Search results

 1. J

  Bunge la Ulaya lapiga kura kukataa ubaguzi na ukandamizwaji wa watu weusi duniani

  Tatizo wanasiasa wa upinzani Tanzania ni VIBARAKA wa wazungu hawakomi tu. Tundu Lissu Kuna taarifa kafukuzwa kwenye nyumba ya awali lakini Chadema hawawezi kuja na kulikngelea hilo
 2. J

  Bunge la Ulaya lapiga kura kukataa ubaguzi na ukandamizwaji wa watu weusi duniani

  Haya ni matokeo ya kura za Azimio la Umoja wa Mataifa la Kupinga Ubaguzi wa Rangi ambao umeendelea kuwatesa hasa watu weusi duniani. Nchi zote za Ulaya na mataifa makubwa yamepinga Azimio hilo kwa kupiga kura ya Hapana (No-N) na nyingine kutopiga kura (Abstain -A). Zoezi hilo limefanyika...
 3. J

  Uchaguzi 2020 Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025

  Ilani ya CCM imeweka wazi kwa vijana wanaomaliza elimu ya juu kuweza kujiajili na kuajili wengine kwa kufungua na kuanzisha makampuni ya pamoja kwa lengo la kuwawezesha vijana kupata mitaji na mikopo ili kuweza kuanzisha makampuni ambayo yatatoa ajira kwa vijana wengine. Kwa upande wa...
 4. J

  Hoja dhaifu juu ya Gwajima lini alikuwa mwana CCM-usiachie mwiba unawachoma

  Wananchaama na wafuasi wengi wa vyama vya upinzani ukiwa msema ukweli na mpinga ufisadi basi wanakuona wewe ni mpinzani na kwa upande mwingine si MWANA CCM kisa tu unasimamia ukweli. Kama utakuwa mfuatiliaji wa hotuba mbali mbali na makemeo ya Mgombea wa CCM Jimbo la kawe utagundua ujasili...
 5. J

  Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

  Katika wakati huu wa heka heka za kampeni katika majimbo mbali mbali NCHINI Tanzania bara na Zanzibar kumekuwa kunaibuka kauli na Sera mbali mbali zinazoonyesha nini unataka kuwafanyia wananchi wa Jimbo lako au kata yako kwa kutegemea ngazi ya uongozi unayogombea. Hali hiyo imekuwa tofauti kwa...
 6. J

  Uchaguzi 2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

  HALIMA MDEE, FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO UMEPELEKA WAPI? Bunge la JMT limetunga Sheria iliyoanzisha na kusimamia fedha za mfuko wa Jimbo kwa lengo la kurahisisha na kumsaidia Mbunge wa kuchaguliwa Jimboni kupata fedha hizo kwa lengo la kurahisisha kutatua changamoto mbali mbali za Maendeleo...
 7. J

  Je, ni kweli Halima Mdee ametatua migogoro ya ardhi kwenye jimbo la Kawe?

  Halima huku kabaki kujisifia ana sauti ya kukoroma kama spika iliyopasuka base anaomba kura kwa sababu ana sauti ya kukwaruza akiuliza kwa nini ujafanya chochote anakuwa mkali safari hii anapigwa spana.
 8. J

  Je, ni kweli Halima Mdee ametatua migogoro ya ardhi kwenye jimbo la Kawe?

  Katika wabunge wa CHADEMA watakaoshindwa vibaya HALIMA MDEE AKIWEMO
 9. J

  Je, ni kweli Halima Mdee ametatua migogoro ya ardhi kwenye jimbo la Kawe?

  Halima ameshapigwa kawe mapema sana maana hakuna alichofanya kwa wananchi huku kila sehemu shida tupu hawataki kumuona
 10. J

  Je, ni kweli Halima Mdee ametatua migogoro ya ardhi kwenye jimbo la Kawe?

  CHAGUA CCM, CHAGUA Ngwajima kwa maendeleo ya Wana kawe
 11. J

  Je, ni kweli Halima Mdee ametatua migogoro ya ardhi kwenye jimbo la Kawe?

  Hivi mfuko wa Jimbo kwa Mwaka Ni kiasi gani kinatengwa maana Halima Mdee kunatetesi ametumia kwa manufaa take binafsi
 12. J

  Uchaguzi 2020 Nakuonya Tundu Lissu kuelekea uchaguzi mkuu 2020

  Mnazidi kunielewa kuwa wanatekeleza wenyewe ili kupata Platform
 13. J

  Uchaguzi 2020 Nakuonya Tundu Lissu kuelekea uchaguzi mkuu 2020

  Wewe ndio mtekelezaji wa huo mpango acheni kutuletea sana
 14. J

  Uchaguzi 2020 Nakuonya Tundu Lissu kuelekea uchaguzi mkuu 2020

  Sijui TUNDU LISU atajinadi kwa sera zipi maana kila kitu kimesha tekelezwa na Mwanajeshi kamili MAGUFULI sio yeye Tundu Lisu sungusungu
 15. J

  Uchaguzi 2020 Nakuonya Tundu Lissu kuelekea uchaguzi mkuu 2020

  Katika kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu imekuwa kama desturi kwa maadhi ya vyama vya siasa kikiwemo CHADEMA kuendeleza siasa zenye mrengo wa vurungu na uvunjifu wa amani. Ni muhimu sana kama taifa kukumbushana baadhi ya vitu tunapoelekea katika uchaguzi huu maana mchakato upo mwanzoni lakini...
 16. J

  Polisi wanawahujumu CCM na Serikali yake?

  Polisi na Sugu Kama walikuwa wamepewa sini ya kuigiza na Movie Director maana wameleta utoto sana
Top Bottom