Search results

  1. B

    Nahitaji mawazo: Nataka kuuza shamba langu kisha niwekeze kwenye madini

    Natumai Mu Wazima! Nina shamba langu Hekari 5 lipo Tanga! Nafikiria kulipiga bei, then pesa nitakayopata niongezee niingie kwenye biashara ya madini huku Arusha. Market Value ya hiyo Hekari 5 ita-range kama bei gani hivi? Tukizungumzia "Time Value Money". Mawazo yenu wadau.
  2. B

    Msaada wadau, naomba kujuzwa app ya kublock namba ya simu

    App ya kublock namba ya simu. Ukimblock mtu asikupate hewani kabisa. Achana na hizo za magumashi! Ukimblock mtu simu inaita kidogo then unambiwa No ipo Bussy. NO.
Top Bottom