Search results

 1. K

  *Tarehe kama ya leo 25.10.2015 tulipiga kura na kumuweka Rais aliyepo madarakani.

  Sikuwahi na sitawahi kupigia kura chama cha Kijani,kwani kwa upande naona ni usaliti uliokomaa kuendelea kukipigia kura. Natamani,matokeo ya uchaguzi wa leo(miaka miwili iliyopita) isiwe ndo ilivo sasa.Ila ndo ndoto tena
 2. K

  Msichana kaniona mara moja tu kanitongoza. Hivi ni umalaya au uhuru wa kuongea?

  Duuuu,mwanaume halisi sidhani kama atashindwa cha kufanya.Jitathmini mtoa hoja
 3. K

  Funzo kutoka kwa Mbowe kwa kupigania uhai wa Mh.Tundu Lissu

  Ndugu zanguni wapenda amani,maendeleo,uzalendo na haki ni ukweli usiofichika kuwa Mungu ndio mtetezi wa maisha yetu na ndiye mwenye kupanga hatima ya maisha yetu. Mie ni mmojawapo wa Watanzania wengi tuliopokea kwa huzuni kubwa taarifa ya kupigwa risasi Mh.Tundu Lissu(Mb na rais wa TLS) mjini...
 4. K

  Huruma ya nini? Magufuli katafuta matatizo mwenyewe

  Mkuu,hivi wafia chama cha kijani unawajua au unawasikia. Yaani ukishavaa hiyo minguo ya kijani,basi pepo la uhayawani litakutawala akili yako.Hata waumie vipi,huji sikia wameacha kumpigia kura tena uchaguzi ujao. Poor Tanzania,I wish i could be non-Tanzanian.Period
 5. K

  Am introducing myself - Anna Maria Buberwa

  Migume gume,kuweni makini tu na watu wasiojulikana.Hope wenye uelewa wamenielewa
 6. K

  Hakuna aliye salama kwa utawala huu

  Yawezekana mleta maada ni mmoja wa watu wasiojulikana.Watanzania wanahofu sana na watu wasiojulikana kwa vitu vifuatavyo -Utekaji,kuteswa,kutishiwa kuuwawa hadharini na hata kupigwa risasi. Halafu bado mtu anajitoa ufaham na kujiona eti bado yupo salama.Hiyo ni akili ya Kibashite tu na sio...
 7. K

  Kardinali Pengo: Tumuombee Rais Magufuli

  Kiongozi mzalendo ni huyu hapa 1. Ataongoza kwa kufuata katiba na sheria zilizopo.Lakini pia yupo tayari kuboresha hiyo katiba kwa faida wa wananchi wake anawaongoza. 2.Atalinda amani ya nchi na watu wake anaowaongoza. Kutekwa,kuteswa,kutishiwa vifo na kuuwawa ni vitendo vya uvunjifu...
 8. K

  Kama Slaa, Migiro, Salim, Lowassa, Shein hawafai kuwa Rais; nani atatufaa 2015?

  Mkuu Yericko! Ni uchambuzi mzuri sana.Big Up! Hakika Dr.Slaa ndiye anayestaili kuikomboa hii nchi. Wanaoupinga huu Uzi ni kwamba ama wachumia tumbo au uelewa wao tu ndo shida. Kinachoangaliwa hapa ni "Public Interest " na sio "Personal Interest" Mambo ya mahusiano si kigezo cha kushindwa...
 9. K

  Kuwajibishwa kwa Prof. Tibaijuka ni Muendelezo wa Ignorance at The Highest Levels! Mnashangilia Uji

  Mkuu Pasco,mtu mwenye uchungu na nchi yake kama wewe ni lazima akusapoti. Watanzania ni zaidi ya UJINGA na MBUMBUMBU. Wengine wanaujua ukweli lakini wanaona kama haiwahusu. Ninaona aibu na fedheha kuwa Mtanzania wa sasa. Naamini umewafungua wengi kimtazamo mkuu.
 10. K

  Tibaijuka: Kwakuwa rais ametengua Uteuzi wangu, sasa nipo jimboni natatua kero za Wananchi

  Hahaaa! Mkuu Umesomeka vema.Ni kweli kabisa haiingii akilini. Tezi Dume hakutaka kumtoa mtu ila alijikuta tu anatamka baada ya kuona reactions za wazee waliohudhuria mkutano
 11. K

  Tanzania ya Inayotegemewa ni baada ya Miaka 10

  Salaam Aleykum! Tumsifu Yesu Kristo! Ndugu zanguni,mie nikiwa mzalendo na mpenda amani wa Tanzania kwa tabia zetu zilivyo basi nachelea kusema Maendeleo ya kweli ya Tanzania ni baada ya miaka 20 ijayo kutokana na sababu zifuatazo: 1.Ujinga, Tatizo hili bado lipo miongoni mwa Watanzania na...
 12. K

  Vijana tujiunge vyama vya upinzani

  Hakika mkuu! Umesomeka
 13. K

  Tundu Lissu, Paul Makonda na Marcus ndani ya Star TV tuongee asubuhi

  Laki si Pesa,amefunguliwa Kwa kuutambua ukweli na ndo maana kageuka na kuurudia ukweli. Katambua kuwa LAKI ni pesa nyingi sana Kwa Mwananchi wa kawaida anayeshindia mlo 1 Kwa siku lakini kwa wezi wa Escrow na Mafisadi wengine ndani ya CCM yake ni sawa na thamani ya DAFU tu kama Tezi Dume anavoita
 14. K

  Tundu Lissu, Paul Makonda na Marcus ndani ya Star TV tuongee asubuhi

  Makonda anajipendekeza tu Kwa kumsaidia Mzee wa Tezi dume hakuna kibaya anachokiona Kwa Tezi Dume. Eti Makonda anasapoti kuwa Tezi dume anaweza kuwawajibisha viongozi wa Umma tu na sio wengine waliohusika na Ufisadi Shame
 15. K

  Utafiti Mpya ni Lowassa tena, Pinda wa pili

  Daaa! Kweli pesa nyoko. Waweza kumkana hata mzazi wako wewe mleta huu uzi. Fisadi ni Fisadi tu! Awe wa Richmond,IPTL au wa Escrow. Nachoshukuru ni kuwa Tanzania kwa sasa inaongozwa na Mungu na naamini hata kama shetani fisadi akiingia Magogoni ataumbuliwa tu Kwa kunyang'anywa nchi kama...
 16. K

  Ukiona Mgombea Urais wa CCM hakubaliki ndani ya Chama huyo ndo anahitajika kwa wananchi.

  Sijawahi kumsikia LOWASA akikemea ufisadi.Kiongozi yeyote asiyeliona hili ni tatizo na kushindwa kulikemea hadharani HAFAI kupewa dhamana ya kuongoza nchi
 17. K

  Nimemzidi mpenzi wangu miaka 14, ni wazo zuri nikitaka kumuoa?

  Nashukuru kwa ushauri wako 316 yeye mwenyewe
 18. K

  Uhusiano kati ya Simu ya Mkononi na Wapenzi

  Yaa,unamaanisha kadumu a.k.a mchepuko.Lakini si kwangu ila kuna mwenzangu yamemkuta
 19. K

  Uhusiano kati ya Simu ya Mkononi na Wapenzi

  Kwa kweli bahari imechafuka,ni mwendo wa kutapatapa kutafuta viokoleo
Top Bottom