Search results

 1. K

  Balozi za nje kumiliki ardhi

  Salaam Salaam!!!! Naomba kujua sheria inasemaje kwa balozi za nje kununua na kumiliki ardhi nchini? maana nimeona balozi mbali mbali zimewekeza nchini na kujenga ofisi na makazi, Mfano sasa serikali imewapa ardhi Dodoma,wanatakiwa kujenga uko Je wanamamlaka ya kuuza hapa Dar na kwenda kuwekeza...
 2. K

  Msaada: Mawasiliano ya King Kiki band

  Salaam humu ndani, Nina shughuli ya Send Off ya mtoto wa kike mwezi Juni. Baada ya vikao vya ndugu, wazee wameomba siku hiyo tukodi bendi ya mzee Sungu King Kiki na kamati imenipa kazi ya kufatilia na kujua utaratibu wa kuwakodi. Kwahiyo nimekuja humu kuomba msaada wa jinsi ya kuwasiliana na...
 3. K

  Ushauri: VETA au kurudia kidato cha nne?

  Salaam wa ndg! Nina kijana wangu wa kiume amemaliza kidato cha mwaka huu ila amepata daraja la 4 points 27, katika shule ya kata kunduchi beach. kwa kifupi alikuwa anamaendeleo mazuri akiwa shule ya msingi na hadi alipofika kidato cha 2 , kuanzia hapo maendeleo yake yalishuka sana na akawa na...
 4. K

  Swala la kufanya ngono ndani ya gari wadada huwa mnapenda au?

  Salaam kwa wote, Nimeishashuhudia japo siyo mubashara wapenzi wanafanya mapenzi ndani ya gari zaidi zaidi zile za vioo vya tinted kwenye parking za Coco beach na kwenye ma bar. Wanaume niliowauliza wanasema ambao wanafanya hii kitu wanasema wadada wengi ndiyo wanafurahia sana hii kitu...
 5. K

  Msaada: Nataka kufanya biashara ya madini ya tin

  Habari ndg zangu, Kuna jamaa yangu yuko Kagera toka mwaka jana ananishuri tukachimbe madini ya TIN uko kwao kyerwa, sasa basi, naomba msaada mwenye kujua hii biashara ya madini ya TIN tupeana ushauri.
 6. K

  Msaada: Mgogoro wa aridhi mapiga bagamoyo

  Mimi na jamaa zangu wawili, tumenunua Aridhi MAPINGA kijiji cha UDINDIVU wastani wa hekali moja kila mmoja kutoka Serikali ya kijiji,kila mmoja alilipa shilingi milioni tano{5,000,000} mwaka 2010. Mwaka 2013 mwenyekiti wa kijiji alitupa taarifa kwamba kuna mtu kajitokeza anadai yeye ni mmiliki...
 7. K

  Msaada: Mgogoro wa aridhi mapiga bagamoyo

  Mimi na jamaa zangu wawili, tumenunua Aridhi MAPINGA kijiji cha UDINDIVU wastani wa hekali moja kila mmoja kutoka Serikali ya kijiji,kila mmoja alilipa shilingi milioni tano{5,000,000} mwaka 2010. Mwaka 2013 mwenyekiti wa kijiji alitupa taarifa kwamba kuna mtu kajitokeza anadai yeye ni mmiliki...
 8. K

  Watoto wanawauwa wazazi ili warithi mali

  ​Imekuwa siyo jambo geni kwa wazazi kulalamika kuhusiana na watoto wao ambao wakiona wazazi wana nyumba mbili au tatu na wamestaafu kazi na mbaya zaidi kama mmoja wa wazazi amefariki basi watoto watafanya kila visa kwa wazazi mfano;kuwalazimisha kwenda kuishi nje ya mji au kijijini kwenye...
 9. K

  Nimezidishiwa pesa kwenye akaunti ya bank.

  ​Mie ni mteja wa BANK moja hapa mjini, mwaka jana jamaa yangu alinilipa pesa kwa njia ya inter bank money transfer kiasi cha 5000USD , matokeo yake bank wakai double ikawa 10,000USD,Mie baada ya hapo nikaitoa pesa yyote baada ya miezi 4 Bank walinipigia simu kwamba nirejesha pesa mie...
 10. K

  NAWATAFUTA: Richard Mshanga na Fotunatos Apolinali

  Wana jamvi, Hawa jamaa nimesoma nao 'O' Level na nina hamu ya kuonana nao endapo ni wazima popote pale walipo. Mwenye taarifa au wahusika wenyewe mkijisoma tafadhali naomba tuwasiliane. Nawasilisha.
 11. K

  Mmiliki halali wa jengo la Yanga ni nani?

  Kama kuna mtu anajua mmiliki halali wa jengo la club ya Yanga pale Jangwani naomba atoe ufafanuzi hapa.
 12. K

  MSAADA: Taratibu za kuwa mwanachama wa chama cha Siasa

  Kama kuna Makada humu jamvini wa vyama mbali mbali vya upinzani naomba utaratibu wa kuwa mwanachama.
Top Bottom