemani Twende kwenye mada.. Leo majira ya mchana nimeona msafara mkubwa wa magari ya Jeshi maeneo ya Tegeta Yakiwa na wanajeshi wa kuosha Ni ajabu kwa kipindi hiki amani...
 6. kinjekitile70

  Ajali Ikungi: Basi la Abood lateketea kwa moto baada ya kugongana na Lori

  Basi la kampuni ya Abood limegongana na lori Liko ninateketea kwa moto Taarifa zaidi tutwapa update ==== AJALI Yaua SINGIDA, BASI LAGONGANA na LORI la MAFUTA Basi la kampuni ya Abood linalofanya safari zake kutoka dar kuelekea mwanza leo April 20, 2020 limepata ajali maeneo ya Ikungi Mkoani...
 7. kinjekitile70

  Ubaguzi wa wachina dhidi ya blacks sasa uko wazi

  Sina la kusema ila hali ni mbaya sana kwa wenzetu walioko ughaibuni Sent using Jamii Forums mobile app
 8. kinjekitile70

  Watu wakorofi

  Uzi tayari.... Sent using Jamii Forums mobile app
 9. kinjekitile70

  Uko wapi ubalozi wa Namibia?

  Wakuu heshma kwenu, napenda kujulishwa ulipo ubalozi wa Namibia hapa Tanzania. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 10. kinjekitile70

  Subiri tuone mlundikano wa jobless graduates

  Wakuu habari za mida, poleni kwa ujenzi wa Taifa Leo nimekutana na matangazo mawili japo najua yataeneldea kuongezeka kama ilivyo kawaida ya viongozi wetu kuigana!!!! Sijui hii ina maana gani, ila tusubiri tuone muafaka wake!!! NB :NAIASA SERIKALI IPUNGUZE MZAHA KWENYE VITU SERIOUS, BADALA...
 11. kinjekitile70

  Sinza: Eneo zuri kwa biashara ya chakula

  Wakuu habari ya Jumapili, Mimi ni mjasiriamali yaani enterpretenuar Nahitaji kujua mtaa, au eneo zuri la kufungua mgahawa sinza, kulingana na wingi na hadhi ya watu Wanaishi mitaa hiyoo. Nahitaji mtaa ambao watu wake from morning to usiku wa saa 4hawapungui, Binafsi nimezungukazunguka kidogo...
 12. kinjekitile70

  Waziri wa ulinzi wa Israel Avigdor Lieberman, ajiuzulu

  Kisa na mkasa ni kushindwa kufikia muafaka wa mkataba wa kusitisha mapigano baina yake na Palestina Ameshauri uteuzi ufanyike mapema, ili kunusuru Hali ya sasa ya sintofahamu!! ==== Israeli Defense Minister Resigns, Threatening Netanyahu’s Grip on Power Avigdor Lieberman has long disagreed...
 13. kinjekitile70

  Naomba mchanganuo kuhusu kilimo cha karanga

  Wakuu habari.. Natumaini mu wazima Lengo la uzi wangu ni kutaka kujua kiundani kuhusu kilimo cha karangaa.... 1.Mkoa mzuri unaofaa kwa kilimo hicho 2.mahitaji kwa ajili ya kilimo 3.Total cost per hecter 4.Market 5.Bora kununua kabla ya kumenywa au kulima in terms of cost Niko serious sana...
 14. kinjekitile70

  Sijawahi kuona mapacha wa kimasai

  Habari wakuu Niko mbele yenu kutoa ufafanuzi kidogo juu ya, maswali ya wengi kuuliza kama huwa Kuna watoto huzaliwa mapacha umasaini... Ukweli ni kwamba hata mimi tokeaa kuzaliwa katika jamii yangu sijapata kuona mapacha, neither wa kufanana nor fraternal.. Nimekuwa nilijiuliza Bila kupata...
 15. kinjekitile70

  Tetesi: VIHOJA MAKABURINI

  Wasalaaam Kama kichwa kinavyoeleza Ninii sababu ya maeneo mengi ya makaburi kuwa na historia ya kutokea vitimbi vya hapa na pale Natamani niwatagg majuvi lkini kwa bahati mbaya sijui kitagg Nimeandaa popcorn zangu hapa na togwa nasubiri mrejesho,....
 16. kinjekitile70

  Siku hizi kigezo cha uwepo wa 'chura' kwa mwanamke kinafunika kile cha elimu katika kuchagua mwenza

  Wakuu wasalaam, Nimekuwa niliwaza kwa kina usiku huu wa leo baada ya kupatwa kwa mwezi Nilichukua wasaa huo kuchukua tafakuri fupi juu ya hawa dada zetu. Enzi za mwalimu wanaume tulikuwa tunapenda kudate na watoto waliosoma, yaani unajifeel prestigious, wanawake nao walikuwa confident wenye...
 17. kinjekitile70

  Wizi mpya kwa mitandao ya simu

  Wakuu kama kichwa kielezavyo, nipende kujikita hasa kwenye mada husika Mara mbili mfululizo nimepokea sms kutoka kwa watu wawili tofauti ambayo siko na namba zao na sijawahi kuweka nao ahadi zozote za mihamala Kitu cha ajabu ni kwamba namba zao hazipatikani na sms hawajibu Rai Kwani...
 18. kinjekitile70

  Muungano wa Tanzania

  Habari zenyuu wakuu Matumaini yangu mko wazima wa afyaa Tukiwa tunasubiri uzinduzi wa kiwanda kingine Moja kwa moja kwenye mada:Leo katika kusikiliza idhaa ya kiswahil Dw, (Dunia yetu leo mchana ) wakiwa wanaongelea influence ya Western katika uharibifu wa amani ya Yemen, Kuna mchambuzi mmoja...
 19. kinjekitile70

  Maana ya maneno JF na waanzilishi wake

  wakuu, tokea numeingia humu ndani nimekutana na maneno mengi ambayo huko duniani hayapo, naamini kilq memba mpya atakuwa anapitiaa changamoto mpyaa piaaa.... maneno hayo ni P. P. P WANAKUJA MKUU/WAKUU PM MODS JUMANNEPONDAMALI KITUO CHA MAWINGU Na mengine mengi, na waanzilishii wake wakuu....
 20. kinjekitile70

  Ushauri: Natamani kufanya mapenzi na mama mwenye nyumba wangu

  Wakuuu habarini za juma pili Ni matumaini yangu mko pouwaa sanaa Kuhusu mada hapo juu Mimi ni mpangaji mitaa fulani hukubkwa mzaa Makonda, Tokea nimehamia hapa, nimekuwa nukipata changamoto kulingana na niyaonayoo hapa wakuu Mother house ni mtu mzima flani anajiheshimu sana, tatizo langu...
Top Bottom