Search results

 1. GreenCity

  Sheikh Ponda amehukumu kama alivyohukumu Don Veto Corleone

  Silence might have been your good response to this article! Since, as a nation, we decided and agreed on the rule of law then let's all stick to that! Those purported "culprits" have denied their rights to be heard, movement, representation and worse, they are "serving" sentences without court...
 2. GreenCity

  BIOGRAPH ya Don Nalimison katika Picha.

  Kisandu kama kisandu!
 3. GreenCity

  Kutoka Mahakamani: Sikubakwa na mshtakiwa nilitaka mwenyewe maana ni mpenzi wangu

  For a court decide an offe of rape on a girl of the tender age does not need to prove consent, but only penetration!
 4. GreenCity

  Naomba kujua gharama za ( kutarizi/kudarizi ) t-shirts

  Sidhani kama ni sahihi kuwaita WAPIGAJI kisa wana bei kubwa kuliko yako! Branding matters, quality of service too!
 5. GreenCity

  Je, wanawake wote wapo hivi au ni huyu wangu tu?

  Pole sana mkuu! Nadhani tatizo sio kupoteza pesa, hiyo perception yako ni mbaya na imenikwaza kiasi! Kama unampenda na hana changamoto za kitabia, oa huyo atakufaa! Maradhi yanaweza pita na kukoma kabisa! BTW unaweza acha huyo na kufuata mwingine mwenye afya sasa na baadae kwenye ndoa akawa...
 6. GreenCity

  Je, hili ni kosa katika ndoa?

  Sharia zitatumika endapo hapana wosia! Rejea TESTATOR VS INTESTATE in probate and administration of estate!
 7. GreenCity

  Nampongeza Zari The Boss kwenye hili

  Nje ya mada! Mkuu username yako ina uhusiano wowote na tabia yako? 🙌
 8. GreenCity

  Mfahamu Jaili: Chinja chinja aliyevuma Mbeya na Mama yake aliyekufa na kufufuka mara tatu

  Asante kikolo, ule msitu ulikuwa unaonekana vema ukiwa maeneo ya juu pale Simike nyuma ya hospitali ya Wazazi! Nowadays msitu is gone watu wametia mijengo like a Disney land!
 9. GreenCity

  Mfahamu Jaili: Chinja chinja aliyevuma Mbeya na Mama yake aliyekufa na kufufuka mara tatu

  Mamoma, mkambokambo, posolo! Buji you killed it homeboy 😅😅🙌🙌
 10. GreenCity

  Mfahamu Jaili: Chinja chinja aliyevuma Mbeya na Mama yake aliyekufa na kufufuka mara tatu

  Achana na Ikuti ya Iyunga mkuu, kuna Ikuti yenyewe yaani OG anayokwambia Bujibuji
 11. GreenCity

  Kwanini wako busy na chanjo ya COVID 19 na sio dawa yake?

  Chanjo is meant for unaffected persons!
 12. GreenCity

  Kwanini wako busy na chanjo ya COVID 19 na sio dawa yake?

  Hii yote ni matokeo ya CCM! Safari ni ndefu!
 13. GreenCity

  Tazama foleni hii ya wanunuzi wa sukari Morogoro. Juzi Waziri Bashungwa kapitishiwa bajeti ya hovyo iliyoungwa mkono na wanaccm wote Bungeni

  Miongo 5 baada ya Uhuru, Watanzania wananunua sukari kwa foleni! What a curse over the ruling party!
 14. GreenCity

  Taja "character" uliyemchukia kupita kiasi katika filamu au tamthilia

  I did! Nimeeleza kwenye post #4
 15. GreenCity

  Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

  Muuzaji wa vinywaji kwa jumla! Wines, whisky, spirits, blandy, gin, vodka, soft drinks. Jitokeze tuyajenge!
 16. GreenCity

  Taja "character" uliyemchukia kupita kiasi katika filamu au tamthilia

  🤣🤣Bila kusahau, he was a murderer too!
 17. GreenCity

  Taja "character" uliyemchukia kupita kiasi katika filamu au tamthilia

  Labda mwishoni kipindi anajiita Pfeiffer! Lakini kabla T-bag ni traitor, selfish, sexual abuser, mwizi, mchafu, molester, jambazi and the like!
Top Bottom