Search results

 1. H

  Masters of Arts in Mass Communication at UDSM

  Kwa wanaopenda kujiimarisha katika fani ya MASS COMMUNICATION, UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM Kupitia Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma wameanzisha kozi hiyo katika ngazi ya shahada ya pili, kama nilivyokutana na tangazo kwenye attachment.
 2. H

  Msaada, Email Hijacked!

  Bosi wangu mmoja hivi majuzi alipokea email ikimwambia kuwa kutokana na marekebisho anuai yanayofanywa kwenye account za yahoo katika kuboresha huduma, wanamtaka atoe password yake ili asije akapoteza data za kwenye account yake. Bila kufikiria sana akatuma passord hiyo, walichokifanya hao...
 3. H

  Baraza la mitihani, wizara ya elimu na hatima ya wahitimu waliositishiwa matokeo

  Natatizwa na kasi ya utekelezaji wa mambo mbalimbali yanayojitokeza katika kipindi hiki cha utawala, Leo nahitaji tujadili na kuangalia mustakabali mzima wa wahitimu katika vyuo vya ualimu ambao matokeo yao hayakutolewa mnamo mwezi wa saba, na hasa chuo cha Kange ambacho walisitisha...
 4. H

  Msaada wa namna ya kufuta michoro mwilini bila kusababisha madhara (Tattoo)

  Kuna binti mmoja ambaye alitokea kujenga mazoea na ukaribu nami. Akawa huru kunieleza mambo mengi yanayomsibu katika mahusiano ya kimapenzi. Yeye alipokuwa mdogo alitokea rafiki mmoja wa kaka yake ambaye alikuwa baharia, akamchora Tatoo kubwa tu kwenye mikono yote miwili. Alipokuwa ndo akajua...
 5. H

  Tumezika utaifa?

  Ngoja nianze kwa swali, Msisitizo wa utaifa na kubebeshwa bendera ya Tanzania ni pindi Taifa Stars inapocheza tu? Majuzi raisi Kikwete akiwa Uganda alifanya mazungumzo na wanafunzi kwenye chuo kikuu cha kimataifa cha kampala KIU. Kilichonishangaza ni kuona hakuna bendera hata moja ya...
 6. H

  Nini Hatima ya Balali?

  Siku ya mkutano wa Dr Slaa pale mwembe yanga, Alisema serikali ilikuwa na mpango wa kumtorosha Balali, wakasema kuwa mpango ni kuwa akae huko amerika kwa miezi sita. Mwanzoni sikuamini sana maneno hayo, lakini mida inavyoenda nazidi kuamini kwani siku hizo zinakaribia, licha ya visingizio...
 7. H

  Kwa CCM OK, Wapinzani NO!

  Hivi jamani mimi natatizwa sana na utendaji kazi wa Bunge letu tukufu. Wakati Zito anatoa hoja ya Kuundwa Kamati ya Bunge juu ya buzwagi, wote tunafahamu walivyokuwa wanapondwa na yaliyojitokeza hadi kufungiwa kwake. Ni kwa nini sasa hoja ya Richmond iliyotolewa na Mwana CCM imeungwa...
 8. H

  Denti Chuo Kikuu Dar ajirusha toka ghorofani

  2007-11-13 17:00:25 Na Sharon Sauwa, Kinondoni Mwanafunzi mmoja wa mwaka wa tatu katika Chuo Kikuu Dar es Salaam amejikuta akiumia vibaya na kulazwa wodini akiwa hoi baada ya kujirusha toka kwenye ghorofa ya pili ya jengo mojawapo la chuo hicho, kampasi ya Mlimani. Taarifa za Kipolisi...
 9. H

  CCM Inaongozwa Kijeshi?

  Baada ya Ukuu wa mkoa kuwa mahsusi zaidi kwa wanajeshi, CCm wameamua kuhamishia ujuzi huo ndani ya chama? Sehemu kubwa ya uongozi wa juu umeshikiliwa na wanajeshi. Kulikoni? Au ndo maana na wabunge wao wanawapelekesha kijeshi, Hoja ikija hivi wote tuwe hivi, kama ilivyo kulia geuka kwa...
 10. H

  Prostitute fear

  A young Zimbabwean businessman on his first visit to Johannesburg , goes to Monte casino to have a cold one. As he sits there drinking, a young prostitute comes over to talk to him. They sit and talk, frolic a little, giggle a bit, drink a bit, and she sits on his lap. He whispers in her ear...
 11. H

  Simba Sports Club na ITV/Radio one wana beef gani?

  Naombeni anayefahamu ugomvi baina ya Club ya Simba na ITV/Radio one anihabarishe. Kwa muda mrefu vipindi vya michezo katika TV na redio huwa hawatoi matokeo ya Simba wala kuzungumzia habari za timu hiyo kwenye vyombo hivyo. Kulikoni?
 12. H

  IGP Mwema atangaza DEATH PENALTY

  Jana, wakati akiongea na vyombo vya habari IGP alitangaza adhabu ya kifo kwa wale wenye mikakati kama iliyotokea CHATO, LINDI, na Singida. Atakayeandamana kwenda polisi kwa lengo la kumtoa mharifu, basi ajiandae kukabiliana na risasi za moto kichwani kwake. Hukumu hii aliyotoa tusijeona...
 13. H

  Kwa nini Simuamini Rais

  Mara nyingi nimekuwa nasikiliza kauli za mh. Kikwete ila huwa nashindwa kuelewa kama anamaanisha anachokisema! kwa mfano: Wakati anazindua Bunge alisema hatasubiri ushahidi wa mahakama katika kuwawajibisha watendaji wake wataotuhumiwa kwa rushwa, alisema atawastaafisha kwa maslahi ya umma au...
 14. H

  Alama ya Taifa ni kitu gani?

  Hivi majuzi waziri wa miundo mbinu alizindua ndege mpya ya Air Tanzania. Kilichonishangaza ni kuona ina muonekano(rangi) tofauti kabisa na ndege zetu tulizozoea kuona. Haina bendera ya Tanzania inayoonekana kwenye ndege hiyo zaidi ya twiga mdogo anayeonekana kwenye mabawa. Swali...
Top Bottom