Search results

 1. chuxxe

  Msaada anayefahamu kuflash smart kitochi

  Smart kitoch yangu imeganda tu ukiwasha kama kuna njia yoyote ya kuflash bila box tujuzane na apps yake Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 2. chuxxe

  Game unazo weza kucheza bila graphic card hata kwenye dou core

  Watu wengi tumekuwa na changamoto za graphic card ikitegemea na na mashine kama laptop ama desktop zenye graphic card mpunga wake ni mrefu leo, ntakuwekea baadh ya game 50 unazo weza kucheza bila graphic card..... 1call of duty world at war 2call of duty mordem warfare 123 4call of duty black...
 3. chuxxe

  Naomba kujuzwa utofauti wa IDM na torrent

  Mimi nilikuwa mpenzi sana wa torrents na vingi nilijifunza humu humu mpaka kuusu maswala ya seeders niliyapata humu humu mwanzoni kabisa kwa network nilikuwa nadownload GB 14 tyu yhn kwa masaa sita nilikuwa napata 1 Mbps ila badae ilikuja kupanda mpka 5mbps. Baadaye nikaja kuhama nilipokuwa...
 4. chuxxe

  Leo ningependa kujuzwa kuhusu VFX FX NA CGI pamoja na application zake

  Binafsi sijasomea mambo ya Sana'a hata kidogo ila napenda kufahamu vitu muhimu kama hivyo nimekuwa nikishindwa kutofautisha kati ya VFX na CGI na utendaji wake wa kazi embu tuelekezane kidogo kwa wale wenye elimu na utaalamu wa mambo haya
 5. chuxxe

  Msaada laptop yangu aina ya hp ina chemka sana hadi kuzima

  Nina laptop aina ya HP INA chemka sana had inazima na ukiiwasha haichukui dakk 20 tu inakuwa ishazima
 6. chuxxe

  Msaada graphic driver g870

  Msaada anaeweza, nahitaji HD graphics za pentium g870 offline nime jaribu lakini nimekosa msaada wenu please
 7. chuxxe

  Msaada jinsi ya kuflash simu ndogo bila box

  Nina simu yangu aina ya samsung e 3210 inawaka na kuzima so. kwa yeyote anaefaham jinsi ya kuflash hii simu bila box na app yake please.
 8. chuxxe

  Msaada nikiweka graphics card yangu inanipa ujumbe huu

  kuna mtu kaniuzia graphics card ila nikiweka kwangu inaonesha imedisplay ila ina andika. "This device is not working properly because Windows cannot load the drivers required for this device. (Code 31) The driver trying to start is not the same as the driver for the POSTed display adapter."...
 9. chuxxe

  Msaada: Wapi nitapata GTX 750ti

  Msaada jamani, Mimi so mwenyewe wakuangiza vitu toka nje hivyo uwa nanunua hapa hapa nyumbani. Kama kuna mtu anaweza kujua upatikana wa hio GPU au anayo plz anichek
 10. chuxxe

  Msaada: Nahitaji kuongeza njia za RAM kwenye Desktop yangu

  Msaada jamani, Desktop yangu ina njia 2 za kuwekea RAM na mimi nimeweka RAM 2gb kila njia ila nina RAM zingne nahitaji kuongeza na hakuna njia ya kuweka. Je, kuna kifaa chochote kinachoweza kutumika kuongeza hizo njia?
 11. chuxxe

  Msaada kuhusu izi Intel hd

  Habari zenu wana jf Leo nilikuwa naomba kujuzwa kuusu izi Intel HD 3000, 4000 na zingne pia nimekuwa naangaika sana kuelewa maaana Intel HD 3000 nimeikuta kwenye core i3 na Intel hd 4000 nimeikuta kwenye core i3 pia hapa nilikuwa naomba kuelewa kitu wazee kuhusu izi Intel HD
 12. chuxxe

  Naomba msaada kuhusu kazi ya Proccesor katika Computer

  Habari wanaJF, Nitangulize shukrani kwenu wana JamiiForums nimekuwa muuliza mkubwa kidogo coz nahitaji ufahamu Nilikuwa nahitaji kujuzwa ufanyaji wa kazi wa "Proccesor" katika "Computer" haswa kujua hizi Core Je, husaidia nini katika "Computer Performance". Au Quality ya Graphics Naomba...
 13. chuxxe

  Naomba ufafanuzi kuhusu hili la SSD katika Computer

  Habari wanJF, Nimekuwa nikishagazwa sana na bei ya SSD na ukubwa wake maana nyingi ninazoziona ni GB150 mpaka GB25. Ila bei yake imechangamka sana je! matumizi yake yapoje au hazijai mapema kama HDD maana naona zina spec ndogo sana
Top Bottom