Search results

 1. Kafrican

  Jaribio la Tatu: Galana Kulalu Food Securty Project

  Jamaa walijaribu mmara ya kwanza, wakula loss kubwa pesa za kodi yetu, wakatafuta muIsraeli aje ajaribu akashindwa, project ikachukuliwa na wizara ya maji ndani ya departpment ya unyunyizaji (National Irrigation Authority) sasa wanasema kwa kila ekari waligarimika takriban Ksh 45,000 na mavuno...
 2. Kafrican

  Kuna uwezekano ndani ya miaka tano hadi kumi, Malaria isiwe janga tena

  Utafiti mpya umeonyesha kuna njia inaweza kufanya mbu wawe hawana uwezo wa kuambukiza mtu malaria. Watakua ni kero tu wakikuuma lakini watakua hawazambazi tena malaria. Tuombe Mungu hawa watafiti wafanyikiwe manake malaria inaua watu wengi sana Africa. ======== A Kenyan-British team of...
 3. Kafrican

  Ndani ya Hospitali Inayotibu Wagonjwa wa Corona Nchini Kenya

  Hospitali hii ina shughulikia jumla ya wagonjwa 123 walio na corona, duh, mambo yanatisha hapo ndani kazi si mchezo
 4. Kafrican

  KQ Yaamua Kung'oa Viti na Kugeuza Dreamliner Zake Kuwa Ndege za Mizigo

  Ndege za mizigo hazijapigwa ban na bado zinaruhusiwa kufanya kazi kimataifa, mwanzo wakati huu wa corona ambapo kila nchi inaagizia vifaa na madawa yanayohitaka kwa haraka, kuna demand kubwa sana ya safari za charterd cargo flights . KQ inazo ndege ambazo ni spesheli za cargo lakini kwavile...
 5. Kafrican

  Kuanzia wiki ijayo, Kenya itakuwa na uwezo wa kupima sampuli 35,000 za Korona kwa 24Hrs kutoka sampuli 600

  Hizi ni mashini ambazo zilikua zilinunuliwa kufanya mass rapid testing ya TB na HIV, mashini hizo saba zimewezesha Kemri kuwa na uwezo wa kufanya test 2 Million za HIV ndani ya wiki. Lakini zilikua zinahitaji software mpya ya kuzifanya ziwe zinaweza kupima corona automatickly, software ho mpya...
 6. Kafrican

  CoViD-19: Siku 30 zijazo ndo muhimu zaidi kujitahadhari, angalia hili jedwali hapa

  Kwa mwezi mzima, USA ilikua na kesi 15 tu, walidhani wako salama na wameishinda corona! Siku 22 za kwanza, Italy walikua na kesi tatu tu!!, walidhani wako salama!!!! Siku 21 za kwanza, Egypt walikua na kesi 3 tu, walidhani hali iko sawa!!! siku 26 za kwanza, Spain walikua na kesi 7 tu...
 7. Kafrican

  Germany loses six million coronavirus face masks in Kenya ... Jamaneni!!!

  MARCH 24, 2020 / 3:18 PM / UPDATED AN HOUR AGO BERLIN (Reuters) - German customs officials are attempting to track down about 6 million face masks ordered to protect health workers from the coronavirus which went missing at an airport in Kenya. “The authorities are trying to find out what...
 8. Kafrican

  How dare you Kenya? Egypt, Nigeria and South Africa be asking

  Baada ya USA kuelewana na China na NAFTA (Canada, Mexico, USA), katika negotiation za bilateral trade, Next itakuwa ni EU halafu baada ya hapo ndo wengineo kama South America alafu Africa. Ndani ya North Africa, Marekani imeshaanza kufanya bilateral trade agreements mpya na Morocco, halafu...
 9. Kafrican

  Is this true? Eti Rais Uhuru na Raila walimsaidia kichini chini Rais wa DRC kushinda urais

  Kenyatta, Odinga helped DR Congo's Tshisekedi win presidential poll Kenya's President Uhuru Kenyatta (left) welcomes the President of the Democratic Republic of the Congo Felix Tshisekedi at State House, Nairobi on February 6, 2019. PHOTO | PSCU Kenyan President Uhuru Kenyatta and opposition...
 10. Kafrican

  Serekali ya Kenya Iuze baadhi ya Kampuni inazo miliki ili Kushtua Uchumi au La?

  Miaka ya 70's Serekali ya Kenya iliamua kuuza baadhi ya hisa za kampuni za kiserekali ambazo zilikua hazifanyi vizuri kama KQ ambapo ilifanyikiwa kuleta faida kwa Serekali kwa karibia miaka 20 kabla KQ kuanza kupata hasara kuanzia 2015 hadi sasa, jambo ambalo limefanya GoK kuamua kununua hisa...
 11. Kafrican

  Kismayo Somalia, Asante KDF!

  Kuna mwengi ambayo miji miengine ya Kusini na kati ya Somalia yanaweza yakajifunza kutokana na maendele ya mji mkuu wa Kismayu ambao ndo mji wa Mkubwa Somalia baada ya Mogadishu. Wakati miji miengine ya Somalia ikiwemo Mogadishu inakumbwa na mashambulizi makubwa mara kwa mara, Kwa miaka saba...
 12. Kafrican

  KQ Cargo to the US + The Untapped potential of Kenya's textiles industry

  Kwenye hio ripoti inasemekana nchi ambazo ziko industrialized kwa sasa karibia zote zilianza na viwanda vya pamba kutengeneza material za kutengeneza nguo, kwahivyo kama tuna akili basi tuchukulia biashara ya pamba na viwanda vyake kama kitumuhimu sana. Alafu pia hapo kwa video inaonyesha vile...
 13. Kafrican

  Kumbe Kuna Ofisi Maalum ya Serekali Ambayo Huchapisha Ripoti za bajeti Ilivyotumika !?

  Mara nyingi hua naisikiza na Kuisoma Hotuba ya Wizara ya Fedha, lakini hua nashindwa kuchambua haswa vipi pesa zitatumika, manake katika ile hotuba hua ni wizara kadhaa tu zinatajwa na kutangazwa kama zimepewa pesa ngapi lakini hata hawasemi hizo pesa zitatumika kufanya nini haswa. Yani hua sina...
 14. Kafrican

  Duh! Africa bado safari ni Ndefu: Safari kutoka Addis hadi Nairobi

  Ieleweke lakinni kwamba upande wa Ethiopia, bara bara bado inajengwa. Tumepiga hatua kama Africa lakini bado tuna changamoto kibao sana!
 15. Kafrican

  Hebu sikilizeni hii nyimbo mpya jameni

  Hapa nimefika kikomo, sina haja ya kusikiliza nyimbo tena kwa mwezi mzima, hii nyimbo ni dozi tosha
 16. Kafrican

  Nahisi Njaa!!

 17. Kafrican

  Kenya ya tatu Afrika kwa kuwa tayari kithibiti majanga ya aina yoyote

  Leo hii, lete mlipuko wa Ebola, Uchumi wa dunia kuanguka, Ugaidi, majanga ya mazingira.... Kenya iko tayari kupambana nayo kuliko nchi nyingi Africa ----------------------------------------- The 2019 Change Readiness Index (CRI) indicates the capability of a country – its government, private and...
 18. Kafrican

  WB $743m Nairobi Water Collector Tunnel, A Designed by Kenyans, Engineering Fete!!! Watch how its being built.

  Siku zote tumezoea mega projects kama hizi hua zinafanyiwa designing na kampuni za nje, zinapewa kampuni za nje alafu hio kampuni ndo inaandika wenyeji kuwasaidia kufanya kazi.. Lakini hii mega project inaleta tumaini kwa future ya ma engineer wa Kenya. If you have no time for the...
 19. Kafrican

  Investigative Capacity ya Polisi Yazidi Kuboreka, hii ni Noma Kwa Wezi,Magaidi !..nk

  CID sikuhizi hawana mchezo, yani wanashika washukiwa kwa kutumia upelelezi wahali ya juu, ukiwafyata pale kwa twitter utaona vituko vile wanashika washukiwa kama mchezo, tena unashikwa na ushahidi yani hata hauwezi pinga, imekua ni kama movie. Kuna jamaa waliiba hela takribal $7.2m zilizokua...
 20. Kafrican

  Duh! Hii hela yote jameni na hawa watu hata hawako kazini!

  Yani mamangu alifanyia serekali kazi kwa miaka 37, na aalipo retire alipewa lumpsum paiment ya Ksh 1.2 Million. Ingawaje sijui monthly pension anapewa ngapi..... Alafu hawa jamaa wanaingia madarakani hakuna lolote wanafanya (Except for Chief Justice ambaye ni public servant). Alafu miaka...
Top Bottom