Search results

 1. M

  Suala la NICOL ni Jipu linahitaji kutumbuliwa na Mh Rais wa awamu ya Tano

  Ni muda mrefu sasa tangu wawekeza katika Kampuni ya uwekezaji NICOL kuwekeza humo lakini hadi sasa haieleweki nini kinaendelea katika Kampuni. Hili ni jipu ambalo linahitaji kutumbuliwa na Mh Rais wa awamu ya Tano John Pombe Magufuri. Wadau popote mlipo mmfikishie Mh Rais suala la NICOL ili...
 2. M

  Uadililifu wa Kamati ya Maadili na usalama ya CCM ni upi kwa siasa za Tanzania?

  Kamati ya Maadili na usalama ya CCM imepokea na kujadili wana ccm 38 waliotia nia na kupeleka majina matano (5) Kamati kuu badala ya kupeleka majina yote na mapendekezo kama Katiba ya CCM inavyoagiza. Je huo ndio uadilifu wao? Pia kuna tetesi kuwa mchujo ulifanyika nje ya Kamati ya maadili na...
 3. M

  Wadau Kampuni ya uwekezaji ya NICO imeishia wapi?

  Wachangiaji katika kampuni ya uwekezaji ya NICO mwaka 2007 wakuwa katika wakati mgumu wa kutojua hatima ya hela zao walizo wekeza kutokana na kutokuwepo uwazi juu ya kampuni hii. Naomba wahisika wawaeleze wadau/wawekezaji juu ya kinachoendelea katika kampuni hiyo. naomba kuwasilisha.
 4. M

  Ujenzi Mkubwa unaoendelea Kigamboni(Dege Eco Village), ni mradi wa nani?

  Wana jamvi, Kuna mradi mkubwa wa ujenzi wa magorofa unaendelea Kigamboni. Ni Kigamboni ndandani mbele Zoo na naambiwa unaitwa "Dege Eco Village". Wengi wa wafanyakazi ni wazungu wenye asili ya Kituruki. Kazi inafanyika usiku na mchana. Wenye ukweli kuhusu mradi huo mtujuze. Karibuni...
 5. M

  Nani yuko nyuma ya vurugu zinazofanyiwa vyama vya upinzani na Polisi?

  Vyama vya upinzani vimekuwa katika hali tete ya kuhujumiwa kwa kutumia vyombo vya ulinzi na usalama. Chama tawala pia imekuwa ikiwafanyia vujo vyama vingine bila ya hatua yoyote kuchukuliwa. Mfano kupigwa kwa J.Nasari huko Makuyuni, kuvamiwa na Polisi kwa Lema na Mbowe usiku wa manane na wafuasi...
 6. M

  Iko siku mafisadi wataongoza nchi ya Tanzania?

  Katika maelezo yake mfanyabiashara R.Mengi amesema kuwa tusipoangalia ipo siku Tanzania itaongozwa na mafisadi. Alitolea mfano wa "State capture". Kwa ushauri wangu kwake angeanza kwanza yeye kwa kukataa TV yake (ITV) kutumika kifisadi ili harakati za ukombozi wa Tanzania na kuzuia mafisadi...
 7. M

  Video ya ukweli ya mlipuko wa bomu Arusha itatoka lini?

  Wanajamvi naomba walio karibu na wahusika watuulizie ni lini hiyo video ya ukweli ya mlipuko wa bomu Arusha itatoka ili tujiandae kuwakataa wanaotuua. Siku nikijua hiyo video inatoka sitafanya kazi yoyote ili niiangalie vizuri. Tuzuzeni jamani.
 8. M

  Wananchi wa Tanzanaia wanaweza kuikataa Serikali ya wauaji?

  Kutokana na matukio mengi ya mauaji ya raia wasio na hatia, je wananchi wana weza kuikataa serikali ya wauaji? Kwa kuwa wawakilishi wao Bungeni wanatetea maslahi yao badala ya kuwatetea wapiga kura wao je wananchi wana namna ya kuikataa serikali isiyowahakikishia usalama? Wanasheria na...
 9. M

  Kauli ya P.Chagonja inamaanisha Polisi wameshindwa kazi yao?

  P.Chagonja alitoa tamko la kumshauri Mbowe apeleke ushahidi kwa Amiri Jeshi Mkuu kama hawaamini Polisi hii ina maana hawana namna nyingine ya kumpata mtuhumiwa hadi wategemee ushahidi wa Mbowe hata baada ya Serikali kutangaza dau la sh: 100 milioni? Kwa maana hiyo sasa jeshi la Polisi...
 10. M

  Kauli ya Pinda Bungeni haina utata kisheria?

  Kutokana na kauli ya Waziri Mkuu Pinda Bungeni kuwa watu wanaokaidi sheria wapigwe na Polisi je ina maana jeshi letu la Polisi hawana mbinu nyingine ya kuwadhibiti wahalifu ila kwa kuwapiga tuu? Kutokana na sheri ya Polisi hata mhalifu anapokimbia hawarusiwi kumuua ila kama hapambani na Polisi...
 11. M

  Msikilizeni Gamba Lukuvi akibwabwaja Bunge ni aibu tupu kwa Taifa letu?

  Kwa kweli Lukuvu na wenzake ni janga kwa taifa letu, Mungu ebu ona uso wake Mwigulu yupo pale wanatuhadaa. Eti Polisi walizuiwa kumkamata mhalivu wakati Polisi ndio waliwazuia raia kumkamata. Mungu waumbue mchana wauaji hawa. Siwapeni basi tuu.
 12. M

  Kwa tukio hili tena la mlipuko wa bomu Arusha hatawezi kupata kitu kutokana na tamuko la Pengo?

  Pengo alitoa tamko baada ya mlipuko wa kwanza wa bomu Arusha ambapo watu wengi walimbeza lakini baadaye imeonekana kweli. Pia Mbunge wa Arusha Lema alitoa tamko lililobezwa pia, sasa hayohayo yaliyotokea wakati huo yamejirudia tena. Sasa tutawaaminije viongozi wetu wanaokataa kuwajibika wakati...
 13. M

  Lowassa katika maandalizi ya Urais wa Tanzania 2015?

  Waziri Mkuu aliyejiuzulu Edward Ngoyai Lowassa yuko kwenye maandalizi ya kuukwaa Urais wa Tanzania 2015. Hii inadhihirishwa na nguvu kubwa aliyotumia kuhakikisha CCM inshinda udiwani Makuyuni_Monduli kwa mbinu yoyote ile ili kumhakikishia JK umaarufu wake kama alivyoahidi kwenye vikao vya CCM...
 14. M

  Je kuna Taifa lolote Duniani limeendea kwa kuendekeza kupindisha ukweli?

  Ndugu zangu wanaJF na watanzania kwa ujumla naomba tuijadili mada hii kuwa, Je kuna Taifa lolote Duniani limeendelea kwa kuendekeza kupindisha ukweli? Maana yangu hapa ni kwamba kama inatokea katika Taifa/Jamii au chama cha siasa kunakosekana uaminifu na haki haitolewi miongoni mwa jamii...
 15. M

  Kuhusu Mlipuko Arusha linganisha matukio haya, je yanawiana?

  Leo kumetokea mlipuko katika ibada Kanisa Katoliki Olasiti, nianze kwa kutoa pole kwa wafiwa na majeruhi wote. Tukio hilo ni mlolongo wa matukio mbalimbali yaliyotokea yanayolenga makanisa na viongozi wa dini. Ilianza mbagala-Dsm, Zanzibar na Mwanza, katika matukio haya hakuna hatua za dhati...
 16. M

  Ushauri namna ya kujilinda juu ya watekaji wanaong'oa kucha na meno bila ganzi!!!!!!

  Kuna haja ya wananchi kuimarisha ulinzi shirikishi ili kujilinda kutokana uhalifu wa watekaji wanaong'oa watu kucha na meno. Hii ni muhimu kwa kuwa inaonekana jeshi la Polisi na Usalama wa Taifa wamezidiwa katika kuzuia uhalifu huu. Mtu ukiona mazingira ya kutokuwa salama tao taarifa ya siri kwa...
 17. M

  Watanzania sasa wazidi kuwajua watawala wao, je Chama tawala kinatambua hilo?

  Pole ya majukumu ya kila siku Mtanzani Mwenzangu, vipi Umeshapata MAISHA BORA kama walivyokuahidi CCM Mwaka 2005 na 2010? Anayekuuliza si Mwanasiasa Noo! Ni Mwanaharakati!! Hebu jiulize hawa wanaotoa Ahadi Wanakuonaje Wewe? Ni ----- Ni Mjinga Mpumbavu Mwehu Mwendawazimu Una Ubongo wa Kuku...
 18. M

  Mh. Sitta na Mh. Mwakyembe Dowans wakilipwa wajiuzulu?

  Leo kwenye vyombo vya habari imeripotiwa Tanesco wamesalimu amri kwa kushindwa kesi na Dowans. Sasa ina maana Watanzania wajiandae kukamuliwa. Mh. Sitta na MH. Mwakyembe walilipigia kelele sana suala hilo bila mafanikio. Kwa sasa kwa vile wako serikalini Dowans wakilipwa tutajua nao wameshiriki...
 19. M

  Mh. Bernard Membe na harakati za Urais wa Tanzania

  Mh. Bernard Membe na harakati za Urais wa Tanzania. Bwana huyu anaamini kuwa atafanikiwa kwa kuwa amekuwa waziri wa mambo ya nje kama ilivyokuwa kwa Mkapa na JK. Wasiwasi wangu ni njia anazotumia naona kama zinadosari kama ifuatavyo: 1. Anafagiliwa njia na familia ya Rais mf. kwenye uchaguzi wa...
 20. M

  Je Dr. Salim Hamed Salim ana mafanikio yoyote kwa Tanzania?

  Je Dr. Salim Hamed Salim ana mafanikio yoyote kwa Tanzania? Nauliza hivyo kwa kuwa sina uhakika wa mafanikio aliyoiletea Tanzania enzi zake na kwa sasa katika sehemu anazoziongoza. Mwenye ushahidi wa mafanikio katika sehemu anazoziongoza sasa atueleze nkwani sina uhakika na wala siamini kama...
Top Bottom