Search results

 1. R

  Msaada: Ninawezaje kutatua tatizo la TV licence

  Ok wacha nijaribu nitaleta mrejesho mkuu, asante kwa msaada wako.
 2. R

  Msaada: Ninawezaje kutatua tatizo la TV licence

  Habari wakuu! Naomba mwenye uelewa na hili anijuze. Ninatumia smart tv kwa muda sasa. Zamani wakati naichukua kutoka dukani nilikuwa na uwezo wa kuaccess apps zake kama vile youtube, netflix etc lakini baadaye sana zikawa zinagoma kufunguka na nikawa naambiwa "your tv is not licenced". Hiki ni...
 3. R

  Tanzania yajibu mapigo kwa kauli za baadhi ya wabunge wa nchi za Ulaya

  Angalau Kabudi angejibu kama wewe ingemake sense kuliko uozo ule ukilinganisha na hadhi yake kwa kweli kalikosea taifa na wala sio hao wazungu
 4. R

  INAUZWA Deki aina ya Zec inauzwa

  Kaka nimetoka jana tu hapo Musoma ningeichukua aisee lakini sasa gharama za kuisafirisha mpaka nilipo
 5. R

  Mliobobea katika 'Saikolojia' na 'Maono' kwa 'Msisitizo' wa 'Kauli' ya Rais Dkt. Magufuli mnamwambiaje 'Prime' Majaliwa?

  Kumbe jamaa kuzunguka huku na kule kumpigia kampeni jiwe alikuwa "anajipendekeza" tu!!! Aisee, hata kama ila amemshushia sana heshima mbele za taifa na familia yake. Rais ajifunze kuwa na ukomo wa maneno ya kuzungumza. Huu sio uungwana na kama maneno hayo angekuwa anayasimamia moyoni mwake...
 6. R

  Historia hii itatubadilikia mbeleni kama tutaacha Tundu Lissu ashauriwe na mabeberu

  Huu ndio unafiki wa watanzania ambao utaligharimu taifa. Wewe badala uangalie chanzo cha haya yote ni nini na utumie muda wako kushauri upuuzi unaofanywa na viongozi walioko madarakani ambao wanachezea chaguzi na kunajisi demokrasia, wewe unahangaika na consequences. Mshauri Magufuli na...
 7. R

  Siri ya Marekani kuingilia Uchaguzi mkuu wa Tanzania

  Uchambuzi wako una ukweli kiasi kikubwa tu, japo umechambua huku ukitoa advantage kwa upande wa pili ambao pia una mapungufu makubwa sana. Sasa sijajua ni makusudi au mapungufu tu ya kiubinadamu? Madikteta wengi hasa wa huku kwetu Afrika na serikali zao wamekuwa hawataki kukosolewa na nchi za...
 8. R

  Dkt. Hellen Kijo: Watanzania hawajawa tayari na maandamano

  "Ujinga" ni janga kubwa sana ndio maana bado watanzania wanadanganywa na kuwachagua viongozi ambao wanahubiri maendeleo wakidhani kama kufanya maendeleo ni hisani ya viongozi. Kiongozi akifanya jambo la maendeleo anataka asifiwe na kuabudiwa kama vile kafanya kwa hela yake ya mfukoni mwake na...
 9. R

  Hongera Dkt. Magufuli kwa ushindi wa kishindo. Tuliyoyaona kwenye kampeni tujifunze

  Kwa kero zote hizo bado waichague CCM!? [emoji848] Mbona itakuwa ni ujinga wa hali ya juu? Yote uliyoyaandika hapo na mengine mengi ni kero kubwa kwa wananchi wa Tanzania ambao waliahidi kumuondoa jiwe. Sasa nawe unasaidia wapinzani kuthibitisha ushindi alioupata jiwe si wa wapiga kura bali ni...
 10. R

  Dunia nzima hakunaga Mabadiliko yaliyowahi kuletwa na Watu Wengi

  Truly, umejitahidi kuchambua siasa za upinzani na ninakuunga mkono kwa asilimia fulani kubwa tu. Na ukweli ni kuwa hata hayo maandamano hayatafanikiwa maana wafuasi hawajaandaliwa na wengine hawako tayari kwa hatua hiyo. Ila kuhusu JPM nakupinga sana tu bado sie kiongozi sahihi kwa wakati...
 11. R

  Ukimzidi mshindani wako kwa 90%, kutakuwa na sababu mbili za wewe kushinda...

  Huu ndio ukweli, kuna reforms ambazo zilitakiwa kufanywa kabla ya kuingia uchaguzi mkuu k.v katiba mpya hii ilitakiwa kudaiwa kwa nguvu zote hata kabla ya uchaguzi mkuu na pia tume huru ya uchaguzi. Kwa mazingira haya tuliyonayo Tz hatutaweza kubadili chama cha siasa kuongoza nchi. Haitaokea...
 12. R

  Uchaguzi 2020 TCAA yawajibu CHADEMA! Yasema CHADEMA waliomba kibali cha kuruka kwenda Dar leo saa tatu asubuhi

  Katika kipindi hiki cha kampeni lolote linawezekana. Kwamba Lissu anaweza kuwa kachukua advantage ya kisiasa dhidi ya TCAA na serikali inayoongozwa na wapinzani wake CCM au TCAA wamefanya blunder ili kuinusuru CCM, hivyo wanataka kujisafisha tu. Japo kwa uzoefu wa kipindi hiki cha kampeni...
 13. R

  Uchaguzi 2020 CCM na kampeni chafu dhidi ya Mbowe jimboni Hai

  Magu sio mwanasiasa, haijui siasa kabisa na hakupaswa kuwa kiongozi wa kisiasa. Amedhihirisha kwa matendo na maneno yake.
 14. R

  Kwanini ndoa nyingi za watu waliopishana miaka michache (rika moja) huwa zinadumu muda mrefu na kuwa na changamoto ndogo ndogo sana?

  Huu mfumo wa "Beijing" umeleta madhara makubwa sana katika jamii yetu. Hakika wazee wetu walikuwa na maono ya mbali sana ndio maana maisha yalikuwa yanaenda na hata waliweza kuwa na wake zaidi ya wawili lakini hakukuwa na shida kabisa. Leo mwanamke mmoja tu pasua kichwa ni kwa vipi utaweza kuwa...
 15. R

  Kwanini ndoa nyingi za watu waliopishana miaka michache (rika moja) huwa zinadumu muda mrefu na kuwa na changamoto ndogo ndogo sana?

  Kiukweli nyakati zimebadilika sana na mambo mengi katika dunia ikiwemo mitindo ya maisha yamebadilika sana. Imani katika ndoa ile ya zamani ambayo waliamini ili ndoa ikae vizuri basi lazima mwanaume amzidi umri mwanamke anaemuoa kwa zaidi ya miaka 10 na kuendelea. Walikuwa sawa kulingana na...
 16. R

  Mkopo wa kumalizia ujenzi wa nyumba

  Matumizi bora ya nyumba huweza kuwa chanzo cha uchumi. Inawezekana anataka kuimalizia nyumba yake ili afanye shughuli za kuzalisha kama vile nyumba ya biashara ambapo atapata kodi na kuwa mapato hivyo akaweza kutumia kurejesha pesa alizokopa lakini pia nyumba yenye eneo la kutosha unaweza...
Top Bottom