Search results

 1. Aventus

  Naweza kupata wapi vipimo vya kujipima HIV?

  Kheri ya mwaka mpya all human beings Hakika Mungu ni mwema. Ni mwaka mpya wa afya njema na amani. Mwaka nauanza kwa kwenda kupata chanjo ya "hepatitis" kama sijakosea spelling. Ni hatari sana nahamasisha wote tukapate maana ni bure. Nashukuru Rais wetu wa Jamhuri kahalalisha vipimo vya HIV...
 2. Aventus

  Nafasi za kazi

  Nime share tu nime screen short toka facebook Sent using Jamii Forums mobile app
 3. Aventus

  Breaking news

  Tukio linaloendelea sasa ivi hapa tanga mjini maeneo barabara ya 12,katika hali isiyo yakawaida dada mmoja aitwae Nusurat Khamis mweny umri wa miaka 22 amekutwa na vichwa viwili kweny mkoba wake. Aidha dada huyo inaelezwa kuwa alikuwa akitokea maeneo ya Raskazone na alipanda bodaboda had hapa...
 4. Aventus

  Nauza kuku wa nyama

  Niaje wadau Nina kuku wa kisasa 350 na nauza 5500@1. Location Morogoro Mtaa Mkundi kama unakwenda Dodoma. Aliyetayari tuwaailiane kwa no#0718906602 Sent using Jamii Forums mobile app
 5. Aventus

  Nauza vitunguu maji zaidi ya gunia 80

  Mambo vip? Nina vitunguu maji zaidi ya gunia 80. Viko shamba Morogoro, Kijiji cha Msowelo. Nitauza kila gunia Tsh. 80000 tu. Sina mpango wa kuleta mjini wala Dar sababu yalinikuta makubwa nilipoleta tikiti. Kwa mawasiliano 0718906602.. Nakaribisha na madalali pia wakague mzigo na watafute...
 6. Aventus

  Special Thread.kila kitu kuhusu camera(camera bomba,upatikanaji,matengenezo,still picture n.k)

  Habari za saizi ndugu zangu??? Nimetafakari nikaona ni jambo jema kuleta uzi kama kichwa kinavojieleza.Nivema wataalam wa maswala ya camera ikiwamo wapiga picha,mafundi kamera na wauzaji wakatushauri ni zipi kampuni bora.upatikanaji(maduka tz) wa camera,lens,tripod n.k,urahisi wa...
 7. Aventus

  Leo nimefumwa live nanunua cha bibi(ugoro)kwa masai

  Habari za saiz wana jamvi??? Baada ya kuacha sigara na ganja zaidi ya miaka kumi kuna kipindi nimekua mpweke sana nikajichanganya na marafiki nikakuta naangukia katika matumizi ya cha bibi(black poweder,engusugii,mababo,ubuge,ubuyu n.k)Yapata miaka miwili sasa natumia kisiri hata alienifundisha...
 8. Aventus

  Nafasi nne za kazi Lavista hotel Morogoro

  Lavista garden hotel morogoro inatangaza nafasi za kazi.. Wahudumu wanne wa kike. Waitress wawe na idea na kazi, Ajue kusoma na kuandika, Awe msafi na tabia njema. Mawasiliano call 0629232810
 9. Aventus

  Natafuta external hard disk

  mwenye external hard disk yenye bei ya kueleweka.mana vyuma vimekaza.iwe wima inasimamia ukucha.tufanye biashara faster...Ni 2TB
 10. Aventus

  Msaada: Nahitaji namba ya simu ya Msaga Sumu na Snura

  habari za majukumu wana jamvii..? kama kichwa cha uzi kinavojieleza. Nina ka hotel kangu huko mikoa ya pwani.Tokana na wimbi kubwa la wateja wangu wanapenda singeli.Nimeonelea hawa wasanii watanifaa sana kwa Christmas na new year. changamoto ni mawasiliano yao.kila ninavopambana nipate...
 11. Aventus

  Nchi Hii Haijawai Kuishiwa Na Vituko

  JPM: "Katika utawala wangu hakuna atakayepata mimba na kurudi shule. .., ni bora wakalime ili ile nguvu waliyoitumia kujifungua waitumie kulima." Naibu Waziri TAMISEMI; "Ni marufuku mtoto wa kike kuolewa (Kufunga Ndoa) kama hana Cheti cha kidato cha nne" _________________________________...
 12. Aventus

  Tofauti ya post za wazungu na wabongo

  *TOFAUTI KATI YA WATANZANIA NA WAZUNGU WANAPOTUMA POST ZA KUOMBA USHAURI FACEBOOK*[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] *AMERICAN POST:* Hello, my name is Sandra Stone, I am from New York, I love my husband so much and I can do anything to please him... But recently I...
 13. Aventus

  Kiongozi wako ana madaraka kukiko yaliyoandikwa

  "kiongozi wako wa kazi anayo mamlaka na madaraka makubwa kuliko yaliyoandikwa, sio kila jambo lazima iwe kanuni" — Job Ndugai, Spika wa bunge Hii ni kauli ya Spika la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai wakati akifanya mahojiano na kituo cha cha Azam TV.., Mkutano wa 8 wa bunge la 11...
 14. Aventus

  Walimwengu hawana jema!!!?

  Nasema angalia ya kwako tu ...Hawa ndiyo watanzania bhana [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] UKIWA KIJANA. 1. Ukiwa single watakuuliza, kwanini huna Girlfriend au Boyfriend? 2. Ukiwa na mchumba...
 15. Aventus

  Pesa za ESCROW zilikuwa za umma ama watu binafsi???

  “Tusijipe usahaulifu wa lazima tena kwa haraka.., zile pesa zilikuwa za UMMA au za WATU BINAFSI.., zile pesa za TEGETA - ESCROW Account... NANI ANAWALIPA SCB-HK DENI LAO!?” [emoji767]Martin Maranja Masese [MMM] .., hivi zile pesa zilizofunguliwa TEGETA - ESCROW Account zilikiwa mali ya UMMA...
 16. Aventus

  Uzi maalum kwa ajili ya simu za tecno. Matatizo yake, maujanja na matengenezo

  Habar Za midaa Hii wana jamvii??? Huu ni uzi maalum kwa ajili ya tecno kama heading inavojieleza. Wengi wetu humu tunatumia tecno wereva. Basi tushirikishane kwenye uzuri, ubovu na matatizo ya hizi simu zetu pendwa. Kwa mfano mimi natumia tecno C9. Toka nimenunua iko na mwaka, mwanzo ilikua...
 17. Aventus

  Murder Or suicide?

 18. Aventus

  Katika wachafu mia, Je msafi mmoja ataonekana?

  KATIKA WACHAFU MIA MSAFI MMOJA ATAONEKANA??? Najiuliza kimyakimya wanatokea makwapurwa mia lakini ndani yao kuna msafi mmoja tu utamwona? Na mpaka umwone huyu ni msafi ama anaafadhali lazima ufanye shughuli ya ziada. Katika kundi la wapinga nduru(kelele)mia je ni rahisi kumwona mtulivu mmoja...
 19. Aventus

  Mwenyekiti hebu tueleze, je hawa wezi wanastahili kuendelea kuwa kwenye chama?

  Mwenyekiti wa CCM.., hebu tueleze sasa.., hivi ile taarifa yako ambayo umeipokea jana, imemtaja Chenge (mwenyekiti wa bunge) na wanachama wako wengine (wapatao 12)..., Je, wanapaswa kuendelea kuwa viongozi wa umma na wanachama wako!? Ikiwa, wewe unajipambanua kwamba haupendi wezi, Mafisadi...
 20. Aventus

  Unaweza kukaa meza moja na mwizi?

  .., sawa tumepokea taarifa ya kamati ya Profesa Nehemiah Ossoro., imeonesha uozo mwingi sana.., kuna mapendekezo mazuri..., kila mtu sasa aendelee kushangilia au kutafakari kwa kina..., Sasa najiuliza.., Rais amesema watafanya negotiations na ACACIA na kuona grounds ambazo zilikuwa...
Top Bottom