Search results

 1. B

  Serikali itupie macho Chuo cha Ualimu Korogwe

  Kwa heshima na taadhima ni maombi yetu/yangu mamlaka zinazohusika kuchukua hatua kwa mambo yanayoendelea hapa chuoni Korogwe kwani tangu Mkuu wa Chuo aliyekuwepo kupandishwa cheo, kumekuwa na hali ya taharuki upande wa chakula. Chakula hakieleweki kwani chakula kinachopikwa ni zaidi ya...
 2. B

  Waziri ndalichako fuatilia hawa mwalimu Gunda na kabole wa korogwe chuo cha ualimu

  Waziri wa elimu sayansi na teknolojia kwa heshima na taaadhima tunakuomba ufuatilie utendaji kazi wa waalimu hawa Mwalimu Gunda na Mwalimu kabole waliopo chuo cha ualimu korogwe kwani wametugeuza sisi wanafunzi wa kike watumwa wao wa ngono ukifanya kosa unapewa adhabu kubwa ambayo huwezi...
 3. B

  Tatizo la umeme mkoa wa Kigoma Serikali iangalie kwa jicho la pekee

  Ni takribani zaidi ya wiki tatu umeme unasumbua mkoa wa kigoma na huku Tanesco ikishindwa kuwapatia taarifa sahihi wateja wake.Hivyo kupelekea baaadhi ya shughuli kusita. Zamani tulikuwa tumezoea ikifika mwishoni mwa mwezi siku 2 au tatu mnapata shida ya umeme kutokana mafuta yanayotakiwa...
 4. B

  Tanzania haikuwa na Raia wanaoishi Afrika ya kusini?! Maanake Ndege jana imerudi tupu

  Kutokana na machafuko yanayoendelea Afrika Kusini nimeona baadhi ya mataifa mbalimbali yanavyoishutumu Afrika ya Kusini kwa ubaguzi wizi na uporaji na hivyo kutishia baadhi ya raia wa kigeni kuingia Nchini humo. Nimeona Raisi mwenye akili nyingi na anaehhurumia wananchi wake akituma ndege 4...
 5. B

  Wataalam wa mambo ya anga na sheria tusaidieni

  Habari za wikiendi wanajamvi mimi nilikuwa nauliza iwapo tutashinda kesi kwa ndege yetu iliokamatwa bondeni vip mambo ya landing cost. Kama tukishindwa inakuwaje maana yake ndege inaweza kukamatwa hata kwa miezi 6 landing cost inakuwaje? Wafanyakazi per diem kwa mda wote unakuaje? Kwa...
 6. B

  Ratiba ya mtihani Diploma

  Imezoleka ratiba ya mtihani wa kuhitimu madunzo ya ualimu z huwa zinatoka pamoja na mtihani wa kidato cha sita lakini cha kushangaza imetoka ratiba ya kidato cha sita peke yake lakini ratiba ya kuhitimu mafunzo ya ualimu haijatoka kulikoni mmesahau au la ?! Au mtihani umehairishwa baada ya...
 7. B

  Selection mzumbe hazijatoka?

  Wanafunzi waliochaguliwa mwaka wa 1, First round hawajatooooa tuuuu jamani
 8. B

  Mwenendo wa ajira kwa kozi ya political science and public administration upoje?

  Mdogo wangu amechaguliwa Udsm kozi ya political science and public administration Anauliza vip ajira zake?
 9. B

  Hongera Mamire chuo cha ualim kwa wanafunzi wahitimu wa 2016 kupita kwenye chujio la ajira na kuajiriwa

  Nilikuwa napitia tuuu baada ya machungu ya kukosa ajira ya ualimu nikajaribu kupitia walimu walioajiriwa wa mwaka 2016 na kisha nikapitia wa mwaka 2017. Nilianza na waalimu waliomaliza 2016 ni wengi walioajiriwa kati ya hao walioajiriwa chuo kinachojulikana kwa jina la Mamire chuo cha ualimu...
 10. B

  Nani anaemiliki MAMIRE chuo cha Ualimu

  Nilikuwa napitia tuuu baada ya machungu ya kukosa ajira ya ualimu nikajaribu kupitia walimu walioajiriwa wa mwaka 2016 na kisha nikapitia wa mwaka 2017. Nilianza na waalimu waliomaliza 2016 ni wengi walioajiriwa kati ya hao walioajiriwa chuo kinachojulikana kwa jina la Mamire chuo cha ualimu...
 11. B

  Mtu wa 2017 na 2016 kupangiwa vituo vya kazi wakati wa 2015 tukiwa mitaaani

  Nimetafakari kwa kina juu ya ajira hizi sizielewi naomba declare interest nimemaliza masomo mwaka 2015 Ndala teachers college na kupata GPA ya 3.9 Credit lakini mara kwanza nilikosa na mara pili nimekosa sasa sijajua ni vigezo vinatumika katika kuchagua wanafunzi.Mbaya zaidi...
 12. B

  Waziri Ndalichako unayajua haya ya Korogwe?

  Mhe: Waziri wa elimu pole na majukumu katika ujenzi wa Taifa pia sehemu yoyote yenye mafanikio haikosi kuwa na changamoto mbalimbali. Naomba nijikite kwenye changamoto zilizopo ikizingatiwa hiki ni chuo cha kati.Changamoto zilizopo ni kama zifuatazo. 1. Kukosa viti madarasani na bwaloni hivyo...
 13. B

  Kwa hili la michango kuanzishwa shuleni kinyemela, wizara ya elimu ikubali kubeba lawama

  Leo katika kikao cha Mhe:Rais na Mawaziri wa Elimu na Tamisemi kilicjofanyika ikulu jijini DSM, Mhe:Rais ameendelea kusisitiza umuhimu wa elimu bure kuanzia shule za msingi mpaka secondary. Lakini kuna mambo ya nyuma ya pazia yanafanyika na haya yasipokomeshwa Sera ya elimu bure haiwezi...
Top Bottom