Search results

 1. M

  Utafiti; Uwiano sahihi wa uke na uume

  kumbe kuna uwiano ebu tupe elimu zaidi
 2. M

  Zitto: Manji anakomolewa, sasa anyang'anywa hisa zake za Tigo na Serikali

  Hii itakuwa mwanzo wa ku rudisha vyote vilivyochukuwa kutoka kwa umma bila kuafuata taratibu.
 3. M

  Nilichokiona leo Kivuko cha Kigamboni

  Hongera kwa kugundua ufisadi huo. Naamini mamlaka husika zitalifanyia kazi.
 4. M

  Dr. Slaa afunga Ndoa na Josephine Mushumbusi Ughaibuni

  Wanasheria mtujuze je ndoa ya wawili hawa itakuwa halali wakirudi Tanzania?
 5. M

  Suala la NICOL ni Jipu linahitaji kutumbuliwa na Mh Rais wa awamu ya Tano

  Ni muda mrefu sasa tangu wawekeza katika Kampuni ya uwekezaji NICOL kuwekeza humo lakini hadi sasa haieleweki nini kinaendelea katika Kampuni. Hili ni jipu ambalo linahitaji kutumbuliwa na Mh Rais wa awamu ya Tano John Pombe Magufuri. Wadau popote mlipo mmfikishie Mh Rais suala la NICOL ili...
 6. M

  Zuio la Uchaguzi Meya wa Dar Lageuka Kaa la Moto, Aliyelisoma asema Hakujua kama ni halali au feki

  Ueledi wa wanasheria unabakwa kwa hali hii ya zuio feki!!!!!!!!!!!!!!!!
 7. M

  Pendekezo la Maridhiano Juu ya Lowassa (A Proposal on Compromise): Kutoka Hapa Kwenda Kule...(2015)*

  Lengo kuu ni kuuondoa mfumo wa ccm wa kinyonyaji kwa nchi yetu. Hapa wasioona hili ni wale wanaofaidika na mfumo wa sasa.
 8. M

  Lowassa Amerudisha Kadi ya CCM?

  CCM walichofanya ni kuacha kumsajili mchezaji nyota na timu nyingine ikamsajili sasa wakifungwa bao wasilalamike.
 9. M

  Majibu ya Kangi Lugola,Sanya na Mzee Kingunge Kuhusu Lowassa

  CCM walichofanya ni kuacha kumsajili mchezaji nyota na timu nyingine ikamsajili sasa wakifungwa bao wasilalamike.
 10. M

  CCM yaikana taarifa inayodaiwa kutolewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape kuhusu Lowassa

  Poleni CCM kwa kuendekeza ubinafsi na sasa chama kinakufa. Sikio la kufa.................. Hivi kweli NAPE na MAKONDA ndio mnawaamini kusimamia chama na mkaridhika kweli ingekuwa kampuni bora mngebadilisha jina maana wadau wameshaiogopa kama wanavyofanya kwa mabasi yanayopata sana ajili...
 11. M

  Muungano wa UKAWA waichanganya CCM, wamuahidi Slaa bilioni kumi Slaa awatosa

  Huu ni mpango wa Mungu kuikomboa upya Tanzania.
 12. M

  Kikwete na Nape Nnauye, laana ya kushusha hadhi ya CCM itawatembelea milele

  Masikini CCM inasubiri kuzikwa kutokana na viongozi kudharau matakwa ya wananchi.
 13. M

  Vikao vinaendelea ikulu muda huu

  Kuendelee kumzungumzia mtu mliyemuona hafai CCM inajidhalilia zaidi. Bora KITEGO kiendelee na yake kama walivyoona mwanzo.
 14. M

  Mpango wa CCM kuhusu vyama vya Siasa tunaujua

  Mwaka huu hawana nafasi kwa unafiki wao kwani milango imefungwa na ukombozi Tanzania waja oktoba 2015
 15. M

  CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

  Heshima yako waambie hawa waliozoea bao la mkono kuwa mwisho wao ni oktoba 2015
 16. M

  Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

  Hakika hii ni wiki muhimu sana kwa mstakabali wa maendeleo ya watanzania kwa siku zijazo kwa watanzania wanahitaji mabadiliko na wameyakosa ndani ya ccm hivyo wanayatafuta nje ya ccm na hivyo kila mwenye nia njema na nchi hii ajiunge na wanaukombozi oktoba mwaka huu kupata mabadiliko ya...
 17. M

  Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

  Safairi ya ukombozi wa Tanzania mikononi mwa mkoloni mweusi imeanza
 18. M

  Uadililifu wa Kamati ya Maadili na usalama ya CCM ni upi kwa siasa za Tanzania?

  Kamati ya Maadili na usalama ya CCM imepokea na kujadili wana ccm 38 waliotia nia na kupeleka majina matano (5) Kamati kuu badala ya kupeleka majina yote na mapendekezo kama Katiba ya CCM inavyoagiza. Je huo ndio uadilifu wao? Pia kuna tetesi kuwa mchujo ulifanyika nje ya Kamati ya maadili na...
 19. M

  Lembeli: Ukitaka kuona 'nyeti' za kuku subiri apulizwe na Upepo

  Ujanja wa ccm ni bao la mkono kwa hawana lolote kwenye fair play
Top Bottom