Search results

 1. T

  Ujenzi wa barabara stendi ya Korogwe

  Kuna ujenzi wa barabara/stendi Ko gowe unaendelea hivi sasa .Hivi sasa ni miezi kibao kama sita hivi imepita kazi inayofanyika hapo haijulikani ni kazi gani.Kuna magari na makatapila yapo hapo kila siku yanazunguka tu na kusababisha msongomano wa magari na kukaribisha ajali. Haijulikani huu ni...
 2. T

  Kero ya usafiri wa kupitia Loliondo

  Ni jambo la ajabu tena kushangaza kulazimisha magari ya Mlandizi via Loliondo. Kama kuna viongozi wa mkoa wa Pwani walipanga magari hayo yapitie Loliondo kwa hakika walikurupuka sana. Nashangaa walisahauje yapitie Tumbi Hospital, Mwanalugali na kwingineko kama ambavyo walikumbuka yapitie...
 3. T

  Kituo cha mwendokasi Kimara, ni jehanamu ya abiria

  Maelefu ya abiria wanaorundikana kituo cha mabasi ya mwendokasi Kimara mateso yake yanafanana moto wa jehanamu. Hakuna sababu yeyote ya maana ya kuwarundika abiria wote hapo zaidi ya kupigania nauli ya sh. 400 tu. Abiria wote wanaochukuliwa Mbezi Luisi kwenda mjini hakuna hata mmoja ambae hua...
 4. T

  Halotel rekebisheni lugha yenu kwenye matangazo yenu

  Badala ya kutumia Kiswahili fasaha Halotel hupenda kutumia kiswahili cha mtaani au cha Kizaramo kama hivi: HAUNA salio la kutosha.... badala ya kiswahili fasaha cha;HUNA salio la kutosha...Hauna hutumika kama vile; Muungano huu HAUNA faida kwa upande mwingine na huwezi kusema;Muungano huu HUNA...
 5. T

  Halotel mna tabia ya ajabu mno

  Likiwa ni shirika kubwa la mawasiliano hapa nchini lakini haliendani kabisa na mambo wanayowafanyia wateja wake. Katika huduma ya nipige tafu hapo ndipo Halotel wanapoonesha udhaifu wao. Ikumbukwe kwamba mteja anapoomba huduma ya nipige tafu hua ni swala la dhalura ambalo mteja anahitaji...
 6. T

  National Health Insurance Fund(NHIF) na changamoto zinazowakabili wanachama wa mfuko huu

  Mfuko wa Shirika la bima ya Afya Tanzania ni wauaji wapya Tanzania kuliko magonjwa yenyewe. Idadi kubwa ya wagonjwa kutoka hospitali mbalimbali zikiwa za binafsi au za Serikali wamekuwa wakikosa dawa muhimu kwa sababu watoto huduma hawana fedha za kununulia dawa kwa sababu malipo hayafanyiki...
 7. T

  Safari channel imeanza kuharibu mambo

  Channel mpya ya Safari Channel ilipoanza ilionekana kama chaneli tishio kwa sababu watu wengi sana wanapenda kuangalia wanyama na matukio ya utamaduni wetu. Watu wengi awali walikuwa waking alia chaneli za wanyama za nje lakini baada ya kufunguliwa hii chaneli ya kwetu watu walihamia nyumbani...
 8. T

  SAFARI CHANNEL IMEANZA KUHARIBU MAMBO.

  Channel mpya ya Safari Channel ilipoanza ilionekana kama chaneli tishio kwa sababu watu wengi sana wanapenda kuangalia wanyama na matukio ya utamaduni wetu.Watu wengi awali walikuwa waking alia chaneli za wanyama za nje lakini baada ya kufunguliwa hii chaneli ya kwetu watu walihamia...
 9. T

  SAFARI CHANNEL IMEANZA KUHARIBU MAMBO.

  Channel mpya ya Safari Channel ilipoanza ilionekana kama chaneli tishio kwa sababu watu wengi sana wanapenda kuangalia wanyama na matukio ya utamaduni wetu.Watu wengi awali walikuwa waking alia chaneli za wanyama za nje lakini baada ya kufunguliwa hii chaneli ya kwetu watu walihamia...
 10. T

  Channel mpya ya Safari Channel ilipoanza ilionekana kama chaneli tishio kwa sababu watu wengi sana wanapenda kuangalia wanyama

  Channel mpya ya Safari Channel ilipoanza ilionekana kama chaneli tishio kwa sababu watu wengi sana wanapenda kuangalia wanyama na matukio ya utamaduni wetu. Watu wengi awali walikuwa waking alia chaneli za wanyama za nje lakini baada ya kufunguliwa hii chaneli ya kwetu watu walihamia...
 11. T

  Mafundi simu kubadili IMEI namba za simu: Je, TCRA wamezidiwa ujanja?

  Kwanza kabisa walitangaza kuzima simu zote ambazo ni bandia lakini cha ajabu ni kwamba TCRA hawana uwezo wa kuzima simu bandia. Mafundi simu wana akili kuliko TCRA kwa sababu wana uwezo wa kubadli IMEI namba ya simu yeyote. Simu mbovu original imei namba yake inawekwa kwenye simu fake na...
 12. T

  Kwanini kunakosekana neno 'Live' kwenye chaneli za Azam TV wakati wa mechi za moja kwa moja?

  Tunaangalia mpira kombe la mapinduzi Zanzibar saa hizi saa kumi na nusu lakini wakati mpira unaendelea baadhi wakadai kuwa huo mpira ni zamani kwa sababu hakuna alama ya live.Kwa wale wanaofuatilia ratiba wakasema ni live ila tu Azam tv wao hawapendi hilo neno liwepo.Sasa Azam kama wao hawapendi...
 13. T

  Azam tv na nembo ya live

  Tunaangalia mpira kombe la mapinduzi Zanzibar saa hizi saa kumi na nusu lakini wakati mpira unaendelea baadhi wakadai kuwa huo mpira ni zamani kwa sababu hakuna alama ya live.Kwa wale wanaofuatilia ratiba wakasema ni live ila tu Azam tv wao hawapendi hilo neno liwepo. Sasa Azam kama wao...
 14. T

  Kukata kimeo ni tiba mbadala kwa magonjwa yote?

  Hapa Visiga kwa Kipofu wilayani Kibaha kuna mganga wa kienyeji mmoja maarufu sana kwa kutibu magonjwa yote kwa kukata VIMEO tu. Kwa wale waliokwenda wanasema anavyo vibali vyote vya serkali vya kuendesha kazi hiyo tu ya kukata vimeo kwa magonjwa yote ambayo mtu anayo.Kuna msusururu wa wagonjwa...
 15. T

  Kero namba moja mwendo kasi

  Mlundikano wa kutisha wa abiria Kimara mwisho unasababishwa na wahusika makusudi ili waweze kujipatia pesa zaidi.Ni jambo la ajabu sana kuwabeba abiria waliojazana Mbezi Luis ambao karibu wote safari yao ni kwenda mjini lakini wote huishia kumwagwa Kimara mwisho.Baada ya kumwagwa hapo huanza...
 16. T

  Azam TV na alama ya "live".

  Tumekuwa tukishuhudia matangazo mengi ya runinga mbali mbali duniani yakiweka alama ya "live" kuashiria kuwa ni matangazo ya moja kwa moja.Lakini jambo hili limekuwa gum mno kwa Azam TV hasa pale wanapoonesha matangazo ya moja kwa moja ya ligi kuu Tanzania.Nafikiri ingekuwa bora wawaweleza wadau...
 17. T

  Je, ardhi hawana gharama rasmi ya upimaji ramani ya nyumba au ardhi?

  Kila Mtanzania ana haki ya kupata hati ya kumiliki nyumba au ardhi, vitu ambavyo vinaweza kumsaidia baadae kupata mikopo katika taasisi za Serikali au binafsi.Lakini hadi sasa ni asilimia kumi na tano ( 15 % ) tu ya Watanzania wote wenye kumiliki hati hizi. Asilimia themanini na tano ( 85 % )...
 18. T

  Abiria wa mabasi ya mwendokasi wasema hivi mateso haya na nchi zingine duniani wanapata?

  Sijawahi kuona mateso jinsi hii kama yalivyotokea leo kwenye mabasi ya mwendokasi.Abiria baadhi ya vituo vya Kariakoo wamekaa zaidi ya saa 4 bila kupata gari. Kila gari inayokuja imejaa na haisimami.Machache yanayosimama yalikuwa yanachukua abiria kidogo tu kwa sababu hakuna nafasi ya kubeba...
 19. T

  Mwendokasi waache kuibia abiria

  Mamia kwa mamia ya abiria wanaochukuliwa na mabasi ya mwendo kasi kutoka Mbezi Luis kwenda mjini kwenye shughuli za ujenzi wa taifa wote huteremshwa Kimara terminal halafu tena mabasi hayo hayo au mengine huanza kuwapakia tena kwa nauli nyingine kwenda mjini. Haijajulikana hasa sababu kubwa ya...
 20. T

  Adam TV tunaomba ufafanuzi

  Wadau wa soka hasa ligi kuu Tanzania bara na michuano mingine ya kimataifa wanapenda kujua sababu hasa zinazofanya Azam tv washindwe kuweka alama ya neno LIVE. Yapo maandishi kadhaa ambayo huonekana kuanzia mwanzo wa mechi hadi mwisho kama vile majina ya timu zinazopambana. Hatuelewi huu ugumu...
Top Bottom